Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Hii serikali yetu ni serikali ya MATUMIZI NA MATANUZI kwa kwenda mbele hata kama akina mama wanapata shida kubwa mahospitalinbi lakini kwao ni lazima PIPA LIRUKE ANGANI iwe isiwe.
Na wakati mwingine kunakotokea kwenye kuchagua mi-hoteli huko wao huchagua sehemu zenye hadhi mara 20 ya Kilimanjaro Kempinski (mara Churchill Hotel) wakati viongozi nchi zinazotufadhili wao huenda hoteli za pembezoni na walau bei nafuu kama vile Njuweni Kibaha kwa kuonyesha kujali matumizi mazuri ya walipakodi wa nchi zao.
Yeye Mzee Kagame ndio kabisa kwenye safari za kipuuzi hata siku moja hutomsikia huko isipokua hutumia balozi zake kutekeleza uwakilishi kunakohusika.
Bure kabisa na wala hamna kitu hapa; kero tupu kuona jinsi gani wanavyosafirisha ajira nje ya nchi kwa kuendekeza hulka ya kutumbua zaidi fedha nje ya nchi.