Sakata la Mahujaji: Utendaji ATCL na Yaliyojiri Hadi Leo Hii

ATC ni shirika la Serikali na viongozi wake huteuliwa na Rais kwa hiyo bosi wao Mkuu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakuna kipendelea kinachosema kuwa Mtanzania akipata matatizo katika masuala yake yanayohusiana na dini basi asisaidiwe. Mbona Mrema alienda kusuluhisha migogoro kibao ya kule ARUSHA kwenye KKKT??

Kwa hiyo rukhsa kwa serikali kuchanganya dini na siasa?

mbona wale wanafunzi wa UKRAINE hawakupewa msaada wowote na hiyo hiyo serikali iliyo kimbelembele na hili ya kwenda MACCA?

kilichopo ni KIINI macho na unfortunately waislama wa BAKWATA hili hawalioni

Kwanini kwenye mambo huhimu ya waislam serikali hii hii haionekani?

Mrema naye probably aliona sawa kuingilia mambo ya KKT kwa sababu bosi wake Mwinyi alikuwa anafuturisha waislam Ikulu

Wanachokifanya viongozi wa Serikali ni kusaidia watumishi wao wazembe wa pale ATC hasa Mustapha Nyang'anyi na David Mataka ambao wameshindwa kulishughulikia hili tatizo katika muda muafaka.
 
Kuchanganya Dini na Siasa na vitu viwili tofauti na kusaidia wananchi wako ambao wako katika matatizo yawe ya dini au ya Siasa. Kwa hiyo hili suala halihusiani kabisa na kuchanganya dini na siasa. Hili suala ni la viongozi wa juu wa serikali kusaidia moja ya Idara yao ambayo imekithiri uzembe, Ugoigoi, ujinga, na isiyoheshimu wateja wake. Hiyo Idara inaongozwa na viongozi ambao walichaguliwa na hawa Viongozi wakuu wa nchi. Uzembe wa kina Mataka na Nyang'anyi unaashiria kabisa pia kuna Uzembe kwa Viongozi wa juu ambao waliwachagua kwenye hizo nafasi zao.
 
Hivi Nyanganyi na Mataka wanahitaji msaada wa serikali nzima kufanya kazi yao?

Mbona BAKWATA wako kimya?

Mbona SHURA YA MAIMAMU kimya?

Mbona ANNUR liko kimya?

Mbona DAR ES SALAAM ISLAMIC CLUB wako kimya?

Mbona MSAUD wako kimya?

Mbona MWAMKO wako kimya?

Mbona HAJJ TRUST wako kimya?

au ndio mamabo ya ku pick and chosing battles?

No wonder serikali inawaburuza waislam kila angle kwani hawa wanajuana
 
Kama kusaidia huko kwa nini wanafunzi wa UKRAINE hawakusaidiwa?

Kuchanganya dini na siasa kupo kuanzia NYIMBO YA TAIFA, wanasiasa kuingilia mambo ya kwenda hijja mpaka lile la kuwafuturisha watu ikulu kwa kutumia kodi za wasio na dini na wasio waislam

huo ni udini

Serikali ilitakiwa ikae pembeni na kazi yake ilitakiwa kuhakikisha kuna usalama na siyo kuanza na kuja na initiatives ambazo clearly zinaonyesha upendeleo wa hali ya juu

Je wakristo leo wakilalamika kuwa waislam wanapendelewa na serikali ilijaa udini itakuwaje?

Nadhani Bakwata walishapeleka mahujaji wao kupitia Emirates Airlines.

Sidhani kuna umuhimu wa hizo jumuiya nyingine za kiislamu kuingilia kwenye hili suala kwa sababu mhusika mkuu ni ATC. Kwa sababu hata Bakwata wakiingilia nani atalipa gharama za kuwasafisha hao watu wakati ATC imeshaweka hela mfukoni. Serikali inawajibika moja kwa moja kuwasaidia ATC, maana hapa sio kuwasaidia mahujaji maana yake wao wameshalipa pesa lakini kutokana na upumbavu unaoendelea serikalini basi wameshindwa kusafiri. Kwa hiyo hapa Lowassa na Mwenzake Kikwete wako pale kusaidia wazembe wenzao kina Mataka na Nyang'anyi.
 
