Sakata la Dangote limeonesha kuna CCM vibendera na wenye CCM

Nimefatilia mjadala wa Dangote toka umeanza kiukweli kuna maswali mengi sana.

Yale matamko ya mawaziri mashabiki wa ccm waliyashangilia sana lakini wenye Ccm walinyamaza kimya.

Wapinzani walikuwa wakimtetea Dangote ili asifunge kiwanda chake jambo ambalo limefanikiwa.

Lakini Ccm walifikia kuponda uwepo wake kuwa anataka vya bure na ni mpiga dili.

Walienda mbali zaidi na kusema watanzania wanalipwa 120,000 kwa mwezi wakati wahindi wakilipwa Milioni 3.

Wakaenda mbali zaidi wakatuletea polojo za uwekezaji wake hata nchini Nigeria huku wakisema Dangote ni mnyonyaji..

Mara anataka Makaa ya mawe bure Mara anataka Gesi bure.

Mara aliingia mikataba na ofisi ya Lumumba sio Serikali.

Mimi ni mmoja wa watu niliyekuwa kwa upande wa Dangote mpaka nikafika kushauri Dangote awaburuze mahakamani Serikali kwa mikataba walioingia ili kuokoa Ajira za watanzania.

Lakini cha kushangaza leo watu hao hao waliokuwa wanaponda na kumkejeri Dangote Leo wanamshangilia na kumuona Magufuli ni shujaa wao .

Maswali yanakuja .....

Je mliosema watanzania wanalipwa 120,000 kwa mwezi leo baada ya press ya Rais mshahara wao umeongezeka ndipo mkashangilia?

Je mumeambiwa makaa ya Mawe yapo ya kutosha atanunua hapo ndio mkashangilia?

Je mumeambiwa Gesi atanunua kwa kiasi gani au hatapewa bure kama mlivyodai ndipo mkashangilia?.

Baada ya kujiuliza haya maswali nimerudi tena nikagundua mashabiki wengi wachama cha kijani wanaburuzwa na kuja hapa kutetea vitu wasivyovijua wakati wenye ccm wakiwaangalia tu.

Jana unamponda Dangote kwamba aondoke tu kuna wawekezaji kibao Leo unamshagilia Magufuli kwa kuongea na Dangote?...

Only in Tanzania
Mkuu hata kesho Magu akibadili Mawazo na kumtosa Dangote jamaa watafuata upepo tena
 
Ndani ya CCM kuna watu makini sana, na ndani ya CCM kwa bahati mbaya kuna "wapumbavu" halafu wako wale wa "kati kati" hili kundi linaweza kuirarua CCM muda wowote.
 
Kweli kabisa mdau. Sema natumia kitochi, ningejaribu kuweka baadhi ya thread za WANAZI waliosema Dangote hawamuhitaji. Kipekee nilikua nasikitika kimya kimya, kwani nilijua bado Dangote hata kama ana weza kuwa na mapungufu(ambayo naamini anayo sawa na binadam yeyote) lakini bado tulikua na tutaendelea kumuhitaji kwanza kwa kodi, ajira na hata unafuu wa bei ya saruji.

Kuna watu ni wachumia tumbo walikua wanamponda oooh hafai, ooh anakwepa kodi. Sasa leo kama maji ya mtungi walivyopoa, nyambaf..
Mkuu umejibu kama technically
Mleta uzi
 
Nimefatilia mjadala wa Dangote toka umeanza kiukweli kuna maswali mengi sana.

Yale matamko ya mawaziri mashabiki wa ccm waliyashangilia sana lakini wenye Ccm walinyamaza kimya.

Wapinzani walikuwa wakimtetea Dangote ili asifunge kiwanda chake jambo ambalo limefanikiwa.

Lakini Ccm walifikia kuponda uwepo wake kuwa anataka vya bure na ni mpiga dili.

Walienda mbali zaidi na kusema watanzania wanalipwa 120,000 kwa mwezi wakati wahindi wakilipwa Milioni 3.

Wakaenda mbali zaidi wakatuletea polojo za uwekezaji wake hata nchini Nigeria huku wakisema Dangote ni mnyonyaji..

