Je, ni lipi suluhisho la mwanaume kufika kileleni mapema?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
Malalamiko yanayotolewa na baadhi yao yanaonesha kwamba, muda wa kumaliza tendo huwa kati ya nusu dakika na dakika tatu kwa tendo la kwanza, huku wengine wakimaliza hamu katika hatua za awali tu za hamasa ya kimahaba.

Hata hivyo, kumetolewa maelezo na nafuu ya ongezeko la muda katika tendo la pili na kuendelea, ingawa bado suala la kutangulia kufika kileleni kabla ya wanawake limekuwa likiwahuzunisha wanaume wengi.

Ni ukweli usiopingika kuwa, mwanaume anapowahi kufika kileleni kabla ya mwenzake humsababishia kero mwanamke anayeshiriki naye tendo, kwani humwacha njia panda pasipokuwa na hitimisho la raha ya kujamiiana.

Hali hii inatokana na maumbile ya uume wa mwanaume ambao husinyaa mara baada ya kuhitimisha mbio zake, lakini kwa mwanamke kuwahi si tatizo, kwani hakumfanyi ashindwe kumsindikiza mwenzake hadi kileleni.

Utofauti huu ndiyo unaowafanya wanaume wahuzunike zaidi wanapokabiliwa na janga hilo kiasi cha kufikia hatua ya kwenda kwa waganga/matabibu ili iwasaidie kuepuka balaa ya kutoka uwanjani na aibu.

Ingawa kumekuwa na mafanikio katika tiba za kisayansi, lakini bado wanaume wameshindwa kupata ukombozi wa kudumu wa tatizo hili. Wengi wamejikuta wakijiongezea mzigo wa fikra kwa kuzitumaini zaidi dawa au kuzitumia na kupata matokeo mabaya zaidi ya kuishiwa nguvu kabisa.

Kwa kufahamu mikinzamo iliyopo kati ya akili na tiba ya nguvu za kiume na madhara yachipukiayo imebainika kuwa, mtu anaweza kujitibu tatizo hilo kwa kutumia kanuni za kisaikolojia na mafanikio yasiyo na madhara yakapatikana.
Wataalamu wa kisaikolojia wanatambua kuwa kanuni ya ufanyaji mapenzi iko zaidi kwenye ubongo kuliko mwilini.

Kinachotokea hadi mtu akapata msisimko wa kufanya mapenzi si mwitikio wa mwili, bali ni utambuzi wa akili juu ya kiwango cha mapenzi kilichopokelewa kwenye ubongo unaojihusisha na hisia.

Usikose kumalizia somo hili wiki ijayo kwenye gazeti hili uweze kutambua mbinu za kuweza kulimaliza tatizo hili kisaikolojia. Ushauri wa masuala ya kimaisha na matatizo yote yanayohuzunisha unatolewa, wasiliana nami!

Muendelezo wa Somo
Leo tutaendelea kutoka pale tulipoishia wiki iliyopita, kama ifuatavyo. Inaelezwa kuwa, akili ikishiba vigezo na kutuma taarifa zenye usahihi kwenye mwili viungo hupokea hisia na kuanza kusumbua. Kwa msingi huo kama tunataka kufika kileleni mapema au kuchelewa lazima tucheze zaidi na akili kuliko mwili.

Katika hali ya kawaida nguvu ya kupenda inayomwingia mtu huwa kubwa, lakini suala la kupunguza ukubwa wa hisia lazima lipewe kipaumbele. Jambo kubwa linalowasumbua wanaume wengi wenye tatizo la kufika kileleni mapema ni kuwa na PUPA ya kufanya mapenzi.

Wengi wao hupokea hisia zilizokuzwa na kwenda nazo katika ufanyaji wa tendo la ndoa. Saikolojia inaelekeza kuwa ili mwanaume achelewe kumaliza, lazima apunguze mhemko unaotokana na kuona, kuhisi na kupagawishwa na staili au chombezo toka kwa mwanamke.

Anachotakiwa kufanya ni kutumia zaidi ya dakika 20 kufanya maadalizi na mpenzi wake kabla ya kuanza tendo. Hii itasaidia kuufanya mhemko wake ushuke na kumuongezea muda wa kumaliza.

Aidha mbinu ya kuidanganya akili lazima itumike ili kuzima taarifa za juu za uzuri wa mwanamke, maumbile na raha ya starehe isipokelewe kwa nguvu kubwa mwilini. Hii ikiwa na maana kuwa kuna kipindi inabidi fikra za mwanume zisihamasike sana kwenye tendo badala yake iletwe mawazoni hali ya kawaida, si ile ya kuweweseka na kuhema hema hovyo. Yafuatayo ni maelekezo ya msingi ya kufanya, ili mtu asifike kileleni mapema:

Mume na mke wanapoingia katika uwanja wa mapenzi wakae kwanza kwa muda, huku wakiwa wamejiachia na mavazi mepesi. Pili wacheze michezo mingi kwa muda mrefu bila kuanza kazi yao. Wakiwa kwenye hamasa hizo wasiwe kimya bali wazungumze na kuulizana maswali ya kimahaba.

Baada ya hapo mbinu nyingine ya kuzuia mbegu za kiume zisitoke ni ile ya kujibana. Inashauriwa kuwa mwanaume akiona dalili za awali za kumaliza bila kujali ametumia muda gani anachotakiwa kufanya ni kukaza misuli ya miguu na kuzuia mbegu kwa mtindo atumiao kuzuia haja ndogo isitoke.

Kujibana huko kunatakiwa kuende sambamba na kuacha kucheza ‘shoo'. Pacha na hilo mwanaume anatakiwa kuidanganya akili kwa kuilazimisha iwaze jambo jingine hasa la kuhuzunisha ili kuharibu taarifa za raha zilizotumwa mwilini zisiendelee kufanyiwa kazi na hatimaye kumaliza tendo haraka.

Zoezi hili linaweza kuwa gumu katika hatua za kwanza kutokana na kukosea muda sahihi wa kujizuia, lakini mhusika akiendelea kujizoeza atajikuta anaweza na kupata uwezo wa kufanya mapenzi hata kwa saa nzima, hivyo kuondokana na tatizo hilo bila tiba wala madhara. Kwa ufafanuzi zaidi wa tatizo hili na upungufu wa nguvu za kiume nunua kitabu cha Saikolojia na Maisha.
---
Uwanja wetu wa leo, utakuwa na kazi moja tu, kujadili tatizo la kuwahi kufika kileleni, kuchelewa kupata nguvu za kurudia tendo, chanzo na tiba yake. Dhumuni la kuandika mada hii limetokana na maoni ya wasomaji wengi.

Wasomaji hao ambao wengi ni wanaume, waliniomba niwaandikie hivyo ili kunusuru uhusiano wao. Wengine wapo kwenye ndoa, kwahiyo waliniambia kuwa ushauri wangu unaweza kuwa tiba timilifu kwao.

Hivyo basi, kutokana na kutambua umuhimu wao, ndiyo maana sijasita kushika kalamu na kuandika haya unayoyasoma.
Tatizo la kuwahi kufika kileleni, mara nyingi huendana na mambo mengine ambayo huchagiza wenzi wengi kusalitiana ama kutengana kabisa.

Wanawake wengi wanagombana na watu wao kwa sababu kama hizi, hawavutiwi kuwaona waume wao wakiwahi kufika kileleni, hivyo kushindwa kuwapa dozi inayotosheleza.

Wanasikitishwa na hali ya wenzi wao ya kukosa nguvu za kutosha wakati wa kufanya tendo la ndoa ama ugoigoi wa kuchelewa kurudiwa na nguvu za kufanya kweli.

Aidha, wanakosa amani wanapobaini kwamba wapenzi wao hawana msisimko wakati wa kufanya yale ‘mambo yetu'. Hata hivyo, tunapogeuka kisaikolojia hili si tatizo kubwa, bali linahitaji kutuliza akili.

Ninaposema kutuliza akili, nakuwa namaanisha kuwa wengi hawana magonjwa yanayohitaji dawa, isipokuwa wanasumbuliwa na matatizo ya kisaikolojia tu.

Vijana na baadhi ya watu wazima wengine wanaenda kwa waganga na wakati mwingine wakijikuta wanajiingiza katika matumizi ya mitishamba bila kuelewa kwamba ugonjwa wao haupo kwenye kasoro za kimaumbile, bali upo akilini.

Hapa nataka tukubaliane kwamba jambo kubwa linalowasumbua wanaume wengi wanaodai kuwa hawana nguvu ni ukosefu wa elimu ya mabadiliko ya kibinadamu na ufahamu duni wa mbinu za kuwawezesha kucheza michezo ya kimapenzi kwa ufanisi.

Mpenzi ni sanaa pana, ina mafunzo mengi na ili uimudu, unatakiwa ujifunze kila siku mabadiliko yaliyopo. Sambamba na hilo, kujua mapito, mazingira, mabadiliko ya mwili na kuyakubali ni mambo ya msingi.

Pamoja na matatizo haya kuwakera wanawake kama nilivyotangulia kusema, huwafanya wanaume kukosa amani. Mara nyingi wanaopata dosari hizi, hujihisi wana nuksi.

Hata hivyo, mshangao unaokuja hapa ni kwamba wanaume hupenda kutafuta mbinu za kutatua tatizo lao bila kuwashirikisha wenzi wao, kana kwamba wao haliwahusu.

Saikolojia inatambua kuwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ni zao la udhaifu wa mke na mume na sio la mwanaume peke yake kama watu wengi wanavyodhani.

Kwa mfano, mwanaume atapata wapi msisimko wa kimahaba kama mwanamke hatakuwa mtundu wa kubuni mbinu za kuufanya mwili uliopoa usisimke?
Atavutiwa nini mwanaume kurudia awamu ya pili, ikiwa kwenye mzunguko wa kwanza alikutana na harufu isiyofaa? Nakshi nakshi humuongezea mwanaume hamu ya kutaka tena na tena. Huo ndiyo ukweli!
Napenda niweke ukweli kweupe, mara nyingi tatizo la msisimko wa kurudia tendo, husababishwa na mwanamke mwenyewe. Kwa maana hiyo, ili litatuliwe ni lazima ziwepo juhudi za pande mbili.

Tuweke kituo kwa leo, nakuomba tukutane Jumatatu ili tuendelee na mada hii. Bila shaka, tutakapokutana ‘ishu' ijayo, utaweza kung'amua mengi kuhusu somo hili. Mimi na wewe tupo together as one.

Pia unashauriwa kusoma mada hii:
= > Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume: Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu tatizo hili
 
Habari wanajamii mimi ni kijana umri miaka 27.

Nina tatizo kubwa la kuwahi kumaliza(kuwahi kufika kilele) hii inanipa tabu sana mana mpenzi wangu nakuwa simlizishi kwakweli ananivumilia sana kwa hali yangu. Naomba msaada wa ushauri wowote ama tiba kamili ya kuondokana na adha hii mbaya sana, la kwanza nawahi la pili hivohivo nanachelewa mda kila round.

Kama kuna mdau yoyote aliyewahi kuwa natatizo hili naomba anipe tiba aliyotumia naogopa madawa maana yanaua nguvu nasikia kuna tiba asili ni zipi.

Hili tatizo la kuchelewa round limejitokeza baada ya kukosa usingizi mana silali na nilishawahi kuomba msaada hapa wa tatizo la usingizi naendelea na ushauri kidogo improvement ipo japo sifeel kama nalala kabisa, nipeni msaada kijana mwenzenu mana hili tatizo lanitesa sana.
 
Watu wengi wana tatizo hili usiwaone wamevaa masuruali hawasemi tu, Hakuna suruhisho moja lakini unaweza kwanza kuchange mindset, unapoenda kufanya kitendo hicho nia ya kwanza iwe kumridhisha mwenzako sio wewe kumaliza haja, pili usifanya tendo kama unakimbia mbio za mita 100 kama bolt, kwamba atakayemaliza haraka ndo mshindi, jaribu control movement, Tatu control namna ya kupumua, legeza mwili kidogo utakapokuwa kwenye tendo ukiona unakaribia unaweza kustop ghafla ukamwongelesha mwenzio kidogo alafu ukaendelea.

Tatizo la watu wengi wakiwa kwenye tendo hawaongei matokeo yake mwili unaubana sana unakosa relaxation. Upumuaji ni muhimu, take a deep breath, hii inalegeza mwili na kukupa confidence.

Siri kubwa ya kuchelewa ni kuongeza blood circulation mwilini, hata hizo dawa za kuongeza nguvu zinachofanya ni kuongeza blood circulation, katika hali ya kawaida hii unaweza kuipata kwa kufanya mazoezi ili kuongeza mzunguko wa damu, kupunguza vitambi pia si vibaya siku moja moja ukajaribu kupata kinywaji kikali kidogo kama kwako pombe si mwiko kinaongeza blood circulation though unashariwa usiwe mlevi.
 
Kama unapiga kapombe kidogo nunua value changanya na redbull alafu ingia mzigoni,pia usiwe na papara unapofanya kama ulivyoshauriwa hapo juu wanawake wanachelewa sana kufika kileleni lazima uwe na mbinu kumfurahisha kabla ya kuanza
 
Watu wengi wana tatizo hili usiwaone wamevaa masuruali hawasemi tu, Hakuna suruhisho moja lakini unaweza kwanza kuchange mindset, unapoenda kufanya kitendo hicho nia ya kwanza iwe kumridhisha mwenzako sio wewe kumaliza haja, pili usifanya tendo kama unakimbia mbio za mita 100 kama bolt, kwamba atakayemaliza haraka ndo mshindi, jaribu control movement, Tatu control namna ya kupumua, legeza mwili kidogo utakapokuwa kwenye tendo ukiona unakaribia unaweza kustop ghafla ukamwongelesha mwenzio kidogo alafu ukaendelea...
Asante nitazingatia yote uliyonishauri. je hakuna tiba inayosaidia pia tofauti na madawa haya ya kisasa
 
Kama unapiga kapombe kidogo nunua value changanya na redbull alafu ingia mzigoni,pia usiwe na papara unapofanya kama ulivyoshauriwa hapo juu wanawake wanachelewa sana kufika kileleni lazima uwe na mbinu kumfurahisha kabla ya kuanza

Mi cmnywaji wa value kaka napiga castle little tu, ila nitajaribu nione matokeo yake. kawaida kwa mwnaume unatakiwa kumaliza kwa dakika ngapi ili ulimzishe huyo mwanamke mana mimi ni ndani ya sekunde nakosa raha kabisa mpaka nimeanza kuchukia kufanya mana naaabika
 
fanya mazoez ya kuzuia kukojoa, mimi binafsi niliwah kupiga nyeto kwa vipindi tofaut huko nyuma......ila nilikua napenda sana ile raha ya kutaka kumwaga niendelee kuisikia japo kwa dakika kadhaa, Kumbe kule kujichelewesha kulinipa ex[perience nyingine!!nilijikuta baada ya muda fulani ninauwezo wa kukontroo nikojoe baada ya muda gani.

Nilipoingia rasmi kwenye uhusiano na laazizi wangu aliniona pamoj ana sifa nyingine zakipekee nilizo nazo kuwa mwanaume wake never seen....si kwamba najisifia ndugu ila nina uwezo kwa kukaa juuya kifua cha mwanamke hata kwa dakika 30...bila kupiz na hapo ni hadi aniambie plz beby come.

Try that na uniambie
 
dogo..kwani huyo ni mkeo au demu wako?..

kama ni mke naona unahitaji mbinu za kumridhisha na kama ni demu tuu unagonga upunguze uzito inabidi mkae mjadiliane terms and conditions kabla hamjaanza zoezi..

kama mkataba ni wewe kukojoa regardless yeye..poa. na kama mkataba ni yeye akojoe na kufika orgasm nadhani unahitaji msaada na yeye pia anatakiwa kushiriki katika zoezi la yeye kukojozwa...

sio mtu unajituma yeye anawaza madeni yake ya saccos na wapi apate pesa ya kununua noah sioni jinsi utavyomkojoza huyo bintiako.

FANYENI MAPENZI SHIRIKISHI ILI MFIKIE MALENGO MLIYOJIWEKEA PAMOJA.
 
Pia dogo naanza kuamini hupati usingizi kwa kuwa unawaza sana jinsi ya kumfikisha mpenzi/demu wako...hakuna jinsi usingizi unaweza kuja maeneo kama hayo yaliyojaa mawazo.

Kama vip hebu jaribu kupiga kazi za nje tofauti na demu wako uone mzuka uanakuwaje..tafuta katoto kadogo ukagonge coz ile miguno ya utamu na maumivu kwa mbali lazma ikupe munkari ya kupiga double platinum....namaanisha unagonga bao mbili za kuunganisha bila kushuka kuvuta pumzi...

Then ukirudi kifuani unamaliza na moja ya kibingwa ndani ya 45mins unakuwa una-run the show.
 
Pole sana kaka. Tatizo pamoja na ushauri uliopewa mimi napenda nikuambie kuna product nzuri sana iliyoandaliwa kiasilia isiyokuwa na kemikali na yenye matokeo mazuri sana. Inaitwa ARGI+. Ni bidhaa nzuri sana yenye vitamin C, D3,K2,B6,B12,Folate, L-Arginine,sugars.

Husaidia katika mzunguko mzuri wa damu, ukuaji mzuri wa misuli,ukuaji na urekebishaji mzuri wa mifupa na tishu za mwili. Husaidia kwa kiwango kikubwa ukuaji na ufanisi wa nguvu za kiume.

Husaidia umeng'enyaji mzuri wa mafuta na sukari mwilini na vilevile husaidia katika uzalishaji wa hormoni katika mwili.
Kwa kuweza kuipata niandikie kwa email: healthwealthfirst@gmail.com pia napatikana kwa namba 0713889162
 
1.KULA ASALI MARA KWA MARA NA MDALASINI, PUNGUZA AU ACHA PUNYETO, UWE UNABANA MKOJO NA KUUTOA MARA
NYINGI UWEZAVYO WAKATI WA KWENDA HAJA NDOGO NA UFANYE TENDO LA NDOA MARA KWA
MARA NA MAZOEZI YA MWILI KIDOGO (RECOMMENDED)
2.HAKIKISHA UMEMUANDAA VYA KUTOSHA MWENZIO KABLA KUJATUPIA KITU NA KM VP INGIA UVINZA (NOT
RECOMMMENDED) ILI AMALIZE AU AWAHI KUMALIZA KABLA YAKO

asante mkuu hiyo mdalasini na asali nimejaribu naanza kuona matokeo yake improvement zinaonekana nimeanza kuchelewa la kwanza japo co dakika nyingi ila la pili nachelewa sana, pombe cjaanza 2mia, pia nijuze mwanaume unatakiwa utumie dakika ngapi kutoa la kwanza na muda gani kurudia raundi ya pili
 
Mwanamke kumfikish kileleni sasa hivi ni Pesa! By the way bro tatizo lako kubwa ni msongo wa mawazo, hujiamini hivyo kuongeza tatizo,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom