Safu ya uongozi CHADEMA haipangiki

Ziada Mwana

JF-Expert Member
May 20, 2011
201
22
Japo ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko chadema........................! Basi nilikuwa najaribu kujifurahisha tu kwa kupanga hiyo safu yao ya uongozi. Kwa kuwa hivi sasa lema ndio maarufu zaidi ya slaa (kizungumkuti cha arusha) safu itakuwa kama hivi. Rais= lema, waziri mkuu = slaa, biashara na viwanda = mbowe, maliasili na utalii = zitto, fedha = shibuda (no huyu amewanyea hawampi kitu), fedha = mnyika, mambo ya nje = lissu, wameisha duuu! Wizara nyingi zimebakia. Sijui niwaweke wale madiwani kule arusha? Bado wakuu wa mikoa, mabalozi,manaibu waziri. Chadema haina sifa ya kuongoza nchi.
 
Ila magamba ndio wana sifa ya kuongoza nchi!!!! Na maendeleo yepi tuliyoyapata baada ya magamba kuwa madarakani miaka 50!? zaidi ya ufisadi wa mabilioni kuanzia Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete
 
Japo ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko chadema........................! Basi nilikuwa najaribu kujifurahisha tu kwa kupanga hiyo safu yao ya uongozi. Kwa kuwa hivi sasa lema ndio maarufu zaidi ya slaa (kizungumkuti cha arusha) safu itakuwa kama hivi. Rais= lema, waziri mkuu = slaa, biashara na viwanda = mbowe, maliasili na utalii = zitto, fedha = shibuda (no huyu amewanyea hawampi kitu), fedha = mnyika, mambo ya nje = lissu, wameisha duuu! Wizara nyingi zimebakia. Sijui niwaweke wale madiwani kule arusha? Bado wakuu wa mikoa, mabalozi,manaibu waziri. Chadema haina sifa ya kuongoza nchi.

Gamba Crap
 
You reflect the big fraction that reflects the problem with most people.Always going for the reigning thing.ahh...nimepita tu!
 
Japo ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko chadema........................! Basi nilikuwa najaribu kujifurahisha tu kwa kupanga hiyo safu yao ya uongozi. Kwa kuwa hivi sasa lema ndio maarufu zaidi ya slaa (kizungumkuti cha arusha) safu itakuwa kama hivi. Rais= lema, waziri mkuu = slaa, biashara na viwanda = mbowe, maliasili na utalii = zitto, fedha = shibuda (no huyu amewanyea hawampi kitu), fedha = mnyika, mambo ya nje = lissu, wameisha duuu! Wizara nyingi zimebakia. Sijui niwaweke wale madiwani kule arusha? Bado wakuu wa mikoa, mabalozi,manaibu waziri. Chadema haina sifa ya kuongoza nchi.

Du wewe kiboko una ID nyigine tena.??Najua tunajuana na umenielewa!!!
 
Waziri Mkuu, atakuwa ni Dr Azaveli Lwaitama, spika atakuwa ni John Mrema.
 
nilikuwa nafikiria hapa hivi tukimpa mbowe uwaziri wa fedha nini kitatokea.
 
Sitampa Mbowe uwaziri wa Fedha, nitampa uwaziri mkuu maana ni nafasi anayoimudu vyema.
 
Wala hakutakuwa na kuumiza kichwa..baraza la mawaziri na manaibu ni kuanzia 15 mwisho 20 ili kuongeza tija (kumbuka pia raisi anaweza kuteua mtu asiye mbunge,akampa na kisha uwaziri)! hakutakuwa na haja ya wakuu wa mikoa au wilaya kwa sababu watu watachagua viongozi wao wenyewe i.e magavana(au jina lolote) kupitia sera ya majimbo! Kwa kifupi serikali inapangika,hata leo wakipata nchi wanaweza! tatizo lako umeweka mawazo yako kishabiki! kalaghabao na ubwezi wako.
 
nilikuwa nafikiria hapa hivi tukimpa mbowe uwaziri wa fedha nini kitatokea.

Kwa muda mrefu amekuwa kimya aki tafakuri ni jinsi gani ataichakachua chadema. si unakumbuka alivyoiingiza mkenge kwenye Fuso za uchaguzi. mambo ya kususia posho hajayashobokea sana,kakaa ki mtegomtego tu ili wenzake wasimshtukie kuwa hayupo pamoja nao. weeeeeeeee! nani kakwambia Mbowe anaweza kukataa mshiko.Chadema ni wasanii, kila mtu ana dili zake pale.kule Arusha akina Slaa wameshaona madiwani wanawaharibia,unajua mtaji wa akina Slaa ni vurugu na maandamano? sasa palipo amani wao hawana ulaji.Ushetani tupu umewajaa.
 
nilikuwa nafikiria hapa hivi tukimpa mbowe uwaziri wa fedha nini kitatokea.
Hapana nafasi hiyo inawafaa RA, Andrew Chenge, Basil Mramba aliyetambulishwa na Kikwete wenu kama Jembe la kufanyia kazi! au Karamagi ili amalizie kazi aliyokuwa ameianza ya kuifilisi kabisa nchi. Tatizo ni kwamba watanzania wameshawagundua na wanawavutia pumzi ili wamalizie pigo la mwisho ambapo CCM itakuwa historia kama wenzenu KANU hapo jirani, ila nyinyi tutawakamua mpaka mtapike mlivyotuibia. Huo utakuwa mwisho wa kejeli zenu maana mkivimbiwa pilau ya kifisadi hamchagui pa kujisaidia.
 
Japo ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko chadema........................! Basi nilikuwa najaribu kujifurahisha tu kwa kupanga hiyo safu yao ya uongozi. Kwa kuwa hivi sasa lema ndio maarufu zaidi ya slaa (kizungumkuti cha arusha) safu itakuwa kama hivi. Rais= lema, waziri mkuu = slaa, biashara na viwanda = mbowe, maliasili na utalii = zitto, fedha = shibuda (no huyu amewanyea hawampi kitu), fedha = mnyika, mambo ya nje = lissu, wameisha duuu! Wizara nyingi zimebakia. Sijui niwaweke wale madiwani kule arusha? Bado wakuu wa mikoa, mabalozi,manaibu waziri. Chadema haina sifa ya kuongoza nchi.

Haya panga ya hao wezi waliokutuma hapa.....Sitegemei kama hii nchi ina watu wapumbavu kama nyie.......Hivi unajua CHADEMA ina wasomi ambao ni makini sana ambao wewe na ujinga wako uwajui..............
 
Back
Top Bottom