Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

I knew it, i knew it, i knew it.

the answer is............ Poraaaaaand.

great thinker, next post ni kujibu hii na kuwapa thanks watu

umeshajizika kwenye kumpenda Mbowe basi, yakitokea haya huna la kusema!

unaandika ukoko ukoko, siasa za Tz mbona zitawatesa nyie, achani ushabiki

MBOWE ALISHAKIHARIBU CHAMA, SASA MNATHIBITISHA, AMEITISHA MKUTANO viongozi wake wengi wasaidizi hawapo

ameshamcorrupt mpaka Slaa sasa, Slaa alitakiwa aulize integrity ya huo mkutano, kama kubwa jinga nalo limeingia nyavuni

yaani mtu mmoja kiongozi akiwa bogus chama lote linakuwa hivyo hivyo

duh!
 
Naona unajipatia madaraka sana siku hizi ya kuwa monta wa JF. Kama umekosa kazi, kagombee uenyekiti wa kijiji chenu kule marakanchoka labda utaweza kutoa amri mbuzi kama hizi.

Unayeteswa ni wewe hapa mwenye obsession na Mbowe

Kama Slaa akiwa kubwa jinga, wewe utakuwa nani vile?
 
Du ama kweli ng'ombe wa masikini hazai...

Now I understand kwanini MWAFRIKA alikuwa akilazimisha kuwa mimi nasema kama msemaji wa Zitto. Mwanzoni nilidhani ni upofu wa kudhani kila mtu hana akili ya kusema ama kuwa na msimamo wake mwenyewe kumbe ugali ulikuwa unaandaliwa kuni?

Wakati haya yakifanyika kama ni kweli ushauri wangu ni kuwa mtambue kuwa Shida Salum alihchaguli kwa kura zaidi ya asilimia 70 kuingia kamati kuu/baraza kuu na pia Kafulila alipata kura nyingi kuliko wagombea wote ndani ya baraza la vijana hivyo hapo mjiandae kupambana na pengine zaidi ya nusu ya wanachama wa CHADEMA.

Hapo sijamuongelea Zitto ambaye wote mnamjua uwezo wake, ubishi wake, umaarufu wake, uthabiti wake na pia ni kiongozi anayejua mapungufu yenu mengi tu na kama sio wote. Na bila ya kusahau wale wote walio na tofauti na uongozi wenu mara baada ya Chacha Wangwe na wengineo kutokea ambao Zitto alifanya kazi ya ziada kupunguza wengi wao wasipige kura za maruhani wakati ule. Kamwe huwezi ukafanya haya yanayosemwa hapa bila ya kuwa na nia mbaya na Zitto. Na hakuna anayeweza kukubali vinginevyo.

Mwenzenu baada ya yale yaliyopita hivi mujuzi hapa jamiiforum,nilikuwa nimeshaanza kufanya mikakati ya kuwakutanisha ninyi na Zitto haraka iwezekanavyo ili muongee mjue na kutambua hasa sababu zinazowafanya muwe kama mlivyo sasa. Sasa kama mmefika huko mnapoelekea then nitakachoweza kufanya ni kuwatakia safari njema ninyi wajuvi na asanteni sana kwa mnayotundea sisi watanzania wenye matumaini yasiyokwisha ya kuona Tanzania yenye demokrasia makini na yenye uwezo wa kujenga taifa lenye ustawi wa wote na imara zaidi...

omarilyas
 
Kaka, Slaa hawezi kuwacorrupted kirahisi kama udhaniavyo. Tatizo la Dr Slaa, akiwa kama Padri mstaafu anaamini sana katika AUTHORITY. Ni vigumu kusimama kidete dhidi ya mkubwa wake kimadaraka.....

omarilyas
 
Du ama kweli ng'ombe wa masikini hazai...

Now I understand kwanini MWAFRIKA alikuwa akilazimisha kuwa mimi nasema kama msemaji wa Zitto. Mwanzoni nilidhani ni upofu wa kudhani kila mtu hana akili ya kusema ama kuwa na msimamo wake mwenyewe kumbe ugali ulikuwa unaandaliwa kuni?

Omar unaishiwa spin sasa unaanza uongo. Mimi nimekuwa nakuuliza kama unachosema kinakubaliwa na Zitto au ni mawazo yako tofauti. Hayo ya kumsemea Zitto unayaweka wewe ingawa pia sikushangai maana huu ndio msimamo wako kwa muda mrefu.

Wakati haya yakifanyika kama ni kweli ushauri wangu ni kuwa mtambue kuwa Shida Salum alihchaguli kwa kura zaidi ya asilimia 70 kuingia kamati kuu/baraza kuu na pia Kafulila alipata kura nyingi kuliko wagombea wote ndani ya baraza la vijana hivyo hapo mjiandae kupambana na pengine zaidi ya nusu ya wanachama wa CHADEMA.

Okay, so what?!

Hapo sijamuongelea Zitto ambaye wote mnamjua uwezo wake, ubishi wake, umaarufu wake, uthabiti wake na pia ni kiongozi anayejua mapungufu yenu mengi tu na kama sio wote. Na bila ya kusahau wale wote walio na tofauti na uongozi wenu mara baada ya Chacha Wangwe na wengineo kutokea ambao Zitto alifanya kazi ya ziada kupunguza wengi wao wasipige kura za maruhani wakati ule. Kamwe huwezi ukafanya haya yanayosemwa hapa bila ya kuwa na nia mbaya na Zitto. Na hakuna anayeweza kukubali vinginevyo.

Omar, kila mara nimekuwa nakukumbusha kuwa mawazo yako sio lazima yawe ndiyo yanakubaliwa na wote. Hii conclusion ni yako binafsi labda na few guys kwenye circle yako.

Mwenzenu baada ya yale yaliyopita hivi mujuzi hapa jamiiforum,nilikuwa nimeshaanza kufanya mikakati ya kuwakutanisha ninyi na Zitto haraka iwezekanavyo ili muongee mjue na kutambua hasa sababu zinazowafanya muwe kama mlivyo sasa. Sasa kama mmefika huko mnapoelekea then nitakachoweza kufanya ni kuwatakia safari njema ninyi wajuvi na asanteni sana kwa mnayotundea sisi watanzania wenye matumaini yasiyokwisha ya kuona Tanzania yenye demokrasia makini na yenye uwezo wa kujenga taifa lenye ustawi wa wote na imara zaidi...

omarilyas

Omar,

Wewe hujawahi kuwa na nia nzuri na chadema, haya unajua kabisa unayasema kinafiki tu. Bado hujui kama uwe mwanaccm au upinzani. Bado husemi kwa hakika kuwa wewe ni mwanachama wa chama gani. Hayo ya kuitakia mema chadema yameanza lini?
 
Naona unajipatia madaraka sana siku hizi ya kuwa monta wa JF. Kama umekosa kazi, kagombee uenyekiti wa kijiji chenu kule marakanchoka labda utaweza kutoa amri mbuzi kama hizi.

Unayeteswa ni wewe hapa mwenye obsession na Mbowe

Kama Slaa akiwa kubwa jinga, wewe utakuwa nani vile?

mimi ni mental case, kati yangu mimi na wewe nani ni obsessed na Mbowe

Unatumika na mbowe kuwapaka na kuwachukia akina Zito ili halina ubishi

Leo nilijua utakaa mbali kabisa na hii thread, lakini mjusi kujifanya yumo safari ya Kenge.

Hili hautasamehewa

Ona sasa tukiwaambia sticky na vijana , mnabaki kuwaonea wivu tu, na kupiga domo JF

mKUU nimeshakulipua feel free kujibu utakavyo hii post, ila nina hakika aibu imekutanda sio wewe tu na akina Mtei ambaye ni mjomba wako

Narudia ili uwe na amani JF usiwe na side yeyote hii itakupa raha kuchangia maada humu

niandkapo hii post consider me the dumpest person in the earth giving you most valuable whizz.

Learn from Mkamap, Masatu, junius, Engineer, Kishoka,Kitila,Tumain n.k

huwa wnajadili ideas na hawana bifu na watu

acha nicheke kidogo

tehe, tehe, tehe, ! he he he! gonga basi
 
Hakuna chama hapo si waende kwenye chama kingine?...kuna chama kipya kimeanzishwa..in case jamaa ana bore..
 
Zitto ndio maana mambo yote yanayohusu CCM sio ya kichama tu bali yakiTaifa pia; kwasababu hakuna upinzani wa kweli hapa Tanzania. Wapinzani mmejaa ubinafsi tu kila mmoja anataka afaidi yeye na wapambe wake,maslahi yenu mmeyaweka mbele yale ya Taifa nyuma.Mtu mwenye mawazo tofauti lazima afukuzwe chama!! Mengi hakukosea kuleta mambo ya SS to the public domain kwasababu mambo ya CCM ni mambo yanayohusu serikali yake kwahiyo ni ya Kitaifa!! UPO hapo??
 
mimi ni mental case, kati yangu mimi na wewe nani ni obsessed na Mbowe

Unatumika na mbowe kuwapaka na kuwachukia akina Zito ili halina ubishi

Leo nilijua utakaa mbali kabisa na hii thread, lakini mjusi kujifanya yumo safari ya Kenge.

Ha ha ha,

Obsession yako na Mbowe nayo inahitaji kipimo. Mawazo yale yale ya kudhani kuwa Zitto ni mungu mdogo kwa hiyo akipingwa tu basi wote wale wanaompinga wanatumiwa na Mbowe.

Huwezi kupanga maisha yangu hapa JF. Ninafanya chochote ninachofanya wakati wowote ule as long as sivunji sheria za JF.

Ninaingia mjadala wowote ule ninaotaka kwa terms zangu na hiki ndicho kinakuumiza sana hadi unapata vijiba kibao na mishinikizo ya damu.

ili hautasamehewa

Ona sasa tukiwaambia sticky na vijana , mnabaki kuwaonea wivu tu, na kupiga domo JF

mKUU nimeshakulipua feel free kujibu utakavyo hii post, ila nina hakika aibu imekutanda sio wewe tu na akina Mtei ambaye ni mjomba wako

Ushaanza kulialia kama kitoto kichanga. Mmeniambia wewe na nani? Na hayo ya kusema kuwa Mtei ni mjomba wangu - ni sababu unatafuta ya kufungiwa (kwa kuvunja sheria za JF) ili baadaye uendeleze vilio vyako.

Nilishawashauri kambi ya Zitto kuwa - haya mambo ya kudhani kila anayewapinga hapa ni ndugu ya Mbowe au Mtei yatawamaliza. Mnaanza kukimbia vivuli vyenu.

Wewe taja jina lolote unalofikiri ni langu lakini hapa ndio mwanzo nimefungua chupa yangu ya pepsi kuanza hii biashara ya kuwhip your ass.

Narudia ili uwe na amani JF usiwe na side yeyote hii itakupa raha kuchangia maada humu

niandkapo hii post consider me the dumpest person in the earth giving you most valuable whizz.

Do I have to care? I dont think so. Wewe una sababu yoyote ile ya kuniambia mimi cha kufanya hapa na kokote kule duniani. So... get lost

Learn from Mkamap, Masatu, junius, Engineer, Kishoka,Kitila

huwa wnajadili ideas na hawana bifu na watu

acha nicheke kidogo

tehe, tehe, tehe, ! he he he! gonga basi

Ha ha ha, Hawa ndio mentors wako?

Naona ushauri wa mzee malecela unawafaa wengi tu.
 
Zitto ndio maana mambo yote yanayohusu CCM sio ya kichama tu bali yakiTaifa pia; kwasababu hakuna upinzani wa kweli hapa Tanzania. Wapinzani mmejaa ubinafsi tu kila mmoja anataka afaidi yeye na wapambe wake,maslahi yenu mmeyaweka mbele yale ya Taifa nyuma.Mtu mwenye mawazo tofauti lazima afukuzwe chama!! Mengi hakukosea kuleta mambo ya SS to the public domain kwasababu mambo ya CCM ni mambo yanayohusu serikali yake kwahiyo ni ya Kitaifa!! UPO hapo??

Inabidi Zitto aende ccm ambako hakuna majungu na ubinafsi. Au sio?
 
