Saikolojia ya Nguo Fupi

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Ule msimu wa kuchipua hatimaye umeanza kwa wabeba maboksi. Hivyo jua limeanza kutoka na kuifanya hali ya hewa isiwe ya baridi. Mabinti nao wameanza kuvaa nguo fupi kupita kiasi. Ukiwaona mitaani utadhani hawakuwepo wakati wa msimu wa kipupwe. Swali la kujiuliza ni nini hasa saikolojia inayofanya wanawake wa rangi zote wavae nguo fupi kiasi hiki? Je, ni fasheni? Au ni kwa ajili ya kuvutia macho ya wanaume? Pengine ni raha na uhuru mwili ukiwa wazi?
 
napita hapa.............wanawake mje kujibu.....wabeba maboksi nakaa kusoma maexperience yenu....
 
WANASEMA BIASHARA itembezwayo ndio itokayo.
wasichana siku hizi hawatongozwi, wengi wa vijana wanatafuta walio na umri mkubwa zaidi yao. sasa wasipovua nguo watawakamatia wapi?
 
Duuuuh nadhani ni zaidi ya sababu moja inayosababisha. Moja na msingi ni fashion, pili kuakisi mvuto kwa watazamaji hasa wanaume.

Il kw kawaida ili kuvaa nguo fupi huko kusiwe kero inatakiwa kusiache maungo ya mwanamke sehemu kubwa uchi, hasa kwa wabantu.

Wazungu haina shida kwanza hata damu yao nasikia ni ubaridi baridi tehe tehe lakini siyo kenge au jamii inayohusiana na damu baridi tehe tehe tehe.
 
wacha wavae tupate show za bure.....plus women need to be sexy and nothing defines sexy than showing some skin!!!!
 
WANASEMA BIASHARA itembezwayo ndio itokayo.
wasichana siku hizi hawatongozwi, wengi wa vijana wanatafuta walio na umri mkubwa zaidi yao. sasa wasipovua nguo watawakamatia wapi?

hii ni hata kwa wale ambao tayari wana maboifurendi, wachumba na hata walioolewa, yaani ni vikaputula, vigauni na visketi vifupi (vimini micro) kwa kwenda mbele tena wengine wanavaa hivyo vimini na viatu vya mchuchumio na kutembea navyo kwa swaga la nguvu - na kuna wanaojilaza tu kwenye majani wanaota jua! Au ni mambo ya kuringishiana doli doli?
 
kuna watu wanapendeza na nguo fupi bwana hawana mawazo ya kutamanisha watu
 
Ule msimu wa kuchipua hatimaye umeanza kwa wabeba maboksi. Hivyo jua limeanza kutoka na kuifanya hali ya hewa isiwe ya baridi. Mabinti nao wameanza kuvaa nguo fupi kupita kiasi. Ukiwaona mitaani utadhani hawakuwepo wakati wa msimu wa kipupwe. Swali la kujiuliza ni nini hasa saikolojia inayofanya wanawake wa rangi zote wavae nguo fupi kiasi hiki? Je, ni fasheni? Au ni kwa ajili ya kuvutia macho ya wanaume? Pengine ni raha na uhuru mwili ukiwa wazi?

Scarcity of material
 
hivi na sisi wanaume tukiamua kuvaa nguo fupi let say vipensi vidogovidogo vya jinsi vinavyoishia kwenye mapaja na nguo za juu zimekatwa mabegani enzi hizo zilikuwa zinaitwa carwash, tutakuwa tunawavutia akinadada?
 
ha ha itakuw poa sana nimeipenda hii.km utakuwa comfotable just do it mbna nyie nw mwavaa tait na vitop na kuonyesha miboxa yenu had surual zawadondoka njian.
 
hii ni hata kwa wale ambao tayari wana maboifurendi, wachumba na hata walioolewa, yaani ni vikaputula, vigauni na visketi vifupi (vimini micro) kwa kwenda mbele tena wengine wanavaa hivyo vimini na viatu vya mchuchumio na kutembea navyo kwa swaga la nguvu - na kuna wanaojilaza tu kwenye majani wanaota jua! Au ni mambo ya kuringishiana doli doli?
Hawajafika safari zao hao! Bado wanafikiri watapata wengine wenye sifa bora kuliko walizonazo watu wao wa sasa! Wanaofika hujituliza na kufanya yahusuyo bwana wake ili aendelee kuwa nae!
 
hivi na sisi wanaume tukiamua kuvaa nguo fupi let say vipensi vidogovidogo vya jinsi vinavyoishia kwenye mapaja na nguo za juu zimekatwa mabegani enzi hizo zilikuwa zinaitwa carwash, tutakuwa tunawavutia akinadada?

Taathira kwa wanawake itakuwepo tu. Badala ya kupendwa tutawatisha! Hata hivyo wale wapendao ngarambe wataathirika kivyao.
 
Swali la kujiuliza ni nini hasa saikolojia inayofanya wanawake wa rangi zote wavae nguo fupi kiasi hiki? Je, ni fasheni? Au ni kwa ajili ya kuvutia macho ya wanaume? Pengine ni raha na uhuru mwili ukiwa wazi?

I think it's a little bit of everything. Some do it for the fashion...some to attract attention (especially from men)...some just for kicks...etc.
 
Rais wa Mabeba Maboksi, niliongea nao wanasema wanavaa bila dhamira yoyote ya kumtega mtu ila sielewi kwa nini huwa wanazivuta chini zikipanda kupita kiasi, leo mmoja alifanya hiyvo sijui alihisi namchungulia au vipi - yaani uamue mwenyewe kuvaa nguo fupi halafu bado uanze kuivutavuta kwa kuwa haikusitiri vizuri! Hali hii pia niliwahi kuiona kwenye mahafali fulani pale uhandisi, mdada kavaa joho zuri la kuhitimu anaenda kupewa cheti na mkuu wa chuo ila kaamua kuvaa kimini japo kila saa kinavutika juu hivyo inabidi akishushe na kuwafanya watu tumkodolee macho bila kujitambua!
 
hivi na sisi wanaume tukiamua kuvaa nguo fupi let say vipensi vidogovidogo vya jinsi vinavyoishia kwenye mapaja na nguo za juu zimekatwa mabegani enzi hizo zilikuwa zinaitwa carwash, tutakuwa tunawavutia akinadada?

Wengine miguu yetu imejaa manyoya!
Sina hakika kwao wadada watatamani manyoya!
Si wapo hapa? Tuwaachie wenyewe waseme.
 
Ule msimu wa kuchipua hatimaye umeanza kwa wabeba maboksi. Hivyo jua limeanza kutoka na kuifanya hali ya hewa isiwe ya baridi. Mabinti nao wameanza kuvaa nguo fupi kupita kiasi. Ukiwaona mitaani utadhani hawakuwepo wakati wa msimu wa kipupwe. Swali la kujiuliza ni nini hasa saikolojia inayofanya wanawake wa rangi zote wavae nguo fupi kiasi hiki? Je, ni fasheni? Au ni kwa ajili ya kuvutia macho ya wanaume? Pengine ni raha na uhuru mwili ukiwa wazi?

Kupita kiasi kipi? Na hicho kiwango cha kiasi kakiweka nani? Ili iweje?
 
Back
Top Bottom