Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Hata sijui inakuwaje. Hivi Mbowe nae ni kama Mrema wa TLP?

Inanihuzunisha sana kwa kweli!!. Hivi kuna tofauti ambazo haziwezi kujadiliwa mezani na kumalizana?
 
hivi kwa nini tusiache wenye chama wafanye mambo yao kuliko kutoana jasho tu hapa..kwani wakifukuzana si inawahusu wao
 
kwa chama makini ,pale wanachama au viongozi wanapokosea ni kufukuza tu..hakuna kuleana leana kama ilivyo huko CCM..kama wana makosa mwenyekiti Mbowe please proceed
 
Tatizo la Mbowe ni elimu kiduchu inayopelekea kushindwa kwenda sambamba na ukuwaji wa chama. Ilipofika sasa Chadema Mbowe hawezi kuinendesha anakosa confidence. Kila wakati anaona watu wanataka kumng'oa hususan wasomi kina Zitto, Kitila et al.

Kwa ukubwa wa Chadema sasa asitegemee kupata watu wa yes sir, na wala asijidanganye kuwa mindhali baba mkwe yupo atakuwa ana kuja kum rescue kila wakati.

Umefika wakati kusema enough is enough, Mbowe mchango wako kufikisha chama hapo kilipo unatosha kutokana na uwezo wako kielimu umegota huwezi fanya zaidi ya hapo hata kamma dhamira yako ni nzuri tatizo ni shule ndogo. Kwa bahati mbaya kajaribu kwenda kusoma lakini kichwa chake ni cha nyoka hakibebi mzigo kafeli sasa karudi Bongo aakipeleka chama alijojo.

Mkuu Masatu hapa umekata mzizi wa fitina.Kukosa shule ni kilema kibovu sana.Kamwe huwezi kujiamini unapofanya na watu wenye degree zao wakati wewe huna hata moja.
Ushauri-Dunia siku hizi imebadilika.Kabla ujaingia kwenye siasa soma,au hata jiendeleze kielimu kihalali kabisa na kwa juhudi zote kama tayari umeingia kwenye siasa bila elimu ya kutosha.Acheni kutegemea certificates za propaganda za Urusi kama kina Lukuvi.
 
kwa chama makini ,pale wanachama au viongozi wanapokosea ni kufukuza tu..hakuna kuleana leana kama ilivyo huko CCM..kama wana makosa mwenyekiti Mbowe please proceed

Huwezi kufukuza mtu uanachama kwa vikao vya siri.Huu ni ubazazi.Ukiona mtu anafikia hatua hii ujue hana hoja au madai ya msingi ya kuitishia kikao halali cha chama na kuwahoji wahusika.
Kama Mbowe ana madai ya msingi wafanye kikao halali.Na ikithibitika hao wanachama wanakisaliti chama basi wanaweza kuamua kuwanyang'anya kadi.
 
unajua siasa ni kama mwanamke mmoja mwenye wanaume wawili, anauma na kupuliza kwa kila mmoja, ukimchosha anaangalia ni vipi atakumwaga, ndani ya chadematayari wameumana na kupulizana sasa wamechokana na wanaangalia ni vipi watamwagana,
 
Mwacheni Mbowe aongoze chama chake ni Mwenyekiti halali na pia hadanganyiki, kama hautaki kusikilizana naye jipotezeee siyo kuleta malumbano.
 
Huwezi kufukuza mtu uanachama kwa vikao vya siri.Huu ni ubazazi.Ukiona mtu anafikia hatua hii ujue hana hoja au madai ya msingi ya kuitishia kikao halali cha chama na kuwahoji wahusika.
Kama Mbowe ana madai ya msingi wafanye kikao halali.Na ikithibitika hao wanachama wanakisaliti chama basi wanaweza kuamua kuwanyang'anya kadi.

Tatizo la chadema ni mbowe , huyu jamaa ameshaona silaha yake ni kusema tu hawezi kufanya na mtu fulani kazi,alifanikiwa kwa msemo huo huo kumwondoa marehem chacha naona anaanza kuchonga mzinga.

Huyu jamaa targeti yake ni Zitto, anataka achokonoe chini ili Zitto ali act alivyotega na ahalalishe usemi wake na hatimaye kumtimua rasmi Zitto.Ni mawazo yangu tu.
 
Ha ha ha,

Naona umefigure out kila kitu mkuu. Wewe inabidi uwe political consultant mkuu hapo Tanzania. Yaani unajua vitu sana mkuu.
 
kwa chama makini ,pale wanachama au viongozi wanapokosea ni kufukuza tu..hakuna kuleana leana kama ilivyo huko CCM..kama wana makosa mwenyekiti Mbowe please proceed

Kweli ukipenda chongo utaita.....Hivi ingekuwa CCM ndo wanataka kutimuana hivi ungeyasema haya????...Mahaba at its work..lol!!
 
Ha ha ha,

Naona umefigure out kila kitu mkuu. Wewe inabidi uwe political consultant mkuu hapo Tanzania. Yaani unajua vitu sana mkuu.

Mkuu
Hapa nafikiri si mahala pa kupropose nafasi za kazi teh teh teh
bado nafikiri tupo kwa mustakbali wa taifa yani kutoa mawazo mtazamo, na pia kubadilishana habari na kuelimishana wana wa BBC wanasema we share experience.

Sasa muono wangu nakuwa Mbowe bado kisa chake hakijaisha kwa Zitto bado anamtafuta.Kwanini awalenge watu ambao walikuwa wanasapotiwa na Zitto?
 
kwa chama makini ,pale wanachama au viongozi wanapokosea ni kufukuza tu..hakuna kuleana leana kama ilivyo huko CCM..kama wana makosa mwenyekiti Mbowe please proceed

Siamini!!!

Kutimuana hovyo siyo ishara nzuri ya demokrasia ya kweli... mwanachama anayepotea njia ni vizuri aitwe, awekwe sawa au awekwe kando bila kufukuzwa uanachama, kwani wakiwavua tu vyeo kutakuwa na madhara gani??

Ugonjwa wa kufukuzana si mzuri wajameni
 
Mbowe inabidi awe makini sana hii habari ya fukuza fukuza badala ya kuingiza wanachama wapya si jambo zuri.CHADEMA inapaswa kuachana na mtindo wa kuwaondoa wanachama wanaokuwa na mawazo tofauti na viongozi.

CHADEMA kwa mawazo yangu nadhani inahitaji uongozi mpya utaoweza kukiondoa chama kuonekana cha kikanda zaidi na kukipeleka katika level ya kitaifa.Sidhani kama Bwana F Mbowe ana mawazo na mikakati ya kukifanya CHADEMA kiwe chama kikubwa zaidi ya kupenda kuvurumisha Chopper angani.
 
Huyu jamaa ana matatizo sana saizi hayawezi kuonekana sana kwa sababu hana madaraka ,lakini huyu jamaa kitu cha kwanza ni dikteta,kitu cha pili ni fisadi,kitu cha tatu anakitumia chama kama biashara,kitu cha nnen hana uwezo.............

Huyu jamaa kama CHADEMA mnaipenda mwangalieni kwa jicho la karibu.

Mbowe kawamtimua Kabouru na kumsingizia fisadi,kamtimua Chacha na kumpoteza kabisa ,kajaribi kumtimua Zitto lakini zitto kawa na roho ya chuma sasa anatumia njia ya nyuma.

Yoyote anayeonekana ni kikwazo ktk biashara yake na chadema kwake ni tatizo na hawezi kufanya na mtu kama huyo.

Kama akina Kikwete ni wabovu haina maana tupo hapa kutafuta mtu mwingine mbovu eti tukiwa na lengo la kusukuma gurudumu mbele.
Hivi unamfahamu Mbowe wewe au ni dhana tu mukichwa chako?
 
Mbowe is right....more than right!!!!
Fukuza mamluk Chair,hatuwezi kuwa na wanachama ambao wanavuruga chama afu tuwaache eti chama kitavurugika.
Uwepo wao ni matatizo kwa chama,so its better wafukuzwe.
Sina imani sana na Zito,huyu dogo anaonekana hayuko stable bado,though ni popular,but we should not trust him 100%,sijajua whats wrong with Mama Zito,but if there is a proof without doubt kuwa anavujuisha siri au anaenda kinyume na the way of our chama,its better akae kando/awekwe kando,CCM wanajaribu kutumia watu wenye ushawishi ndani ya chadema eg Zito kuvuruga chama chetu,coz wanajua once kukitokea mvutano baina ya chma na mtu kama zito/Mama Zito,this will draw the attention ya watu,some thing which may lead to collapse of our Chadema,...Mbowe if you have strong evidence that watu hao wanatuhuma ambazo ni za kweli ambazo ni hatari kwa mustakabali wa chama,its better you flush them away before they ruin our party.
Tuachen ushabik wa ki CCM,kuleana leana kusikokuwa na maana.

thats why Naungana na Absalom Kibanda katika usemi wake
"Tatizo ndani ya chama anaungwa mkono na vijana wajinga sana"
 
ukishakula nyama ya mtu utaendelea kuila tu.Huyu Mbowe alishaonja damu ya kufukuza,eti anatishia sitaweza kufanya kazi na huyu,kwani imekua kampuni?Huyu ndo wa kutimuliwa sasa,hana mpango wala nini,hivi mmesahau alichomfanyia Chacha?Hiyo dhambi haitaisha,elimu ndogo,kazi kubebwa tu.
 
Ha ha ha,

Naona umefigure out kila kitu mkuu. Wewe inabidi uwe political consultant mkuu hapo Tanzania. Yaani unajua vitu sana mkuu.

Wewe humjui MkamaP,

Yeye anawajua wataaramu wote wa IT kureee poraaaaand. Atachungulia kwenye computer yako na kujua kama wewe ni mpambe wa Mbowe au Makamba.

Shauri yako, nimekuonya mapema.
 
Hivi unamfahamu Mbowe wewe au ni dhana tu mukichwa chako?

Sikuelewi labda ongea zaidi.

Labda nijaribu kubashiri swali lako kwa majibu haya Mbowe ni mwenyekiti wa chadema aliyeshindwa shule.
mbowe ni mwenyekiti aliyemtimua Kabouru kwa kumbambakizia mambo ya kifisadi.
Mbowe ni mwenyekiti aliye mmaliza chacha kwa kuanza kumbambikizia kuwa ni shwaiba wa RA na badae akafanya kweli.
Mbowe na siasa zake chafu anajaribu kumharibu Zitto kwa staili zile zile.

Mbowe sasa anataka kutimuwa wanachama.

Mbowe anafanya biashara naa chadema ,ana propose kuruka na helkopita ndani ya helkopita anaruka mwenyewe na fedha hizo anakikopesha chama na wakati huo huo anavuta fedha za posho kujilipa fedha alizozitumia mwenyewe na chopa lake tena na riba juu

Wakaguzi huru waende wakakague njisi Mbowe anavyotumia fedha za chama.
 
Haya yote umeyajulia Poraaand au Ileje?
 
Back
Top Bottom