sahau kuhusu Hasheem Thabit

Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh alikuwa ni Goliath huyooo
 
  • Thanks
Reactions: awp
pamoja na urefu wote huo lakini bado hakupata kuwa mtu mrefu katika historia ya binadamu wa karne ya 20
 
pamoja na urefu wote huo lakini bado hakupata kuwa mtu mrefu katika historia ya binadamu wa karne ya 20

Huyu mbilikimo mbona, yule Zakayo aliyetajwa kw Bible kuwa alikuwa mtu mfupi aliyepanda mti kumuona Yesu, alikuwa na futi 12.

 
Amekaa
r-MANUTEBOL-large570.jpg
 
Nilishawahi kukutana na Wasudan huko Sweden na wakaniambia kuhusu huyu jamaa. Walishangaa kuwa simfahamu na wakasema ni Mjomba wao.
Wakati namsifu mmoja wao kuwa ni mrefu, akaniambia kuwa MJOMBA wake ndiyo mwisho wa matatizo.

Kweli nilipokuja kumuona, nikavua kofia. Jamaa alikuwa kapanda si kawaida.

RIP BOL.



 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom