Sakata la Dr Slaa kutegewa vinasa sauti chumbani limeishia wapi?

Mkuu nikawaida yetu kusahau mambo angalia hata akina Mwanakijiji wameshasau hili sijui nani wakutukunbusha ngoja tusubili...
 
It was a non issue to begin with;

OR they were planted by the waheshimiwa and/or their own people;

and/or The cops have no clue, idea or any leads or anything else to follow up on;

BUT PROBABLY a waste of tax payers valuable time! Hata yeye mwenyewe hajasema lolote......

Talk about things that make you go mmmmhhhhhhhh...........???!!!
 
'Vyombo vya usalama havihusiki na kuweka vifaa hivi kwa sababu ni vya kizamani sana, hatuvitumii tena. Tunaenda kuvichunguza Dar' ... hapo ndipo mchezo ulipoishia au labda bado wanaendelea kuvichunguza na nina uhakika uchunguzi huo hautakwisha mapema
 
Nawaombeni mnijuze kama mna any updates.

Chama kimeshika utamu na vyombo vya dola vyote viko chini ya chama. Kwa kifupi hawakuona umuhimu wa kulichunguza zaidi. Ingekuwa amewekewa kingunge wa serikali au CCM basi si ajabu watu wangekuwa wameshakamatwa. Hii inaonyesha ni nani waliohusika na kumtegea Dr vinasa sauti vile.
 
Mkuu nikawaida yetu kusahau mambo angalia hata akina Mwanakijiji wameshasau hili sijui nani wakutukunbusha ngoja tusubili...

Hii ni stage ya nne ya kile kiitwacho "ISSUE ATTENTION CYCLE". Watu kwa sasa wame-lose interest....mpaka "issue" itakapoibuliwa tena..
 
Last edited:
Radio Clouds... Wana msemo usemao Single gani ( wakiwa na maana yaHabari iliyokamata News!!!) ipo juu wiki hii... Nadhani kutokana na jinsi habari za Tanzania zinavyoweza-sahaulisha watu vitu muhimu vinavyolikabili taifa mfano...
Sitazipanga kama zilivyokuwa... ila natoa mfano tu
Issue ya Richmond,Likaja swala la mgawo,likaja suala la Rama mla watu,Suala la Kura za wanaouwa Maalibino,Wema Sepetu kawekwa ndani,Dr Slaa kawekewa vitu vya hatari chumbani kwake,Mzee Mwinyi kazabwa kibao... Single ya Dowans mara Mwakyembe amshutumu Rostam!!!Single ya wiki iliyopita ilikuwa....Mange Kimambi kamfungulia kesi Wakili Magai!!! Single ya wiki hii ni Hotel 2 za kitalii zateketea Bagamoyo.... Na kila wiki kuna single yake... Mrisho Mpoto aliwahi kughani TIA H2O TIA H2O mara uchaguzi huoooooo 2010...
Nawasilisha!!!
 
Lakini nafikiri kama wana-JF, tuna wajibu wakukumbushia hizo single zilizo kamata kisawasawa huko nyuma huku tukijua hata kama ni kelele za mlango, kuna siku zitamsumbua aliyelala! "Revolomanana analijua hili"!
 
'Vyombo vya usalama havihusiki na kuweka vifaa hivi kwa sababu ni vya kizamani sana, hatuvitumii tena. Tunaenda kuvichunguza Dar' ... hapo ndipo mchezo ulipoishia au labda bado wanaendelea kuvichunguza na nina uhakika uchunguzi huo hautakwisha mapema

coloured text imevuta macho yangu sana.
kama walisema hivyo basi mjue HABARI ndo HIYO, cha msingi unganisha dots tu!
 
Back
Top Bottom