Hakuna cha kuchunguza hapa, mauaji haya yamesababishwa na ubishi wa CDM - full stop.
hakuna cha kuchunguza hapa, mauaji haya yamesababishwa na ubishi wa cdm - full stop.
Hakuna cha kuchunguza hapa, mauaji haya yamesababishwa na ubishi wa CDM - full stop.
I disagreee
Polisi wamemjeruhi Dr Ulimboka then wao wanachunguza
Polisi wameuwa muuza magazeti wao ndo wanajichunguzo
polisi ndo wamamuua Mwandishi wa Channel ten wao ndo wanachunguza
I support CCM with our goverment but this is rubbish
Polisi wanapaka matope chama chetu cha mapinduzi

Upuuzi mtupu!.......watasema aligongwa na magari ya CHADEMA waliyopewa na CDU.
Au alikanyagwa na Tembo wa Ruaha National Park.
Hakuna cha kuchunguza hapa, mauaji haya yamesababishwa na ubishi wa CDM - full stop.
Oooh, correct. Kwahiyo Said Mwema anatakiwa aukamate huo "ubishi wa CDM" aufungulie mashitaka fasta, si ndiyo?Hakuna cha kuchunguza hapa, mauaji haya yamesababishwa na ubishi wa CDM - full stop.