Saikolojia: Namna ya kutambua tabia ya mtu

mi mbishi khaa ni shigdaa (soma huku unabonya buttons za brakbeli kwa nguvu)
 
Asante kwa uchambuzi huo mkuu. Swali langu ni; Je kwa aina ya watu uliowa ainisha kuna fursa ya mmoja wapo kubadilika kuwa na sifa za upande wa pili? Kwa mfano Mjeuri kuwa mpole na vivyo hivyo kwa mpole? Na Je hii ni hurka ya kuzaliwa nayo(genetical) au inaathiriwa na mazingira husika ya mtu anapoishi na staili ya maisha yake????

Asante
 
Tabia Ya Upole Ni Kweli Kabisa Ulivyosema Nina Rafiki Wa Kike Yupo Hivyo Hivyo Ni Kama Ulikuwa Unamuongelea Yeye.
 
Hata sijielewi kuna SAA ukinikuta utanipenda bure lkn vikiamka ni pilipili naona Niko ktkt...
 
NikiwA na Hela Hata Ukinitukana Ntaona tu poa
Lakini Usiombe Nivurugwe Hata ukinigusa bahati mbaya mbona utaomba samahani.
 
nipo kundi la wapole..nkaja kustuka they r taking advantage ya unyenyekevu wangu..pamoja na kuwa mpole sana sikubal kupelekeshwa
 
Back
Top Bottom