Safarini HONGKONG!!!!

Mkuu hapo mwambie kabisa aingie Seven Eleven akutane na manigger wenzake na kunywa bia za kopo kwa bei chee huku akiangalia dada zetu wanavyojipitisha kuuza "mali" zao ili wapate hela za kuishi.

hahaha umenikumbusha mbali sana... 7-11 sio
miafrika inayoishi China na HongKong haiaminiki flani hivi..
 
Ahsante sana mkuu!
Nadhani ntakucheki kwenye PM ili unipe some more info.
Pia safari yangu itakua kati ya nov-dec.Na nisafari binafsi,
So kwa miezi hiyo nawezalipa air ticket how much?

mkuu the last time i have been to HK ilikua 2010...
Jinsi rahisi ya kujua bei ni kucheck kwenye mitandao ya ndege utapata bei ambayo ni kama rough figure hivi, normally huwa inakua juu kidogo sana ukilinganisha na ile ambayo ni halisia, though itakusaidia kubudget.
Nadhani una bahati kwa hiyo miezi unayosafiri kule ni winter fall ingawa hongkong huwa hakuna misnow kama ilivyo kwa China mainland.
 
Yeah ina badilika. Mara ya mwisho Emirates Economy ilikuwa USD 1100. Sijui sasa ikoje.
 
Kwa uhakika zaidi waone Best Travel Solutions Kariakoo wamebobea kwenye oriental safaris. Piga kwa travel manager 0719741647. Mambo ya visa na mengine watakusaidia.
 
Thanks mkuu.
Ntawapigia hawa jamaa tomorrow.
Thank u again.
 
Yeah ina badilika. Mara ya mwisho Emirates Economy ilikuwa USD 1100. Sijui sasa ikoje.
Ahsante kwa taarifa mkuu?
Pia nimejaribu ku-google na ni around $1,300 although my target budget was $1,500 hivi.
 
mkuu the last time i have been to HK ilikua 2010...
Jinsi rahisi ya kujua bei ni kucheck kwenye mitandao ya ndege utapata bei ambayo ni kama rough figure hivi, normally huwa inakua juu kidogo sana ukilinganisha na ile ambayo ni halisia, though itakusaidia kubudget.
Nadhani una bahati kwa hiyo miezi unayosafiri kule ni winter fall ingawa hongkong huwa hakuna misnow kama ilivyo kwa China mainland.
Thanks mkuu 4 ur support!
 
Mkuu hapo mwambie kabisa aingie Seven Eleven akutane na manigger wenzake na kunywa bia za kopo kwa bei chee huku akiangalia dada zetu wanavyojipitisha kuuza "mali" zao ili wapate hela za kuishi.
Mkuu hizo kitu situmii kabisa,na ktk maisha yangu for my 33yrs old sijawahi ingia club na wala I don't know any thing about club guys.So I'm sorry but thank you for ur support all guys.Nikienda safari yangu inshaallah ntawaletea mishikaki ya ile misosi yao!
Nashindwa kuitaja maana nimekula supu ya kambale mida hii lol!

.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom