Sakata la gesi Mtwara: Wabunge CCM wacharuka

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,732
Dodoma. Wabunge wa CCM wamekuja juu na kumtaka Rais Jakaya Kikwete kuwafukuza kazi vigogo wa Serikali mkoani Mtwara, wakiwamo Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya kutokana na kile walichoeleza ni uzembe uliochangia vurugu zinazoendelea za wananchi kugomea gesi kutoka nje ya mkoa huo.

Wengine waliopendekezwa kuchukuliwa hatua ni kamati nzima ya ulinzi na usalama ya ngazi ya mkoa na wilaya ya Mtwara mjini, wakiwamo makamanda wa polisi.

Kutokana na hali hiyo, vigogo kadhaa mkoani humo wako hatarini kukumbwa na ghadhabu hiyo akiwamo Mkuu wa vikosi vya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mkuu wa mgambo na Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).

Wabunge hao walikuwa wakitoa mapendekezo hayo kwenye kikao cha Kamati ya Wabunge wa CCM iliyofanya kikao cha dharura juzi usiku, mjini hapa.

Kikao hicho kiliongozwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, huku Spika wa Bunge, Anne Makinda ambaye wakati huo alikuwa kwenye kikao cha Kamati ya Uongozi wa Bunge, aliwakilishwa na Mwenyekiti wa Bunge, Jenista Mhagama.

Katika kikao hicho maalumu kilichokusudia kutoa ushauri kwa Rais Kikwete juu ya njia mwafaka ya kutatua hali ya machafuko, wabunge wengi wali kukasirishwa na jinsi hali ilivyo mkoani Mtwara. Chanzo chetu kwenye kikao hicho kilieleza kuwa wabunge hao walichukizwa na jinsi Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya walivyokuwa wakipingana kimsimamo. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Joseph Simbakalila, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mjini, Wilman Ndile na Kamanda wa Polisi Mkoa Linus Sinzumwa wamehusishwa.

Licha ya baadaye kuonekana kuwa kitu kimoja, wabunge hao walidai kuwa walishindwa kutumia nafasi zao katika kutatua tatizo hilo, ambalo hadi juzi Serikali ilisema walikuwa wamekufa watu watano, wakiwamo wanajeshi wa JWTZ waliofariki katika ajali wakati wakienda kutuliza machafuko.

Chanzo hicho kilieleza kuwa iwapo mapendekezo ya wabunge hao yatapelekwa kwa Rais Kikwete kama michango ya wabunge hao ilivyokuwa, huenda rungu likawaangukia pia viongozi wa kisiasa wa CCM mkoani humo. Miongoni mwa wanasiasa hao, chanzo hicho kimesema ni wale waliotoa kauli za waziwazi kuunga mkono msimamo wa kutoruhusu gesi kusafirishwa nje ya mkoa huo.

"Hapa wapo wabunge, madiwani na viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM," kilieleza chanzo hicho.

Hata hivyo, baadhi ya wabunge walipendekeza mkakati wa kutatua uzembe uliofanyika Mtwara, unapaswa kuchukuliwa kwa uangalifu usije ukasababisha madhara mengine kwa Chama na Serikali.

Walisema suala hilo halina budi kuchukuliwa kwa uangalifu hasa ikizingatiwa kuwa Chama cha CUF ndicho chenye nguvu mkoani humo ukilinganisha na vyama vingine vya upinzani.

Wabunge hao walikituhumu chama hicho kuwa kimekuwa kikijaribu kutumia vurugu hizo kama kigezo cha ushawishi wa kukubalika mkoani humo.

My Take!
Hivi kweli kwa sakata hili hao wanaoshutumiwa ni kweli hizo shutuma zinawahusu? hapa tatizo ni ujengaji wa Bomba la gesi na wanaoshinikizwa kujengwa kwa bomba hilo hawaishi Mtwara inakuwaje shutuma wapewe viongozi wa Mtwara? ebu tufanye Serikali itamke kwamba kuanzia sasa mpango wa ujenzi wa Bomba la gesi haupo tena tuone kama Vurugu zitakuwepo, Hapa wanataka kuwatoa watu kafara kwa makosa yao ya kutokujalii matakwa ya wananchi.