Mrema naye alikuwepo uwanja wa ndege na mahujaji na sitashangaa viongozi wa Upinzani nao wakalirukia hili kutoa "msimamo" wao.
 
Ukitaka kujua uvundo na uozo uliopo ndio hapo, kwani yeye kama waziri mkuu ndio anawasafirisha? Akiondoka kuendelea na shughuli zake kama kawaida hawawezi kusafiri? Absolutely stupid. Just imagine ujinga kama huu katika karne ya 21. Nafikiri imefika wakati kuzuia mshahara wa waziri mkuu pamoja na marupurupu yake kwa maswala ya kipumbavu kama haya. Awapandishe kwenye ndege yake inayopaa. Khe he he he ..................................
 
Kama kusaidia huko kwa nini wanafunzi wa UKRAINE hawakusaidiwa?

Kuchanganya dini na siasa kupo kuanzia NYIMBO YA TAIFA, wanasiasa kuingilia mambo ya kwenda hijja mpaka lile la kuwafuturisha watu ikulu kwa kutumia kodi za wasio na dini na wasio waislam

huo ni udini

Serikali ilitakiwa ikae pembeni na kazi yake ilitakiwa kuhakikisha kuna usalama na siyo kuanza na kuja na initiatives ambazo clearly zinaonyesha upendeleo wa hali ya juu

Je wakristo leo wakilalamika kuwa waislam wanapendelewa na serikali ilijaa udini itakuwaje?

Kwa hiyo unataka kuniambia zile fund raising zinazofanyika makanisani na kuhudhuriwa na viongozi wakuu wa nchi zinapendelea wakristo?? Na mwisho utasema hata viongozi wa nchi wasialikwe kwenye sherehe mbalimbali za kusimika maaskofu makanisani, kwenye sherehe za maulidi, kwenye sherehe za X-mas, kwenye sherehe za Pasaka???
 
Nadhani Bakwata walishapeleka mahujaji wao kupitia Emirates Airlines.

Sidhani kuna umuhimu wa hizo jumuiya nyingine za kiislamu kuingilia kwenye hili suala kwa sababu mhusika mkuu ni ATC. Kwa sababu hata Bakwata wakiingilia nani atalipa gharama za kuwasafisha hao watu wakati ATC imeshaweka hela mfukoni. Serikali inawajibika moja kwa moja kuwasaidia ATC, maana hapa sio kuwasaidia mahujaji maana yake wao wameshalipa pesa lakini kutokana na upumbavu unaoendelea serikalini basi wameshindwa kusafiri. Kwa hiyo hapa Lowassa na Mwenzake Kikwete wako pale kusaidia wazembe wenzao kina Mataka na Nyang'anyi.

BAKWATA kwa sababu walichaguliwa na serikali ili wawe wasemaji wakuu wa serikali ndio maana nikauliza mbona wako kimya?

Hao mahujaji kama si wa BAKWATA basi watakuwa wa HAJJ TRUST iliyokuwa ikiongozwa na marehemu Shiekh Nurdin.

KIKWETE na mwenzie LOWASA hawana cha kusaidia wala nini ile kwa taarifa yako ni PR excercise ili wanekane wanafanya kitu

Mbona kwenye mengine huwa hawaonekani?

Mbona mpaka leo wanaendelea kumlea MSOLA?

Je wakishamaliza hili la hijja watakubali ZNZ ijiunge na OIC?
 
Kwa hiyo unataka kuniambia zile fund raising zinazofanyika makanisani na kuhudhuriwa na viongozi wakuu wa nchi zinapendelea wakristo?? Na mwisho utasema hata viongozi wa nchi wasialikwe kwenye sherehe mbalimbali za kusimika maaskofu makanisani, kwenye sherehe za maulidi, kwenye sherehe za X-mas, kwenye sherehe za Pasaka???

Wawanaweza kuhudhuria at capacity yao binafsi na si kama watawala. Hii ni kuweka mambo sawa na kujua mipaka. Tukishamaliza hio itabidi tubadilishe na nyimbo ya Taifa ambayo nayo imekaa kidini dini na hai represent kila mtanzania kwani si kila mtu anamuamini mungu sasa ya nini watoto ku ambiwa wa kremu nyimbo iliyojaa neno Mungu?
 
ATC kwa miaka yake yote ya kufanya kazi imeshindwa hata kukodi ndege ya KQ au SAA? Nakubali ni jukumu la serikali kusaidia raia wake lakini hapa kwenye hili ni kutetea uzembe huyo Nyang'anyi na Mataka hawajasikika wakiomba radhi au hata kuelezea msimamo wa shirika.

Serikali yetu nayo ina double standards huo ndio ukweli wenyewe, wale vijana waliokwama Ukraine walikanwa na huyo huyo waziri mkuu aliishia kukata simu akisema anakwenda kula.
 
mbona serikali hii hii haikuingia kati kuwasaidia wanafunzi wa UKRAINE?

Mjomba hii ni PR excercise at the expense of walipa kodi ambao si waislam

JF mnasifika kwa kuwa ma free thinkers mbona hili hamtaki kuliangalia kwa undani zaidi?
 
Suala hili ni dogo halihitaji Waziri Mkuu, huyu Bwana ana kazi nyingi, kama Mataka anawajibika kwake ni kumpa maagizo watu waondoke. Kuna njia nyingi za yeye kufanya labda kama waliwachelewesha hili awaondoe na kujipandisha kisiasa kupitia kwa maujaji.
 
na hilo la serikali kuchanganya dini na siasa unasemaje?
 
Mazeee nadhani tubakie kwenye hili suala la mahujaji kushindwa kusafiri kutokana na uzembe mkubwa wa ATC. Tukianza kuangalia kila uchafu wa serikali yetu mimi na wewe itatuchukua miaka mingi kuweza kumaliza kujadili hayo masuala.

Nadhani kwanza hapa tukubaliane kuwa serikali iko pale kusaidia ATC na si mahujaji. Inasaidia uchafu unaofanywa na ATC, inajaribu kukabiliana na uzembe mkubwa wa kina Mataka. Mimi kama nimelipa pesa zangu na kuahidiwa kupewa huduma nina haki zote za kusaidiwa na huyo mtoa huduma ambaye amechukua pesa zangu. Wewe wale watu wamekaa siku 9 kusubiri kusafiri. Kila siku wanazungushwa. Hii si haki kabisa. Halafu mnataka Mataka ndio afufue ATC na kuisimamia ili ijiboreshe na kuingia kwenye ushindani na makampuni mengine kama KQ. Kweli safari ni ndefu.
 
Tena kule Ukraine kulikuwa na baridi balaa. DSM unaweza kulala nje hakuna baridi, yaani derava na utingo wake wote wanarusha changa la macho kwa wabongo.
 
at whose expense?
hivi kodi zetu kazi yake ni kuwasafirisha watu kwenda kuhiji au? kesho wakitaka wanunuliwe kanzu serikali itakubali au ndio mamabo ya political correctness?

GT,
1. Hawa ni Watanzania- ni vyema tu serikali kuintervene- je wangeachwa tu wataabike? Sasa kazi ya serikali nini nini!

2. Unakumbuka wale Wakristo Korea Kusini walivyotekwa- Afganistan? Kwa hiyo Serikali ya S. Korea isingeinterven kwa vile walienda kwa sababu za dini?
 
Tena kule Ukraine kulikuwa na baridi balaa. DSM unaweza kulala nje hakuna baridi, yaani derava na utingo wake wote wanarusha changa la macho kwa wabongo.

Duh nimecheka sana hapo kwenye hilo la changa la macho,
Huyu Mataka ana kiburi cha hali ya juu kashindwa hata kumtuma msaidizi wake kwenda kuomba radhi, alafu ndio mnasema kuwa ameanza kuboresha ATC?
 
mbona serikali hii hii haikuingia kati kuwasaidia wanafunzi wa UKRAINE?

Mjomba hii ni PR excercise at the expense of walipa kodi ambao si waislam

JF mnasifika kwa kuwa ma free thinkers mbona hili hamtaki kuliangalia kwa undani zaidi?

Nakubaliana nawe na hii imefanyika ilikupoza madongo amabayo yangekuja iwapo wasingefanya chochote.Hasa baada ya issue ya Kadhi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom