Safari ya 315: Rais Kikwete kuelekea Namibia?

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,338
Kesho Yule Mtalii Mzee wa Anga anatua Namibia wenye kuhesabu Safari zake tunaomba watupe namba.
 
Mimi kama President Elect sishabikii sana safari za nje ya nchi, lakini kama ni utaratibu wake kajiwekea unachoweza kufanya kama mwananchi wa kawaida ni kutoa maoni na kumshauri Rais wetu, ila uamuzi wa mwisho ni wake mwenyewe. Nimtakie tu safari njema, na arudi salama.
 
Ebwanaeeeeeeh!, pamoja na kero kuongezeka wala hana mpango nazo?, hata faizafoxy sasa naona atachoka kumtetea!
 
Dada yetu Faiza Fox...do you have anything to say about our foreign-trips loving president???????
 
Yule sharobalo wa magogoni kesho anakwea pipa kuelekea Namibia huku nchi ikiwa ktk giza na uhaba batili wa mafuta!
Rais huyu ambae dhahiri penge la shekhe yahaya linaoneka anaondoka bila kutoa kauli yoyote juu ya mafuta yaliyogeuka kuwa bidhaa muhimu utadhani cocaine.
Hii ni dhihaka kwa watz wakti kwake ni faraja kwa kuvunja recods za akina Vasco da Gama na Dorsel Velsrio!
 
watanzania wenzangu eeeh msiwe na wasiwasi..Freedom is coming soon...Atatukuta magogoni tunamwapisha rais mpya..Lazima huyu jamaa ajitambui vizuri,nina mashaka na utimamu wake.
Mwache akashangae mashamba na migodi.
 
Kama kawa, na kama ni kweli bsi naanza kuamini kuwa kila kukiwaka moto anatimka, wenzake wanakatiza likizo kushughulikia matatizo ya nchini mwao ye anaongeza mihuri kwenye passport tu. Anyways ngoja aongeze marafiki!
 
watanzania wenzangu eeeh msiwe na wasiwasi..Freedom is coming soon...Atatukuta magogoni tunamwapisha rais mpya..Lazima huyu jamaa ajitambui vizuri,nina mashaka na utimamu wake.
Mwache akashangae mashamba na migodi.

Hiyo nimeipenda
 
Back
Top Bottom