Geeque
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 936
- 316
Nadhani nitakubaliana na wewe kwenye hili la "hatujui kilichotekea ATC" kutoweza kukamilisha safari kama ilivyopangwa awali. Lakini hili la tabia yao, naona kidogo tunakwenda above ourselves. Cancellation zinatokea na saa nyingine ni reasons ambazo ziko beyond their capabilities. Inaweza kuwa kweli ndege imeharibika and what not; mbona mambo ya kawaida sana haya, the whole world does this, all the time! Ndio maana mnaambiwa contact your airline before hujaenda airport. Lakini kama kawaida binaadamu tunachukua risk ya kwenda airport. Tuwape ATC benefit of doubt! In fact kama cancellation imetokea ambayo sio fault ya shirika la ndege, as a customer, it is your responsibility to come up with plan B.
Naelewa unachokisema Kisura lakini Cancellation kwa zaidi ya siku saba huo ni uzembe wa hali ya juu na hakuna kitu kingine. Na kumbuka kuna watu walitoka Comorro, DRC na Zanzibar ambapo inawezekana hawana ndugu Dar, sasa watu kama hawa walikuwa wanateseka kwa kulala airport kila siku. Huu ni ubabaishaji wa hali ya juu kwa ATC.