SAIGON Club na siasa za Tanzania

..kulingana na maelezo ya Jenerali, idea ya kumleta Maximo ilitoke Saigon.

..je, kuna jambo gani lingine limetokea Saigon na linatekelezwa na serikali hii??
 
wachawi na wakuu wa matambiko tuu.si hawa hawa walikuwa wakitoa kafara hadi za watu ili simba na yanga zishinde?ndio maana nchi haina Mungu.Kwani ililaaniwa kupitiwa hawa wachawi.Think tank gani sasa sasa hawa watoto wachovu walioridhishwa mikoba ndio hung`aa.Huku ndipo siri za nchi hupelekwa na udini hupandwa. Huku ndipo upuuzi wa MOI hufundwa ,himizo la historia ya uhuru huubiriwa.Time is coming this non-sense would disappear
 
NI WAZEE FULANI AMBAO NI WACHUMIA TUMBO TU...UNAWEZQ WAITA MA PIMP KWENYE SIASA

OVA
 
Back
Top Bottom