''TAARIFA HII INAPATIKANA KATIKA GAZETI LA MWANANCHI''
 
.......

Naunga mkono hoja
 
Hawa mwananchi si ndo wanaandikaga kinyumenyume. Juzi waliandika taarifa ya kumhusisha rais akitoa go ahead kwa wanaccm wanaotaka kuwania urais kuanza kampeni, taarifa ambayo nape aliikanusha na kutoa tamko la chama
 
Tatizo ni kwamba Ccm hawasomi alama za nyakati hawataki kutoka kwenye analog kwenda digital.Wananchi wa sasa si wa ndio mzee au zidumu fikra za mwenyekiti.kusini tayari ukombozi bado Dodoma Singida Tabora na Geita.
 
Kwa hiyo wabunge wa ccm wamegeuka kuwa watetezi wa serikali siyo? Ni lini watawatetea wananchi? Hiki nacho ni kituko cha mwaka!!
 
Huo ushauri ni sawa na kutibu malaria kwa kutumia panadol. Serekali iweke mikataba ya uvunaji wa rasilimali za nchi wazi. Hizi rasilimali ni za watanzania na wala sio za watu wachache, kwanini mikataba inafichwa. Kama wananchi hawatakuwa wameridhika, serekali haitafaidi na mwananchi hatafaidi
 
Dodoma. Wabunge wa CCM wamekuja juu na kumtaka Rais Jakaya Kikwete kuwafukuza kazi vigogo wa Serikali mkoani Mtwara, wakiwamo Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya kutokana na kile walichoeleza ni uzembe uliochangia vurugu zinazoendelea za wananchi kugomea gesi kutoka nje ya mkoa huo.

Wengine waliopendekezwa kuchukuliwa hatua ni kamati nzima ya ulinzi na usalama ya ngazi ya mkoa na wilaya ya Mtwara mjini, wakiwamo makamanda wa polisi.

Kutokana na hali hiyo, vigogo kadhaa mkoani humo wako hatarini kukumbwa na ghadhabu hiyo akiwamo Mkuu wa vikosi vya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mkuu wa mgambo na Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).

Wabunge hao walikuwa wakitoa mapendekezo hayo kwenye kikao cha Kamati ya Wabunge wa CCM iliyofanya kikao cha dharura juzi usiku, mjini hapa.

Kikao hicho kiliongozwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, huku Spika wa Bunge, Anne Makinda ambaye wakati huo alikuwa kwenye kikao cha Kamati ya Uongozi wa Bunge, aliwakilishwa na Mwenyekiti wa Bunge, Jenista Mhagama.

Katika kikao hicho maalumu kilichokusudia kutoa ushauri kwa Rais Kikwete juu ya njia mwafaka ya kutatua hali ya machafuko, wabunge wengi wali kukasirishwa na jinsi hali ilivyo mkoani Mtwara. Chanzo chetu kwenye kikao hicho kilieleza kuwa wabunge hao walichukizwa na jinsi Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya walivyokuwa wakipingana kimsimamo. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Joseph Simbakalila, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mjini, Wilman Ndile na Kamanda wa Polisi Mkoa Linus Sinzumwa wamehusishwa.

Licha ya baadaye kuonekana kuwa kitu kimoja, wabunge hao walidai kuwa walishindwa kutumia nafasi zao katika kutatua tatizo hilo, ambalo hadi juzi Serikali ilisema walikuwa wamekufa watu watano, wakiwamo wanajeshi wa JWTZ waliofariki katika ajali wakati wakienda kutuliza machafuko.

Chanzo hicho kilieleza kuwa iwapo mapendekezo ya wabunge hao yatapelekwa kwa Rais Kikwete kama michango ya wabunge hao ilivyokuwa, huenda rungu likawaangukia pia viongozi wa kisiasa wa CCM mkoani humo. Miongoni mwa wanasiasa hao, chanzo hicho kimesema ni wale waliotoa kauli za waziwazi kuunga mkono msimamo wa kutoruhusu gesi kusafirishwa nje ya mkoa huo.

“Hapa wapo wabunge, madiwani na viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM,” kilieleza chanzo hicho.

Hata hivyo, baadhi ya wabunge walipendekeza mkakati wa kutatua uzembe uliofanyika Mtwara, unapaswa kuchukuliwa kwa uangalifu usije ukasababisha madhara mengine kwa Chama na Serikali.

Walisema suala hilo halina budi kuchukuliwa kwa uangalifu hasa ikizingatiwa kuwa Chama cha CUF ndicho chenye nguvu mkoani humo ukilinganisha na vyama vingine vya upinzani.

Wabunge hao walikituhumu chama hicho kuwa kimekuwa kikijaribu kutumia vurugu hizo kama kigezo cha ushawishi wa kukubalika mkoani humo.

My Take!
Hivi kweli kwa sakata hili hao wanaoshutumiwa ni kweli hizo shutuma zinawahusu? hapa tatizo ni ujengaji wa Bomba la gesi na wanaoshinikizwa kujengwa kwa bomba hilo hawaishi Mtwara inakuwaje shutuma wapewe viongozi wa Mtwara? ebu tufanye Serikali itamke kwamba kuanzia sasa mpango wa ujenzi wa Bomba la gesi haupo tena tuone kama Vurugu zitakuwepo, Hapa wanataka kuwatoa watu kafara kwa makosa yao ya kutokujalii matakwa ya wananchi.

''TAARIFA HII INAPATIKANA KATIKA GAZETI LA MWANANCHI''

Tatizo kubwa la inji hii ni yule mdini numbari one kapinda kinoma kwa sasa hajui hata anafanya nini alikenua sana siku aliposaini mikataba 18 akijifanya watanzania wako poa
 
Inawezekana kwamba wananchi wa Mtwara wengi wao hawajasoma na kwenye hili hawakuwa informed vya kutosha au kama walikuwa informed basi mbinu zilizotumika kuwafikishia ujumbe haikuwa sahihi kutokana na elimu yao na uelewa wao. Sasa nani alitakiwa kufanya jukumu hilo? na uwezekano wa pili kwamba taarifa ziliwafikia wakaamua kwa makusudi kuweka pamba masikioni.

Ila ukweli utabaki hayo yote haya justify fujo zilizofanywa Mtwara na kuchoma moto nyumba za watu nadhani kuna wahalifu walikuwa wanasubiri huo mwanya utokee wafanya mambo yao.Au inawezekana kuna wanasiasa wananufaika na huu mgogoro wangependa uendelee.
 
Hao wabunge wanaleta siasa tu, mbona hawakumshauri JK kuhusu Kawambwa na Mulugo.
 
gesi hii itawasumbua sana,
hizi damu zilizomwagwa kwa makusudi yao hawa mafisadi itawaandama sana,
na ccm ndio imejifia moja kwa moja ndani ya kanda hii
 
hakika the big show umeamua kunyoosha endelezeni elimu ya uraia kanda hiyo kuwaondoa wananchi kwenye mikono dhalimu ya chako changu,changu changu
 
gesi hii itawasumbua sana,
hizi damu zilizomwagwa kwa makusudi yao hawa mafisadi itawaandama sana,
na ccm ndio imejifia moja kwa moja ndani ya kanda hii

Kutoka Wavuti

[h=2]Ni wapi CCM imekuwa na busara kutumia rasilimali za nchi hii?[/h][COLOR=#333333 !important][FONT=Verdana !important]24/05/2013[/FONT][/COLOR]
[COLOR=#333333 !important][FONT=Verdana !important]1 Comment[/FONT][/COLOR]

[COLOR=#333333 !important][FONT=Verdana !important]Nimejaribu kuelimisha kiutaalamu madai ya msingi ya Wanamtwara. Wako sahihi kwa 100%. Nchi zenye akili, sio inayoongozwa na CCM, rasilimali, huwa kwa kiwango fulani zinabaki sehemu zinakozalishwa/toka.

Mfano, wanyamapori, jamii za jirani hupata mgawo wa 25% ya mapato ya uvunaji. Kwa nchi zenye akili, Australia, New zealand na zinginezo, kwenye gesi na mafuta ya ndani ya eneo la bahari (3 nautical miles) gasi na mafuta ni ya jimbo husika. Kwenye bahari kuu, offshore, mapato yanagawanwa kati ya serikali na watu wa eneo husika kwa makubaliano maalumu, MOU.

Kwa kesi ya Mtwara, pia, ilitakiwa iwe hivi. Ubovu wa serikali dhalimu ya CCM, uonevu na wizi wa rasilimali
[/FONT][/COLOR]

[COLOR=#333333 !important][FONT=Verdana !important]waliouzoea kwenye madini, tembo, ndege za nchi, reli, bandari n.k. wanakataa ukweli huu.

I wapi dhambi ya kudai manufaa kwenye gesi inayotoka eneo lao? Kwa nini kenye wanyama haki hii ipo? Kuna watu wanadai serikali ilitumia fedha kutafiti gesi - hawa ni mambulula hayajui eneo hili la gesi.

Kwa usahihi utafiti wa gasi na mafuta hufanywa na kampuni husika kwa makubaliano ya kugawana gesi na mafuta vikipatikana/mapato-production sharing agreements husainiwa. Kazi ya serikali ni kuandaa vitalu vya utafiti tu, kisha wanohitaji wanaomba na kupatiwa.

Huu ndiyo ukweli na usahihi wa jambo hili. Gesi lazima iwafae kwanza Wanamtwara, mathalani 15-25% ya mauzo ya gesi yote ibaki Mtwara, kisha nchi yote inufaike pia. Ahadi za viwanda ni upuuzi wa CCM na umbumbu wa kila siku.

Kiwanda gani cha serikali kipo hai nchi hii cha kutoa ajira? Mbolea Minjungu kipo mahututi, Urafiki kipo wapi Ubungo? Mwatex Mwanza? CCM, acheni ujinga, tumieni akili, si nguvu kila mahali.

Hakuna mkono wa siasa, kutaka umaarufu wala ndumba.

Hamna aibu kwa wizi mlioufanya kwa miaka mingi kuhusu rasilimali za nchi hii!

Wapi CCM imekuwa na BUSARA kutumia RASILIMALI za nchi hiii? Wapi CCM imekiri kukosea na kujisahihisha?

---
Imeandikwa na Stanslaus Nyembea via[/FONT][/COLOR]​

Source: Ni wapi CCM imekuwa na busara kutumia rasilimali za nchi hii? - wavuti.com
 
"ccm" ni tusi jipya kingia kwenye kamusi.
ccm mkubwa we!!!!!
 
Kama kuna mijitu minafki na haijui inaongea nini ili mradi kujionesha na kujikomba kwa mabwana zao ni hii mijitu ya CCM!
Tatizo kuu la sala lote no uongo uliokuwepo tokea mwanzo wakati wa kupiga kampeni za kipropaganda za kuwaoza watu wa mtwara...sasa watu wameisha kula pesa za wafadhiri na wamtwara hawataki kusikia uppuzi, hapo ndiyo kazi inaanza
 
Naibu waziri wa Nishati na madini amesema mikataba ni Mizuri....ni wakati akijibu hoja za wabunge leo mchana
 
tatizo sio mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya, hapa tatizo ni wale wanaolazimisha gas itoke mtwara na wako Dar wanatanua.
 
Back
Top Bottom