Saida mwilima nae....

mae hujaachaga wivu tu kwa Sauda???...lol!!! avae matenge kwanianaenda dhifa za kitaifa bana....
afu hiyo 'shindilia yake ni hiy hiyo au anapenda za hivo!!!
hongera mwayego wengine wanakuona wa nini kumbe kaka braza alikuwa anajiuliza atakupata lini...

Lol @ Bee

Sidiria za hivyo poa lkn ukikaa nayo muda mrefu unaona kama umewekewa tofali kwenye shingo!! Hehehe
 
Lol @ Bee

Sidiria za hivyo poa lkn ukikaa nayo muda mrefu unaona kama umewekewa tofali kwenye shingo!! Hehehe

hahahaaaa umeona eeh!! yeye kila siku anajitundika tu au hausikii uzito nini?....lol
kucha vipi Gee wikend ndo hii unataka mtaalam nikuunganishe na bi Sauda akupe namba ya wake?
 
hapo kwa shem ndio nimebloo...lakini poa wakati wa kwenda salon....mnatinga wote....balobi mingi....pona nini....
 
Duh hii njemba bora liishie kunyonya vidole limekaa kiutata halafu limesuka nywele dada zetu siku hizi hawaeleweki wanapenda nini !.

Hongera Sauda mamaaa wa Bongo Beat ila mwambie mchumba wako ashakuwa mtu mzima hayo mambo ya kusuka na ereni aachane nayo•
 
Nahisi zingewekwa picha za Sauda na mwenziwe pekee ingekuwa nzuri zaidi, hao wengine ulitaka kuanzisha mada au?
rangi za kucha no. I say no again karibu Ar uone vijana wanaopaka rangi kucha.
 
mae hujaachaga wivu tu kwa Sauda???...lol!!! avae matenge kwanianaenda dhifa za kitaifa bana....
afu hiyo 'shindilia yake ni hiy hiyo au anapenda za hivo!!!
hongera mwayego wengine wanakuona wa nini kumbe kaka braza alikuwa anajiuliza atakupata lini...

na wivu utaniua mae chaaa! rangi ya kucha je?.....braza kaka indeed! mweh, kaka nae alishindwa kusuka hizo nywele vzr?.....na MC nae hako ni kablauzi amesahau kuvaa sarawili au?....nikija kwenye strechmark kwa mrembo hapo down...mhhh wadada vaeni kuendana na miili yenu jamani, bht nimem miss Pearl kichizi, una mawacliano nae? mwambie dadake nimem mic jamani.
 
hahahaaaa lol....eti kablauzi amesahau kuvaa sarawili!!!!! sasa mae ukiangalia umbo mbona fesheni zitakupita bora uondoke hivo hivo tu wallah!!
huyo kaka ina maana alimvisha pete kwa kutumia mdomo au?? khaa jamani uchafu mwingine bana!!!! mae kucha naona mbandikaji alikuwa na miadi na mteja mwengine bana!!

twinushka Pearl is running out of time my dearest...hata mimi ni once a week tu!!
 
Lol @ Bee

Sidiria za hivyo poa lkn ukikaa nayo muda mrefu unaona kama umewekewa tofali kwenye shingo!! Hehehe

huyu dada cjui huwa ana shop wapi jamani, hilo gauni sasa! na saloon cku hiyo cjui ziligoma, au ni kipindi chake cha wanenguaji kinamharibu?...
 
Wenyewe wanamuita malkia wa mikorogo cheki kwenye jointi za kwenye vidole ahahahAaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

Yananitiaga kinyaa yale ma mkorogo yake.. ila jamaa huenda ndo ameyapendea, kwa kweli kwangu hana mvuto hata kidogo
 
hahahaaaa lol....eti kablauzi amesahau kuvaa sarawili!!!!! sasa mae ukiangalia umbo mbona fesheni zitakupita bora uondoke hivo hivo tu wallah!!
huyo kaka ina maana alimvisha pete kwa kutumia mdomo au?? khaa jamani uchafu mwingine bana!!!! mae kucha naona mbandikaji alikuwa na miadi na mteja mwengine bana!!

twinushka Pearl is running out of time my dearest...hata mimi ni once a week tu!!

ni bora zikupite kuliko kuzi force, ndio mana nikamkaribisha mwali kwenye wax coz naona vya kariakoo vinamgomea kabisa kabisa...hahaha!...hizo kucha mie rangi 2 hiyo, bendera ya tz damn....hizo kichwani kwa mwali ni yebo yebo?....umpe hi kubwa mkiwacliana mae!
 
  • Thanks
Reactions: bht
Sasa hapo mwanaume ni nani maake naona wote wamesuka nywele na wamevaa nguo za kitchen party(zakumelemeta)

kwa kweli ninaogopa sana... tena saaaana yani kwa kile kitu alichokisema cameroon kinaweza kika materialise hapa kwetu..! siku hizi masharobaro yani wameanza kushikana masaburi kwa alama ya kupongezana..! mambo haya yanaanzia huku huku mazeee yani dah miaka thelathini ijayo yani tz sijui itakuaje yani..!
 
jaman cpati picha mme anaenda saluni kusuka nywele..,... ckumuhmu hv angesuka basi yeboyebo tehetehetehe ametishaa!!
 
huyu dada mikorogo itamuumiza maana kila akipaka anahisi bado hajawa mweupe. Anachanganya cream 15 kwa mara moja. Tena mpaka ana madeni kwa ajili ya mkorogo!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom