Said Kubenea ni mzalendo, mnafiki au njaa inamsumbua?

Kwani si ruhusa kumuandika Samwel Sitta pale anapojenga ofisi ya spika kwa gharama kubwa na mambo mengine kama hayo??
 
"Basi msihukumu hukumu ya macho tu, bali ifanyeni hukumu iliyo ya haki. " (Yohana 7:24).
 
kweli mawazo yako na jina lako vinafanana 100%. haina maana kwamba EL akiwa na dhambi maana yake Sitta hana dhambi. unahitaji uende dsm computing centre kwanza kabla hujaja jf
 
ni ukweli usiopingika kuwa kuna uhuru wa kuwa mwanachama wa chama chochote lakini je inawezekana mtu akwa mwanachama wa vyama viwili kwa wakati mmoja?nadhani itakuwa vyema kama tutajadili mada badala ya kutoa matusi.
ataaminije kuwa msemaji wa dr slaa akiwa rais wakati yeye ni kada wa CCM na hajasema hadharani kwamba amehamia CDM?
 
Kubenea ni mpambananji na ni moja kati ya hero wa nchi hii katika vita kubwa ya ufisadi na wezi wa nchi, wewe unampiga vita kwa maoni yako binafsi ila deleverbles zake hasa anayoandika yana impact kubwa sana hata mafisadi wanajua ni koboko yao.
Big up Kubenea,
Keep it up
May God bless you
 
Kubenea kama walivyo waandishi wengi nchini wanamaryenge ya kuangalia mambo na hawako makini.Huyu nji mjasiria mali tu
 
Kwa thread hii unafikiri uko katikati ktk analysis km JINA lako? SK ni investigative journalist, na he's doing great in his career. No one can question his competencies on that! Km uliomba kazi na kunyimwa usilete chuki zako hapa!

Mambo ya bandaarini kwani lazima MwanaHalis na hususani SK tu ndio iya-report? Is it the only media house in Tanzania? Km haina mashiko? Km ni taafira je, umemtumia na yeye akaanza ifanyia utaafiti?

Naona ww ndio una sura mbili........ Kumchafua SK na MwanaHalis na kumpamba swahiba Samuel Sitta na pia unataka SK aendelee kumsigina EL......

The guy is objective. Let him to his things..... Go SK..............
 
Mnaotetea kubenea hamumjui na hamjui aliyeweka mada anamaanisha nini kazi yenu kukurupuka kuchangia tu bila kujua logic ya mweka mada.Someni kabla ya kuchangia.
 
Kwa muda mrefu sasa Kubenea amekuwa kinara katika kuandika mabaya ya lowasa na mafisadi LAKINI katika wiki kadhaa sasa amegeuka na kuwa kisengele nyuma na kuanza kumwandika vibaya Samweli Sita.

Dr Slaa alitaka vilevile kugombea ubunge Karatu kupitia tiketi ya CCM na kwa "bahati mbaya" akaenguliwa kwenye kura za maoni. Naye tumwite Sabodo mweusi? Je Umelisoma gazeti la wiki hii la MwanaHalis? Mbona linatofautina kabisa na mambo unayoyasema? Halafu unasema anaandika mabaya ya Lowassa lakini anamwadika vibaya Sitta. SIo kweli haonewi mtu hapa. Kubenea anaandika mabaya ya Lowassa na Sitta. Wote ni mafisadi waliokubuhu.
 
Kubenea ni mnafiki tu anajifanya eti anajua mafisadi wote, wakati kashindwa kuwajua waliomwangia Tindikali

si we uliusika sana unafikiri hatukujui, usimwamulie cha kuandika kama ni kuandika hata wewe ungekuwa unaleta mambo ya kuandika kama mwanahabari huru uone kama hatayandika.
 
mi nawambiaga kila siku acheni ushabiki wa kijinga huu jamaa tangu awali wny akili tulikuwa tunampinga km ambavyo sasa tunapinga wanafiki wanajiita wanaharakati wakati ni wanafiki wakubwa, nasema leo najua mtapinga ila km kawaida yenu baadaye mtakiri
Wafuatao nao ni kama kubenea.mmbowe,lema,kafulila,nape,kabwe,sitta na shelukindo ipo cku mungu atawaumbua nanyi mtakubali
 
Kuna uwezeka akaandika mambo mawili au matatu hivi nisivyovipenda huyu ndugu lakini kwa ujumla Saed Kubenea ni miongoni mwao Wa-Tanzania wachache ambao UZALENDO WA KWA NCHI YETU HAUNA MASWALI na zaidi ni kwamba aina ya uzalendo wake (sawa na ule wa Jenerali Ulimwengu, Prof Shivji, Dr Slaa, Edwin Mtei, Bob Makani, Regnald Mengi, John Myika, Halima Mdee, Getrude Mongela, Tundu Lissu, Kamanda Lema, Mwakyembe, Double S, ...) haupindipindi, hauegemei maslahi ya muda mfupi wala hauelekezwi na 'fikra sahihi za tumbo'.

Hakika kama utakua haujamwelewa hadi leo Saed Kubenea na uzalendo wake kwa kutetea maslahi ya umma wa nchi hii kwa kutumia talanta ya kalamu yake basi hebu kaingie msituni huko kwenye maktaba walau kwa kipindi cha miaka miwili tu iliopita na baada ya hapo nadhani hutorudi hapa ubaoni kusumbua watu na mambo ambayo jawabu lake liko wazi.

Kwa ujumla Saed KUBENEA si wale akina 'NDIO MZEE'!!!!!!!!!! Ijue hilo itakusaidia zaidi.
 
Chuki binafsi haifai muiacheni jamani mtapata....................................................................
 
Saeed kubenea si mnafiki tatizo una mapz na sitta hutaki aandikwe vibaya ulitaka aandikwe vibaya lowassa me najua yeye ni mpambanaji na sidhani kama kubenea 2010 aligombea ubunge mkuranga acha unafiki.......
 
Ibara ya 18 ya katiba y jamhuri y muungano w tz inampa uhuru kutoa maoni yake kwa manufaa ya jamii
sasa wewe kidomo domo cha nini nawewe kasajiri gazeti lako utoe maoni yako
kubenea is the hero, wewe unaleta majungu please stop it, dont be hypocyte.!
 
Kama akiandika habari yoyote risk ni ya kwake cyo yako.Kama unazo habari za bandali cuziandike nawewe yeye kaisha fanya sehemu yake na wewe fanya.Nadhani point ulitaka kutwambia kuwa yuko chadema hayo mengine ni zuga tuu.Kuwa chadema ckosa hata kikwete alitaka kwenda huko sela ao ndo zinavutia. Karibu cdm tupambane pamoja.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom