Safi Sanaa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
542044_426904487331864_199321975_n.jpg
 
dogo kaamua ajisevie mwenyewe ila sipati picha dogo atakua katika hali gani endapo huyo mnyama akianza kurusha mateke
 
Kama Ng'ombe mgonjwa na mtoto naye atakuwa mgonjwa. Pamoja na kuelimika bado kuna jamii zinaona hilo sio tatizo?
 
Duuh fresh ya shamba, lakini pia muhimu kuchemsha kabla ya kunywa!
 
Mbuzi mzee, toka umenza kupost vitu humu mimi sijafanikiwa kuviona, nadhani kunakitu unatakiwa kufanya huko kwako wakati wa kupost mkuuu!! usininyime vitu ati!
 
Back
Top Bottom