Safari za nje za Mhe. Rais Kikwete 2010 - 2015

Hivi kusafiri kwake kila siku ni ishara ya kwamba hamuani membe au anaona atamzidi per diem?
 
Mbora angekua ana safiri sana na matunda ya hizo safari tungekua tuna ziona. Tunaambiwa kila siku anaenda kuomba misaada ila hali inazidi kuwa mbaya zaidi siku hadi siku.
Kampuni yake ya richmond, dowans na sasa SyimbionHayo ni matunda makubwa sana kwa mfanya biashara kama kikwete! Lakini kubwa zaidi ni kuvunja record ya kiongozi yeyote duniani kusafiri safari 311 ndani ya miaka mitano na nusu tu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom