Sakata la madawa ya kulevya la mwanae reginard mengi liliishaje?......update pls

KasomaJr

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
367
139
Habari wana-JF,
Bila shaka kumbukumbu bado zipo vichwani mwenu kuwa liliwahi tokea sakata la mtoto wa Mengi kutaka kubambikiwa kusafirisha madawa ya kulevya...je nini hatma ya hii issue? je hatua gani zilizochukuliwa? Ni lini tutaviamini vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha usalama wetu upo, kama wao ndio wanaotutengenezea kesi kwa taama ya kifisi? Na iweje evidences zote alizotoa mzee Mengi, kumhusisha Bwanyenye mwenye fedha za kifisadi kutenga 3BN Kudhurumu haki ya mtu aendelee kuwepo salama tu?
Nini kimetokea nyuma ya pazia?
http://www.youtube.com/watch?v=nwSdy7G4tXI


Mwenye Updates tafadhari.

My Take:
Huendi kuna uzi ulishaandikwa kabla yangu juu ya kutaka kujua hatma ya hii issue, kama ndivyo basi naomba niwekewe link hapa kama reference ili kujielimisha na kujua namna ambavyo serikali na vyombo vyake vya dola vinavyotekeleza majukumu yake.
 
Back
Top Bottom