Saida mwilima nae....

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
SAIDA MWILIMA AVISHWA PETE YA UCHUMBA KWA MBINDE

26262_119353074747472_100000183406917_292660_548534_n.jpg

38385_144174162265363_100000183406917_439688_7556586_n.jpg

Mtangazaji wa Luninga Saida mwilima amevishwa pete ya uchumba hivi karibuni na mchumba wake wanotarajia kufunga ndoa hivi punde.

Hii ndo pete aliovishwa mtangszaji wa kipindi cha Bongo beat cha Star Tv.

Nasibu akiwa na mchumba wake Wema sepetu nao walialikwa .

Sauda mwilima akicheza muziki kwa furaha na mchumba wake baada ya kuvishana pete siku hiyo.

34097_142075035808609_100000183406917_428359_448497_n.jpg
 
Mbona wasema kwa mbinde? kwani amelazimisha? Msipende kusema watu vibaya hata pale ambapo hawajakosea chochote.

sorry, ni kwa mujibu wa mblogger aliyeandika hiyo habari hapa labda kiswahili ni shida: Mbinde =mbwembwe??
 
Kweli dunia imeisha wakuu....unajya hizo picha naona kama pepo hv...lol..MUNGU NISAMEHE...
 
..Baada ya siku mbili unasikia wametemana..kama mchezo wa kuigiza vile.
But, Hongera zao.
 
Wenyewe wanamuita malkia wa mikorogo cheki kwenye jointi za kwenye vidole ahahahAaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
kuna Saida Mwilima na Sauda Mwilima, huyo ni Sauda Mwilima. Saida Mwilima alikuwa akitangaza tbc1 sijui siku hizi yupo wapi?
 
cpendagi kukosoa but huyu dada ananichoshaga jamani na uvaaji wake, hebu aamie kwenye vitenge labda kidogo, cjawahi kumuona kapendeza cjui ni macho yangu, hilo gauni na hiyo bra jamani, hizo kucha,nywele, wanja....wacha tu ninyamaze, kwa mchumba ndio nimebloo kabisa.....nawatakia kila la kheri....
 
mae hujaachaga wivu tu kwa Sauda???...lol!!! avae matenge kwanianaenda dhifa za kitaifa bana....
afu hiyo 'shindilia yake ni hiy hiyo au anapenda za hivo!!!
hongera mwayego wengine wanakuona wa nini kumbe kaka braza alikuwa anajiuliza atakupata lini...
 
Acha wivu mtoto wa watu anapendeza sana tena akiongezea na mkorogo ndiyo usiseme kabisa.

cpendagi kukosoa but huyu dada ananichoshaga jamani na uvaaji wake, hebu aamie kwenye vitenge labda kidogo, cjawahi kumuona kapendeza cjui ni macho yangu, hilo gauni na hiyo bra jamani, hizo kucha,nywele, wanja....wacha tu ninyamaze, kwa mchumba ndio nimebloo kabisa.....nawatakia kila la kheri....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom