Sakata la Dowans, nani alaumiwe?

mafinga kwetu

Member
Nov 21, 2010
35
3
poll.png
Sakata la Dowans, nani alaumiwe ? Rais Jakaya Kikwete 3937 77%
Baraza la mawaziri 377 7.4%
Wanasheria na Mawakili 337 6.6%
Shirika la Umeme (Tanesco). 198 3.9%
Wabunge wa CCM 183 3.6%
Wabunge wa upinzani 78 1.5%


source:mwananchi.co.tz/component/poll/9-sakata-la-dowans-nani-alaumiwe-.html
 
tweve hivi ni yule bahati tweve wa udism mwaka 2004/5. Kama niwewe plz ni pm haraka contact zako, umekua unatafutwa muda mrefu,there is g ood job for you. Kama ni wewe unakumbukwa kwa ku mastermind mgomo flan kipindi hicho pale udsm.
 
Hatuhitaji kumlaumu mtu tunataka awajibike kwani kulaumu tu haitohi
 
Hilo Gazeti la Mwananchi ntalifuatilia ni la lini? na kura mbona hatukupiga. Lawana ni nyie msiotaka kuchukua hatua na kuzungumzia chinichini hamuoni huko Misri? Nimeshasema Dowans wasilipwe, km ni RA nani asiyejua alizichota BOT ya Balali wakati wa awamu ya 3 akiwa Mweka Hazina wa Chama tawala? JK alikuwa Wizara ya nje. Hela zikaliwa na wengi wakati wa Kampeni (Kagoda, EPA, Richmond Dowans nk) na hata leo wanazisubiri asilaumiwe mmoja
 
Back
Top Bottom