Mara anataka Makaa ya mawe bure Mara anataka Gesi bure.

Mara aliingia mikataba na ofisi ya Lumumba sio Serikali.

Mimi ni mmoja wa watu niliyekuwa kwa upande wa Dangote mpaka nikafika kushauri Dangote awaburuze mahakamani Serikali kwa mikataba walioingia ili kuokoa Ajira za watanzania.

Lakini cha kushangaza leo watu hao hao waliokuwa wanaponda na kumkejeri Dangote Leo wanamshangilia na kumuona Magufuli ni shujaa wao .

Maswali yanakuja .....

Je mliosema watanzania wanalipwa 120,000 kwa mwezi leo baada ya press ya Rais mshahara wao umeongezeka ndipo mkashangilia?

Je mumeambiwa makaa ya Mawe yapo ya kutosha atanunua hapo ndio mkashangilia?

Je mumeambiwa Gesi atanunua kwa kiasi gani au hatapewa bure kama mlivyodai ndipo mkashangilia?.

Baada ya kujiuliza haya maswali nimerudi tena nikagundua mashabiki wengi wachama cha kijani wanaburuzwa na kuja hapa kutetea vitu wasivyovijua wakati wenye ccm wakiwaangalia tu.

Jana unamponda Dangote kwamba aondoke tu kuna wawekezaji kibao Leo unamshagilia Magufuli kwa kuongea na Dangote?...

Only in Tanzania
Nimekubaliana na wewe mpaka pale uliposema washability wengi wa chama cha kijani wanaburuzwa na kuja hapa kutetea. Hilo siyo hitimisho la kweli sababu wenye matatizo hayo siyo wa kijani tu ndizo sifa zenu wanachama wote wa vyama vya bongo. Fuatilia Lowasa alipoitwa Fisadi CCM baadhi walimtetea na CDM walimua sana alipohamia CDM anaitwa kamanda siyo Fisadi na waliokua wanamtetea nao sasa wanamuita Fisadi hivyo hiyo analysis yako imejikita kiitikadi zaidi
 
Watanzania wambea sana
Eti leo wapinzania ndo walikuwa wanatetea kiwanda kiwepo...!?
Wakati hao NDO walikua wanafurahia na kumcheka magufuri na kusema nchi imemshinda rejea post zako technically /salary slip.
Sasa mtajeni mwenye hiyo kampuni ikiyotaka umuzie dangote gas kama hana kadi ya ccm Na kwa mazungumzo ya mawazir hao wa viwanda Na nishat wanatakiwa kujiuzuru na nawapa pongezi wandishi wa habar na wapinzani waliochangia suhala hili Moana the kufika ikulu
 
Nimekubaliana na wewe mpaka pale uliposema washability wengi wa chama cha kijani wanaburuzwa na kuja hapa kutetea. Hilo siyo hitimisho la kweli sababu wenye matatizo hayo siyo wa kijani tu ndizo sifa zenu wanachama wote wa vyama vya bongo. Fuatilia Lowasa alipoitwa Fisadi CCM baadhi walimtetea na CDM walimua sana alipohamia CDM anaitwa kamanda siyo Fisadi na waliokua wanamtetea nao sasa wanamuita Fisadi hivyo hiyo analysis yako imejikita kiitikadi zaidi
Mkuu nikupongeze pia kwa kuliona hilo but ujue sijawai kuwa mfuasi wa Lowassa wala mbowe hapo uniombe msamaha.

Uwa naongea jambo kwa Uhuru wangu wa kutoa maoni.....
 
Kwahili nawapongeza sana wapinzani nani elimu tosha kwa Mh.Rais John P.Magufuli kua upinzani sio kubaguana au kukomoana bali ni mawazo kinzani n.a. mbadara..UPINZANI NIWA MAWAZO,SERA,HOJA N.A. ITIKADI hapa kweli mmetuonyesha njia
 
Kwanini Lowassa anawapoteza vijana CHADEMA?

