Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,211
- 113,501
Kwani Jumuia za Kiarabu zimechukua hatua gani? sasa hivi kuna migogoro kama minne au mitano sasa kila mgogoro mnataka NATO tu.
Jumuia ya Kiarabu ni bomu kama ulivyo muungano wa Afrika. Lakini kama NATO waliingilia huko Libya ili kuepusha mauaji ya raia wasiokuwa na silaha, well, guess what, Assad is doing the same damn thing if not worse. Na tena huko Syria vyombo vya habari vya nje ndo haviruhusiwi hata kuingia basi inawezekana hali ikawa mbaya zaidi kuliko hata Libya.