Sakata la Dr ulimboka, Tutegemee nini iwapo Mtuhumiwa anapewa kazi ya kujichunguza

Mfichua siri

Senior Member
Jun 19, 2012
135
62
Hivi hakuna namna nyingine ya kuchunguza wahusika wa Unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka? Itawezekanaje Mtuhumiwa kujichunguza? Ikumbukwe Polisi amepigwa jana akihisiwa kuhusika na unyama aliofanyia Dr na tunaambiwa Polisi haohao ndiyo wamepewa kazi ya kuchunguza unyama huo. Msije kushangaa kusikia majibu ya kisiasa hapa
 
Back
Top Bottom