Said Kubenea ni mzalendo, mnafiki au njaa inamsumbua?

go on kube.... jamaa full masaburi huna lolote na thread hii ndio unafiki wenyewe!
 
Kubenea ni mpambanaji asiye na mfano...na Sitta ni mnafiki asiye na mfano pia, kwa kifupi ni mchumia tumbo ambaye Kubenea hawezi uacha kumuandika na kufichua uozo wake.
 
Mnaotetea kubenea hamumjui na hamjui aliyeweka mada anamaanisha nini kazi yenu kukurupuka kuchangia tu bila kujua logic ya mweka mada.Someni kabla ya kuchangia.

ww uliyeilewa thread mbna ujachangia?
 
Kubenea ni shababy hasa na ktk vita dhidi ya ufisadi nchini na wafuatao ndio mashujaa wangu.. 1. Wilbrod slaa (phd), 2. Tundu lissu 3. Saed kubenea.
 
Kubenea ni mnafiki mkubwa sana. makala zake ni uthibitisho tosha wa unafiki wake na jinsi anavyotafuta umaarufu vibaya. Kubenea acha kuwapotosha watz
 
japo majina yao mawili yanafanana ila sio Kubenea mwandishi aliyegombea ubunge mkuranga kwa ccm,aliyegombea awali alikuwa mtendaji wa kata za buguruni halafu kisutu na sasa ni diwani kwa ccm huko mkuranga
 
Hata wote mkinikimbia, mi ntaendelea kumuona kubenea yupo sahihi, na hana tofauti na kina Roma Mkatoliki.
 
Back
Top Bottom