Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

Heeee huyu jamaa vipi?
Zitto anawafanya mnaweweseka enhh? I can see!
Zitto ndio mwenye gazeti ni biashara yake na si Charity. anafanya biashara na analipwa kwa matangazo kama amekwama kibiashara aende benki kukopa sio kuja kupiga bakuli hapa.
mbona magazeti mengine yakipata mtihani wa kikazi wanalipa wenyewe.
basi na MBOWE tumchangie humu akalipe deni lake NSSF.
 
SOkomoko,

huyu mama anataka kubadili hii thread ili mchango kwa Kubenea usifanyike maana hicho ndicho kilichobaki kuwa ajira yake toka kwa Rostam Azizi hasa baada ya kutoswa na JK na RO kwa umri wake na chuki zake dhidi ya dini ya kikristo.
 
utachangia na nani wakati huna kazi sasa hivi?
 
Mie sina chuki za kijinga kama wewe Mwanakijiji ambaye unachuki tu kila kitu kwa failure yako ya maisha.Kitila ana nini hadi nijikombe wakati kafukuzwa hadi na Mrema? ukweli ni muaminifu kuliko wewe.ambaye unaishi kwa misiba, migomo. JF na KLHNEWS.

Na wewe sasa unaboa. Kwanza una ushahidi gani Mwanakijiji ndiye Mwafrika wa Kike? Nina uhakika huna. Yaani hapa unajichoresha tu.
 
SOkomoko,

huyu mama anataka kubadili hii thread ili mchango kwa Kubenea usifanyike maana hicho ndicho kilichobaki kuwa ajira yake toka kwa Rostam Azizi hasa baada ya kutoswa na JK na RO kwa umri wake na chuki zake dhidi ya dini ya kikristo.

Kwani nani huyu?hebu nipeni data zake na mimi nimchambue. namshangaa mama mzima uso umejikunja anatoa shutma za mwanakijiji na kujipendekeza kwa wengine!mie nilidhani dume kumbe jike maana maneno yake yamekakamaa ile mbaya mbovu!

Kweli ishi uone vioja sasa hayo maudhui anayopost mbona hayaendani na hii thread?

Ushauri kwa Mwafrika wa kike.

Usibishane na mjinga kwani sisi tutashindwa kuwatofautisha mwache aseme akimaliza atanyamaza michango itachangwa na huyo Bwana wake RA tunamngojea kikaangoni!
 
This is beyond kuishiwa hoja. Ni uwendawazimu in progress.....

Kuna wengine wanatafuta sababu ya kufungiwa ili baadaye waanze rants zao against JF.

Nimempa ushauri atulie tu atapata "kazi" nyingine lakini naona mwenzangu chuki na hasira vimefunika uwezo wa kawaida wa kufikiri na kuchangia hoja hapa.
 
Kwani nani huyu?hebu nipeni data zake na mimi nimchambue. namshangaa mama mzima uso umejikunja anatoa shutma za mwanakijiji na kujipendekeza kwa wengine!mie nilidhani dume kumbe jike maana maneno yake yamekakamaa ile mbaya mbovu!

Kweli ishi uone vioja sasa hayo maudhui anayopost mbona hayaendani na hii thread?

Sokomoko,

Huyu mama bado anachuki na hasira za kupoteza "kazi" yake pale London. Haya yote ni ya kuhamishia hasira zake kwa her second enemy - JF

Ushauri kwa Mwafrika wa kike.

Usibishane na mjinga kwani sisi tutashindwa kuwatofautisha mwache aseme akimaliza atanyamaza michango itachangwa na huyo Bwana wake RA tunamngojea kikaangoni!

Sokomoko,

Wewe soma kinachoendelea na uchambue pumba na mchele. Watu kama hawa hawawezi kuachiwa wakasema udaku na uongo hapa as if wao ni miungu. Wana uhuru wa kufanya chochote kupitia media za Tanzania lakini hapa JF watakabwa koo mpaka kieleweke.

Huyu ninamfahamu vilivyo na hata ukimwacha hanyamazi. Akitoka kweye hii ID atakuja na nyingine ya mswahili/mtalii na zingine kama tatu hivi - fuatilia utazijua.

Kwa vile mods wanamruhusu amwage rants zake hapa, ngoja nimpe run for her money!
 
Kuna wengine wanatafuta sababu ya kufungiwa ili baadaye waanze rants zao against JF.

Nimempa ushauri atulie tu atapata "kazi" nyingine lakini naona mwenzangu chuki na hasira vimefunika uwezo wa kawaida wa kufikiri na kuchangia hoja hapa.

Mwafrika wa kike nipe basi jina kamili la huyu mama.

Huyu mama mwislamu gani?au mwislamu jina?yeye anataka waislamu gani waingie serikalini?kwenye serikali ipi?maana waislamu ni watu wasafi waingie kwenye serikali hii inayonuka kwa ufisadi?yaani wajitengenezee kuni kesho akhera?kumbuka wee mama chinga mchunga ataaulizwa alichokichunga! na kikwete ataulizwa kwa Mungu alivyotawala usidhani mskhara shauri yenu! sie waislamu safi tume kaa kimya nyie wakuchoka mnapayuka na usikute unakaa kwenye nyumba ya kupanga na mwenye nyumba ni mkristo au umezaa na mkristo we mama wewe ohooo shauri yako!

Acha chuki za kidini kuwa mdini sio lazima upendeleo wa wakristo kujipendelea hata wewe unachokifanya ni udini.
 
Naomba sasa turudi kwenye mada .Naomba huyu jamaa ama Mama atafute ama aanzishe mada yake juu ya matatizo yake na wandugi wa hapa online .Naomba tuendelee kumchangia Kubenea na gazeti letu la Mwana Halisi.
 
Hapa JF hairuhusu kutoa majina ya membaz so kwa hili naona itabidi ukose jibu hapa.

Kuhusu chuki za kidini nakupa home work ufuatilia kilichotokea ubalozi wa London toka RO arudi bongo na kuhusu mfanyakazi mmoja aliyeleta patashika huko la kufitinisha wakristo kwa vile ana chuki kibao za kidini.

Kina JK wameshindwa kumvumilia na wameamua kumrudisha nyumbani ingawa bado hajapoteza ajira yake serikalini. Ukifuatilia vyema unaweza hata kupata jibu la swali lako la kwanza.
 
Asante Lunyungu,

Michango kwa kubenea ni ya muhimu kwa sasa!
 
Ngabu,

ukisikia kuishiwa hoja ndiko huku!

Kuishiwa wameishiwa Mbowe na Zitto , Mbowe kapelekwa mahakamani kwa deni huko ndio kuishiwa.
Zitto nae anakuja humu kuomba mchango kwa ajili ya gazeti lake.ndio kaishiwa.

Mwanakijiji kuja na mwafrika wa kike, senti 50, madela, ben na Koda ni kuishiwa.hana pesa wala elimu kudadadeki Marekani mchezo?
hukukijui chama ulipokuwa Bongo leo unatakipenda ukiwa Ughaibuni? hiyo inaitwa Agreement under Duress au kwa Stress za maisha. na ukija bongo unapigwa bao hupati ubunge wala udiwani. Chadema ni NGO YA wachagga wewe sio mchagga utashika mapembe tu. maziwa yatakamuliwa na kina MTEI na Mbowe.
 
mimi naweza kuchangia kupitia kwenye account. Je kuna tatizo lolote au hatari yeyote kufanya bank transfer (maana hawa jamaa hawakawii kuanza kututress na kutubambikizia kesi). Kama hivyo inawezekana kutuma pesa kwa ndugu su jamaa wakadeposit moja kwa moja kwenye account
 
Hapa JF hairuhusu kutoa majina ya membaz so kwa hili naona itabidi ukose jibu hapa.

Kuhusu chuki za kidini nakupa home work ufuatilia kilichotokea ubalozi wa London toka RO arudi bongo na kuhusu mfanyakazi mmoja aliyeleta patashika huko la kufitinisha wakristo kwa vile ana chuki kibao za kidini.

Kina JK wameshindwa kumvumilia na wameamua kumrudisha nyumbani ingawa bado hajapoteza ajira yake serikalini. Ukifuatilia vyema unaweza hata kupata jibu la swali lako la kwanza.
Balozi wa London ni mwanamke hata hili hulijui?Chuki za kidini mnazo nyinyi Chadema wajinga.
 
MwK,
Just a favor please - between 1 and 10, with 10 being absolutely certain, and, 1 less certain - how true is it that, Chinga kweli ni Mwana mama?

Tumetoka naye mbali huyu, na kama mwana mama anaweza kuwa mtu mwenye chuki kwa mtu (Mkjj) na dini (watu wa kanisa) kama huyu, basi nitashangaa kweli. Tukiwa na watu 500 tu nchini hapa wenye chuki kama huyu, tutaanza kukatana mapanga!
 
mimi naweza kuchangia kupitia kwenye account. Je kuna tatizo lolote au hatari yeyote kufanya bank transfer (maana hawa jamaa hawakawii kuanza kututress na kutubambikizia kesi). Kama hivyo inawezekana kutuma pesa kwa ndugu su jamaa wakadeposit moja kwa moja kwenye account

hili sawa nichapinga ni kupewa michango huyu bwana Chopa MWANAKIJIJI kila tukio anasema tuchange na yeye ndiye mshikaji wa michango. alituchangisha mchango wa muuza madawa mwenzake aliyepata ajali kazini.

mara watoto yatima mara Ukraine na huko kote hakuna AUDITING? wakati jamaa hana kazi wala kibali halali.
 
MwK,
Just a favor please - between 1 and 10, with 10 being absolutely certain, and, 1 less certain - how true is it that, Chinga kweli ni Mwana mama?

Tumetoka naye mbali huyu, na kama mwana mama anaweza kuwa mtu mwenye chuki kwa mtu (Mkjj) na dini (watu wa kanisa) kama huyu, basi nitashangaa kweli. Tukiwa na watu 500 tu nchini hapa wenye chuki kama huyu, tutaanza kukatana mapanga!

Huyu chinga ni mwanamama kwa namba 9.99999999!

ALiyofanya ubalozi wa TZ London ni makubwa na ni kwa vile tu watu wa MOFA hawapendi kutaja ID zao hapa ila kilichomtoa pale London ni beyond maelezo.

Fuatilia post zote za Chinga/Mswahili/Mtalii na utajua kile kinachoendelea kuhusu msimamo wake dhidi ya watu wa kanisa.
 
Back
Top Bottom