lukule2009
Senior Member
- Sep 23, 2009
- 132
- 11
Sidhani kama hakuna kabisa kilichotokea kwenye EPA na BOT - kina mramba na wenzake walifikishwa mahakamani. Kina Liyumba na Kweka wanahaha nje ya BOT sasa hivi. Haijafika mbali ila at least kuna kitu kilifanyika.
Hii safari za Kikwete itakuwa matter of record iwapo itawekwa wazi (kwa kuanzia tu).
Umekumbusha na kesi ya Liyumba.. ukifuatilia mahojiano ya mwanzo ni kwamba Liyumaba ameshashainda kabla kesi haijaisha .. kwa hiyo ni vizuri wananchi wakaandaliwa kisaikolojia wasije kupiga kelele kama kwa Zombe.. ..