Said Mtanda vs Dr. Hamis Kigwangalla

Hata idadi ya kura alizopata alipaswa kuwashukuru waliompigia na si kuanza kunung'unika. Wapinzani wengi walikuwa wakimpigia debe Mtanda. Akina Nasari na Sugu nimewaona asubuhi wakimsaidia kugawa vipeperushi.
mmh yaani pande zote hawamkubali! hapa kuna tatizo kubwa zaidi.

Kuna nini amewakosea magamba na wapinzani hata wasimkubali?
 
Huyu jamaa sijui ataishia wapi maana mwisho kwenye udaktari hatakuwepo na kwenye siasa hatakuwepo.
 
kwa kusema kweli Hamis Kigwangalla alifunikwa vibaya na Said Mtanda.. hata kwenye kujielezea utadhani alikuwa amekariri yale maneno. hilo akubali tu.. wala hakuna upendeleo hata sisi watazamaji tungeshangaa kama Hamis Kigwangalla angeshinda. akumbuke pale kilichokuwa kinaangaliwa ni uwezo binafsi wa mtu na siyo kigezo cha elimu.
 
Back
Top Bottom