Safarini Dar...

Mungu yupo pamoja nawe na atakubariki utafika salama by the way karibu sana
 
safiri salama ukifika wape salamu waambie mie sijambo, mzima wa afya, hofu na shaka ni kwao LOL
 
Wapwaz na Binamz!

Asanteni; nimetia timu mujini baada ya kutulia kidogo mji kasoro bahari!

Kiranja we huoni kuwa mie ni bush-man bana..........kule Igangidung'u .....ndo huko nakotokea mkuu!

Teamo & Fidel mdudu(ligubi) anapatikana? Wapi Bigirita tukapate ile kitu ya Wazee; JS na Mwanajamii nmewasoma......hopefull kuna ka outing pale Mzalendo eeh wacha nikae mkao wa kutoka!

Mkuu wa Itifaki De Novo uko chimbo gani chief? Sikusikii kabisa,

niliambiwa Nyani Ngabu yupo mjini......kwa kuwa sikuambatana na shemeji/wifi yenu.........it is safe kabisa kukutana naye(yeye na Baba Enock)!



Love yall!
 
Back
Top Bottom