Safi sana Mo Dewji

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
2wnuyqu.jpg


Mo Dewji akiwa amekaa chini bila kujali kuchafuka, akimsikiliza mlemavu wa miguu shida zake na kumtekelezea
 
Duh! Hakika kajitahidi. Bila shaka ni mtu mwema na mnyenyekevu sana kwa watu wake kama kiongozi mbunge.
 
watu wanaopenda masifa mimi huwa siwafagiliii,,,usiwe unapenda kufanya kitu ili uonekane mbele za watu kumbe moyoni ni tofauti..

well, nampa hongera.......
 
Angekuwa mkulu hapo angeletewa Kiti....lakini hapo mbona pasafi tu..labda kwa yeye Mo Dawji mtumaji anaona kama ni pachafu ila kwangu mie ni pasafi sana...

All in all Hongera...
 
Extremes! I hate hate extremes, can he do like that to all singida's disabled people?? or it was just an event to show himself that he loves all kind of of his voters. Anyway is real good if its true love from his heart, but I guess, he is just looking for popularity and voters
 
hakuna kitu unafiki tuu, alikuwa wapi miaka mitano iliyopita asifanye hivyo, angefanya mambo hayo ile baada ya uchaguzi tungemuelewa...wanasiasa bana sijui wakoje...hivi kati yao na wananchi nani mjinga?
 
unafiki huu, huwa sipendi mtu mnafiki mimi.............unajua hawa jamaa....hawanaga hata akili ya kuelewa perception yakitu wanachofanya kwa watu wengine..hivi hapo anategemea kuwa watu watasema ana roho nzuri, kwasababu amekaa chini, amefanya kitu gani cha maana huko kwanza kama si kutetea kiti chake cha ubunge ili awe karibu na washika dau huko mjengoni wapige soga vizuri namna gani anaweza kufanya biashara yake bizuri..na bahati yetu awe analipa kodi huyu....unafiki ni kitu kibaya sana.
 
huyu kila akienda tembelea jimbo lake lazima awe na picha!mara katembelea shule ya msingi gani,mara anacheza ngoma za huko....umezidi MO,kupenda cheap publicity...wewe tayari ni mbunge unataka nini?:A S-eek:
 
uchaguzi umekaribia. Mbona hatukumuona akifanya hivyo mwaka 2006,07,08?
 
huyu kila akienda tembelea jimbo lake lazima awe na picha!mara katembelea shule ya msingi gani,mara anacheza ngoma za huko....umezidi MO,kupenda cheap publicity...wewe tayari ni mbunge unataka nini?:A S-eek:


Mwaka wa uchaguzi huu ni lazima waonyeshe unyenyekevu wa hali ya juu katika kuomba KULA na wakishazipata wanatimkia Dar na kuwasahau wapiga kura katika majimbo yao mpaka 2015. Ni usanii tu.
 
Nilitaka kupost ili kuponda nilichoona lakini bahati mbaya kuna waliotangulia wakiwa na mitazamo yao. anachotafuta hapo huyo bwana mdogo ni sifa tu. katika hali ya kawaida mazingira hayo hayawezi kutokea. labda mbele ya kamera tu. tafuta mbinu nyingine bwana mdogo MO!
 
huyu kila akienda tembelea jimbo lake lazima awe na picha!mara katembelea shule ya msingi gani,mara anacheza ngoma za huko....umezidi MO,kupenda cheap publicity...wewe tayari ni mbunge unataka nini?:A S-eek:

tha's very cheep unajua....hawa watu wanatakiwa kufanya kitu positive kinacholeta mabadiliko kwa wananchi ndo watastahili sifa, lakini si kublind watu kwa visifa sifuri kama hivyo....hivi amefanya nini tangu aanze kuwa mbunge huko singida? kwa mwenye data alete hapa...huu unafiki kuna siku utaisha kabisa hapa tz tutakuwa tunausikia kwenye vitabu vya historia tu...God willing, one day yes!
 
siku za zinakuja mtamwona mwanasimba akikaa pamoja na mwanambuzi, kifaranga akila pamoja na mwewe, pia si ajabu mbuzi akila pamoja na chui, yote hayo twapaswa kuyachnguza kwa makini,
je tuseme tutakwepo kwa ajili ya kashangaa hayo? ama tuwepo kwa kujihoji sana akilini mwetu?
kila akili kichwani mwake
 
huyu kila akienda tembelea jimbo lake lazima awe na picha!mara katembelea shule ya msingi gani,mara anacheza ngoma za huko....umezidi MO,kupenda cheap publicity...wewe tayari ni mbunge unataka nini?:A S-eek:

Huyu kijana huo ubunge anautumia kama silaha ya kuficha ufisadi unaofanywa na familia yake!! Unfortunately, anautumia umaskini wa wanyatulu kama mtaji wake na wao wanakubali! Too bad !!
 
Stunt 101

Mo Dewji arguably ndiye mbunge anayewajulia wabongo as far as media manipulation is concerned kuliko mbunge mwingine yeyote.

Halafu ukiangalia kila event sio hata ya empowerment, kila kitu ni handouts.Ni kama ananunua popularity.


A Tribe Called Quest wanakwambia "Industry rule number 4080, record company people are shadyyyyyy"

They might have as well have been speaking about politicians and Mo in particular.
 
Back
Top Bottom