Nimekubaliana na wewe mpaka pale uliposema washability wengi wa chama cha kijani wanaburuzwa na kuja hapa kutetea. Hilo siyo hitimisho la kweli sababu wenye matatizo hayo siyo wa kijani tu ndizo sifa zenu wanachama wote wa vyama vya bongo. Fuatilia Lowasa alipoitwa Fisadi CCM baadhi walimtetea na CDM walimua sana alipohamia CDM anaitwa kamanda siyo Fisadi na waliokua wanamtetea nao sasa wanamuita Fisadi hivyo hiyo analysis yako imejikita kiitikadi zaidi
 
Lowasa hawapotezi na mimi siamini kama kweli ni Fisadi kama tunavyobiwa na ccm ama tulivyoambiwa na CDM ila inanipatia taabu sana kuona kama kweli ni kiongozi makini kama kina Mbowe wanavyotaka kutuaminisha. Lazima kuna mabovu mengi anayajua ama kwa kushiriki kuyafanya ama kuona yakifanyika. Akitaka kujiosha anatakiwa atueleze kitu gani kilifanyika na kama hatatuambia basi wanamtuhumu wana point ya kuprove pili alikua na miaka mingi akipigwa mizengwe kwanini hakuhama wakati ule? hayo tu yananikwaza kwa huyu mheshimiwa. Pamoja na hayo yote watu wa CDM waliokuwa wqkimtuhumu sasa wanamtetea na ndilo nililotaka kukuambia si kijani pekee ni wote hata CUF nako wapo ACT pia japo wao kidogo wana ustaarabu siyo kama ccm na ukawa
 
yule ni comical tu ...
Huyo jamaa hana tofauti na yule aliyekuwa Waziri wa Habari wa Iraq wakati wa vita na wamarekani.

Alikuwa akiitisha vikao vya waandishi wa Habari akiwahikikishia wairaq wenzake kuwa ingawa wamarekani wameingia Baghdad, hapo ndipo yatakuwa makaburi yao ya halaiki, wakati ukweli anaujua kuwa wapiganaji wa nchi yake ya Iraq ndiyo wanaoangamia!
 
Lowasa hawapotezi na mimi siamini kama kweli ni Fisadi kama tunavyobiwa na ccm ama tulivyoambiwa na CDM ila inanipatia taabu sana kuona kama kweli ni kiongozi makini kama kina Mbowe wanavyotaka kutuaminisha. Lazima kuna mabovu mengi anayajua ama kwa kushiriki kuyafanya ama kuona yakifanyika. Akitaka kujiosha anatakiwa atueleze kitu gani kilifanyika na kama hatatuambia basi wanamtuhumu wana point ya kuprove pili alikua na miaka mingi akipigwa mizengwe kwanini hakuhama wakati ule? hayo tu yananikwaza kwa huyu mheshimiwa. Pamoja na hayo yote watu wa CDM waliokuwa wqkimtuhumu sasa wanamtetea na ndilo nililotaka kukuambia si kijani pekee ni wote hata CUF nako wapo ACT pia japo wao kidogo wana ustaarabu siyo kama ccm na ukawa
Safi nimekuelewa
 
Safi nimekuelewa
Asante mkuu wewe unajua kabisa hua naheshimu sana mada zako maana mimi binafsi ninajua unaandika kama mtanzania na siyo unazi wa.kisiasa. Watu kama wewe ndiyo hua napenda kuwa argue nao pale ninapoona kuna kasoro sababu najua ni kasoro ndogo nisipokuelewa utanielewesha na wewe kama umejikanyaga utajirekebisha. Hii nchi ni yetu pale JPM akiboronga lazima tumkosoe sababu lazima ajue sisi si mazombie lakini akifanya la maana lazima tumuunge mkono. Ndiyo maana nimekua mstari wa mbele kukutetea kwa wanaokubeza katika uzi wa Mafuru sababu nimeona kuna point muhimu katika uzi ule.Baada ya kusema hayo Magufuli anatakiwa pia kuadibisha walimfikisha hapo katika hili sakata kuanzia waziri husika aliyedanganya wananchi. Kama hatafanya hivyo basi imani yetu itakua ndogo kwake tutajua bado tupo katika business as usual
 
Watanzania watu wa ajabu sana.

Back
Top Bottom