Safu ya uongozi 2015

stani

Member
Oct 21, 2012
7
0
Wanajamvi,

Tupange safu ya viongozi ambao wataiweka nchi katika mstari. Ikiwezekana fasu ikikamilika apewe Mh. Rais anayemaliza muda wake.

Rais ajaye: Edward Lowassa
Vice president: Gharibu Bilali
Prime minister:John Pombe Magufuli
Waziri wa Ujenzi:Mwakyembe
Waziri wa Sheria na Katiba: Tundu Lissu( atakuwa ameshahamia CCM)
Waziri wa Fedha: Zitto Kabwe

hebu tupeane mawazo hapa mbona nchi itanyooka...
Mbowe apewe michezo
Slaa: wizara ya Mahusiano
 
Nenda milembe wakakufanyie uchunguzi..ivi wewe unakerwa kweli na maisha ya wazazi wako vjijini?
 
wanajamvi,

tupange safu ya viongozi ambao wataiweka nchi katika mstari. Ikiwezekana fasu ikikamilika apewe mh. Rais anayemaliza muda wake.

Rais ajaye: Edward lowassa
vice president: Gharibu bilali
prime minister:john pombe magufuli
waziri wa ujenzi:mwakyembe
waziri wa sheria na katiba: Tundu lissu( atakuwa ameshahamia ccm)
waziri wa fedha: Zitto kabwe

hebu tupeane mawazo hapa mbona nchi itanyooka...
Mbowe apewe michezo
slaa: Wizara ya mahusiano

wewe sinA shaka utakuwa umetoroka milembe.
 
Wanajamvi,

Tupange safu ya viongozi ambao wataiweka nchi katika mstari. Ikiwezekana fasu ikikamilika apewe Mh. Rais anayemaliza muda wake.

Rais ajaye: Edward Lowassa
Vice president: Gharibu Bilali
Prime minister:John Pombe Magufuli
Waziri wa Ujenzi:Mwakyembe
Waziri wa Sheria na Katiba: Tundu Lissu( atakuwa ameshahamia CCM)
Waziri wa Fedha: Zitto Kabwe

hebu tupeane mawazo hapa mbona nchi itanyooka...
Mbowe apewe michezo
Slaa: wizara ya Mahusiano
How old are you??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ukitaka kujua jf ni ya nani na ipo kwa ajili ya nani gusa chadema au kosoa viongozi wake.mleta uzi najua utakuwa umejifunza kitu hapa
 
Wanajamvi,

Tupange safu ya viongozi ambao wataiweka nchi katika mstari. Ikiwezekana fasu ikikamilika apewe Mh. Rais anayemaliza muda wake.

Rais ajaye: Edward Lowassa
Vice president: Gharibu Bilali
Prime minister:John Pombe Magufuli
Waziri wa Ujenzi:Mwakyembe
Waziri wa Sheria na Katiba: Tundu Lissu( atakuwa ameshahamia CCM)
Waziri wa Fedha: Zitto Kabwe

hebu tupeane mawazo hapa mbona nchi itanyooka...
Mbowe apewe michezo
Slaa: wizara ya Mahusiano

Hii kweli ni BONGO Fleva,
FASU ndio kitu gani????
 
Back
Top Bottom