Salaam wana JF,

Nadhani mnakuwa emotional sana. Mimi siamini kuwa kuna mpago wowote wa kumfukuza mtu yeyote uanachama wa CHADEMA kwani kaiba yetu ipo wazi kuhusu taratibu za kufukuza uanachama. Nadhani kuna watu ni waoga ndani ya chama kuhusu nafasi zao na kwamba watafukuzwa kwa kuwa walikuwa wakiniunga mkono kufanya mabadiliko ya uongozi. Lakini pia kuna uwezekano mkubwa mjadala huu umeletwa ili kuficha mjadala wa CCM wa umeendelea kwa wiki nzima na pia kuonyesha kuwa hata CHADEMA wanagombana.

Chama kipo shwari na viongozi hawana ugomvi. Pia David Kafulila wala Shida Salum hawawezi kuwa wasaliti wa chama hata kidogo. Nimewahi kusema humu ndani kuwa kule Kigoma CHADEMA ni movement - anayetaka kuvuruga CHADEMA hatatoka salama hata kidogo.

Mwenyekiti Mbowe ni mzoefu wa siasa na hawezi kufanya haya ambayo yameandikwa katika magazeti.

Ninawaomba mtulie kwani CHADEMA ipo imara kabisa na hakuna ugomvi wowote na wala hakuna atakayefukuzwa!
 
Zitto,

Inaonekana Omar na Painstruth hawajapata hii memo. Labda uwatumie PM au press release or njia yoyote unayotumia kuwasiliana nao.
 
Omar,

Wewe hujawahi kuwa na nia nzuri na chadema, haya unajua kabisa unayasema kinafiki tu. Bado hujui kama uwe mwanaccm au upinzani. Bado husemi kwa hakika kuwa wewe ni mwanachama wa chama gani. Hayo ya kuitakia mema chadema yameanza lini?

Ngoja nikujibu hili ambalo umeng'ang'ania nalo sana.

Mosi. Katika kama hali hii ya CCM na CHADEMA bado hatujaongelea CUF, ni kipi hicho ch kunifanya nijunge na yeyote. Kwangu mimi muhimu ni Tanzania. Na kama uanachama mimi ni Mwanachama wa Tanzania mwenye kuamini ndoto za umajumuyi wa Uafrika na siasa ya ujamaa na kujitegemea....Yote haya yalikuwepo wakati wa TANU lakini sasa hakuna.....Niende wapi ndugu yangu...

Uanachma sio swala la oppurtunity kama muonavyo wengi. Uanachama ni imani thabiti katika ajenda, misingi, ndoto na falsafa.......

Kwa hali tuyonayo, na machaguo tuliyonayo...nachelea kusema kama kujiunga katika chama kimojawapo labda nitakapofika mahala naamini kuwa ninahitaji kuwa na nafasi ya kuchaguliwa kisiasa ili kufanikisha ndoto na dira ya yangu ambayo ni kuwa na Tanzanianjema yenye kuwa mchango mkubwa katika kufanikisha kujenga Africanjema yenye kujengwa katika misingi ya demokrasia ya kweli, uongozi wa kinidhamu na maadili, umoja wa kibara na maendeleo ya binadamu.

Hadi sasa naamini kuwa naweza kufanikisha ama hata kujengea misingi imara ya kufanikisha hiyo ndoto na dira yangu bila ya kuwa mwanachama wa chama chochote. Hadi sasa naamini kuwa hakuna chama ambacho kinaonyesha kwa vitendo kuwa angalao kina dira inayofanana kidogo na dira yangu. Mpaka sasa naamini kuwa ni UTANZANIA pekee ndio unaoweza kuniwezesha kujenga misingi hiyo ya kujenga Tanzanianjema na Africanjema....

Ndugu yangu, kwangu mimi what matters ni nini nafanya na sio nafasi gani ninakuwa nayo ama ukada gani ninauvaa....

Omar, haya malumbano hayana tija yeyote kwa Taifa letu. Sisi tunapita tu na hizi Asasi tulizoanzisha zitadumu. Tutoe fursa kwa Taifa kupumua. Sitisha malumbano haya na huyu Mwafrika. Tafadhali nakusihi ndugu yangu
 
Back
Top Bottom