Safi kijana silinde

Kwa kumuumbua gamba la zenga .poleni sana wana zenga kwa kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Yaani pangekuwa na Dislike, yaani wewe ningekugongea 20! Unaleta habari 1/2, 1/2 ndiyo maana yake nini? wewe unadhani wote tuna access ya hizo TBC zenu???
 
Kwa kumuumbua gamba la zenga .poleni sana wana zenga kwa kuuziwa mbuzi kwenye gunia.

SISI siyo malaika wa kuweza kujua unachotaka tuzungumzia ni vema ukatoa ujumbe kamili kama huwezi kujenga hoja ndaNI YA jf ONDOKA. hapa hujatujuza huyo silinde kaongea nini.Kuwa mbunifu katika kuelimisha jamii, kumbuka unapotoa mada lengo ni kuwafahamisha ambao hawakusikia.Jirekebishe rafiki
 
Kigwangala kapata aibu sana amekua kama kapakwa mavi. Kuwa magamba ni upofu wa akili mgando. Hongera kijana SILINDE kwa kuwapa dawa wana magamba.
 
SISI siyo malaika wa kuweza kujua unachotaka tuzungumzia ni vema ukatoa ujumbe kamili kama huwezi kujenga hoja ndaNI YA jf ONDOKA. hapa hujatujuza huyo silinde kaongea nini.Kuwa mbunifu katika kuelimisha jamii, kumbuka unapotoa mada lengo ni kuwafahamisha ambao hawakusikia.Jirekebishe rafiki
wengi wameelewa .Wewe ni gamba ?
 
Mbunge silinde alikuwa akichangia bajeti ikafika mahali akasema bado bajeti haijaleta mchango ktk ukuwaji wa uchumi hasa katika swala la kilimo,akasema rwanda waliotoka kwenye vita uchumi wao unakua kwa kasi,sasa mh hamisi akamkatisha na kuanza kukanusha hayo(kupitia taarifa)
kwa bahati mbaya mwenyekiti wa bunge akamkatisha dr hamisi kwa sababu alikuwa anatumia muda mrefu kutoa taarifa yake.
Mh shilinde alipopewa nafasi mara ya pili ndipo alipomnyoosha dr hamisi,akamwambia wananchi wa nzega wanalalamikia mfuko wa mbolea na pembejeo halafu yeye(hamisi) anatetea uzembe.

Kwa ufupi hii ndio scenario iliyomuumbua dr hamisi.
Ukitaka exatly what happened kaombe clip TBC au tafuta hansard za bunge!
 
Kwa ufupi katika kujadili bajeti Silinde alikuwa anaongea sera ya Kilimo kwanza kwamba kwanchi hii haina tija,na pia akilinganisha vigezo vya maendeleo katika kipindi hiki cha miaka hamsini,akasema upinzani hawasemi hakuna kilichofanyika lakini wanasema je tumefikia mafanikio ,akatolea mfano wa maneno succeed na achievement,ya maendeleo ni vitu tofauti,akasema tujilinganishe na wenzetu wa kenya,na Uganda ambao tulipata nao uhuru karibu miaka sawa na Ruanda ambayo ilikuwa vitani lakini wanaendelea kwa haraka sana
Akatolea mfano kwamba hata sera ya kilimo kwanza haina tija kwani hatuzalishi ziada akasema lakini nchi ndogo kama Malawi wanazalisha ziada na ni nchi moja wapo Africa inayouza mahindi kwa wingi ndipo aliposimama Kingwangwala akasema taarifa akasema mzungumzaji alasema wabunge wakizungumza wawe na takwimu sahihi na si kweli kwamba Tanzania haijafanikiwa kwenye kilimo kwanza
baada ya taarifa hiyo ndio Silinde akasema Wananchi wa Nzega watamshangaa Kingwangwala akisema Kilimo kwanza kimewasaidia wakati wananchi wa Nzega wamechakachuliwa vocha za mbolea
 
Mbunge silinde alikuwa akichangia bajeti ikafika mahali akasema bado bajeti haijaleta mchango ktk ukuwaji wa uchumi hasa katika swala la kilimo,akasema rwanda waliotoka kwenye vita uchumi wao unakua kwa kasi,sasa mh hamisi akamkatisha na kuanza kukanusha hayo(kupitia taarifa)kwa bahati mbaya mwenyekiti wa bunge akamkatisha dr hamisi kwa sababu alikuwa anatumia muda mrefu kutoa taarifa yake.Mh shilinde alipopewa nafasi mara ya pili ndipo alipomnyoosha dr hamisi,akamwambia wananchi wa nzega wanalalamikia mfuko wa mbolea na pembejeo halafu yeye(hamisi) anatetea uzembe.Kwa ufupi hii ndio scenario iliyomuumbua dr hamisi.Ukitaka exatly what happened kaombe clip TBC au tafuta hansard za bunge!
mkuu taarifa imeeleweka!
 
Ningekuwa Bashe ile ripoti ningeiweka hadharani ningewaita waandishi ili kumwaga unga na mboga, huyu jamaa hatumii ubongo kufikiri anatumia tumbo
 
wengine tupo mbali na tv tunaomba mkitoa habari muweke details tuelewe
 
Na huu ndio upuuzi wa wabunge wa magamba wanatetea hata ujinga yani aahhh, nadhani itabidi wakatazwe zile semina za wabunge wa magamba wanazofanyaga ukumbi wa msekwa zinazidi kuwatia upuuzi tu....
 
kweli wekeni details, acheni kutaniana huku jamvini. wakati wa bajeti ni wakati wa kuwa serious. au ni wale vijana msekwa alisema wamemwagwa kwenye mtandao? ninavyojua hata akiwamwaga 12,000 mwishoni mwa siku watabaki watatu kwa kuwa wamezoea kuuza sura na siyo kujenga hoja
 
Huyu bwana mdogo Silinde nimemfanyia Tathmini nimegundua kuwa anafaa kugombea urais 2025. Brain ipo sana kichwani, nadhani yumo katika top three ya wabunge wa CDM na top five ya bunge zima. Huyu bwana mdogo ni kichwa, alipomaliza kumwaga sera wabunge wote wakabaki kimyaaaa, akawaambia '' naona maneno yangu yamewakolea''
 
Na cha ajabu zaidi pamoja na wabunge wengi wa ccm kusifia kilimo kwanza imesaidia baadaye mbunge wa shinyanga akaanza kulalamika wananchi wa shinyanga wanakula mlo mmoja na kila mwaka kuna uhaba wa chakula, sasa hawa jamaa huwa wafikiria on reverse nini? huku wanasema mavuno yameongezeka huku wananchi hawana chakula unashindwa kuelewa wanalenga nini hasa.

Kijana Silinde alinifurahisha kumtolea uvivu mbunge wa nzega.
 
Na cha ajabu zaidi pamoja na wabunge wengi wa ccm kusifia kilimo kwanza imesaidia baadaye mbunge wa shinyanga akaanza kulalamika wananchi wa shinyanga wanakula mlo mmoja na kila mwaka kuna uhaba wa chakula, sasa hawa jamaa huwa wafikiria on reverse nini? huku wanasema mavuno yameongezeka huku wananchi hawana chakula unashindwa kuelewa wanalenga nini hasa.

Kijana Silinde alinifurahisha kumtolea uvivu mbunge wa nzega.
 
magamba badala ya kuibana serikali yenyewe yanaitetea, sa mawaziri sijui wafanyeje? wananchi mliochagua magamba mnahasara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom