CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Kuua bila kukusudia maana yake ni nini? Naomba majibu waungwana.
Kuua bila kukusudia ni pale ambapo hukuwa na dhamira ya kuua. Kuna dhamira ovu, unapanga halafu unatekeleza. facts of the case ndizo zitakazoonyesha kuwa ulikuwa na dhamira ovu (malice) au la. Kwa case ya Lulu, walikuwa wanagombania kanumba asichukue simu kwa vile alihisi angeliweza kumpigia huyo mwanamume aliyekuwa anazungumza naye, katika purukushani mtu akaanguka, akapiga chini ubongo akafa. Sidhani kama hapa kulikuwa na nia ovu ya kumuua Kanumba ( kama yanayosemwa ni kweli). Ni maoni yangu tu!!!