Safari ya Rais Kikwete namibia ilikuwa ya chama, iweje imelipiwa na serikali? Pata habari yake...

Sasa mbona sioni hata mmoja wao anayesmile isipokuwa yeye tu, au kweli ni sura ya Rais wetu ndio ilivyo ilivyo.
pia, huyo nyuma ya Mkama sio Mwezi wa Kwanza kweli?

Anyway, Kama alitumia pesa za serikali, hili nalo litajumuishwa kwenye mashitaka tutakayomfungulia,
ufujaji wa mali za serikali kwa matumizi binafsi/chama. Makisio ya haraka harakaharaka yanaonyesha
matumizi ya namna hii peke yake, yaani officially approved expenditures lakini zilizokiuka taratibu
zinakaribia Bilioni za Kitanzania 187.5
 
Je Chadema wakishika dola mtakuwa wapi nyie watoto wa mafisadi mnaopinga kwa nguvu kubwa Ukombozi wa Pili wa Nchi kutoka kwa Wakoloni wa Kijani ccm?
 
Sasa mbona sioni hata mmoja wao anayesmile isipokuwa yeye tu, au kweli ni sura ya Rais wetu ndio ilivyo ilivyo.
pia, huyo nyuma ya Mkama sio Mwezi wa Kwanza kweli?

Anyway, Kama alitumia pesa za serikali, hili nalo litajumuishwa kwenye mashitaka tutakayomfungulia,
ufujaji wa mali za serikali kwa matumizi binafsi/chama. Makisio ya haraka harakaharaka yanaonyesha
matumizi ya namna hii peke yake, yaani officially approved expenditures lakini zilizokiuka taratibu
zinakaribia Bilioni za Kitanzania 187.5
yes huyu ni january hapo kaingia kama kiongozi wa chama ushirikiano wa kimataifa yaana mambo ya NJE
kwa kifupi hapa CCM wamefisadi TAIFA kwa jeuri
hata ukisema kikwete ni raisi na katibu mkuu wa CCM na makamba je?
 
hizi safari tusipokuwa makini tutakwisa bilal na kikwete wanapishana DAR AIPORT kila kukicha
 
Back
Top Bottom