Sage Pastel msaada Pleaseee!!!!!!!!!

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,275
5,489
Jamani wakuu please ninahitaji hii software na pia kama kuna mtu anweza kunifundisha nimlipe au kama kuna chuo kinafundisha please naomba mnisaidie wakuu
 
Mkuu software inapatikana kwa jamaa wa SCI,wapo hapo peugot house opposite na mahakama ya kisutu.wanatoa na training pia!ila sijajua unahitaji kwa ajili ya kampuni au ni binafsi?kuhusu training kama utakua tayar kuna mtaalamu mmoja anaijua fresh unijulishe ili nikuunganishe nae ili mmalizane.
 
dah mkuu nimeku PM na namba yangu ya simu heb nichekie bosi uniungashee plz kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom