Safari siyo kifo.......Babu DC !!

ooooooooooooppppppppps, kumbe nafanya udalala! ha haaaaaaaaaaaaa. namsaidia huyo binti anaonekana bila infii hawezi kusimama

Kuuumbe...Mimi nilidhani unamsaidia babu mwenzangu asilale njaa. Kama ni dada itabidi tumsaidie pamoja..Nawapenda sana wajukuu zangu, kwa sitaki na wala sipendi wachakachuliwe kireja reja!!
 
Babu kaza buti................ huyo mjukuu amechanganyikiwa na kupotelewa na BE, na jana alisema kuwa TF ni serengeti boy hamtaki, nahisi kwa vikongwe ataridhia[/QUOTE) Hapo ndo unapoharibu sasa wenyewe walikuwa hawajaona!
 
Babu kaza buti................ huyo mjukuu amechanganyikiwa na kupotelewa na BE, na jana alisema kuwa TF ni serengeti boy hamtaki, nahisi kwa vikongwe ataridhia
Huu sasa ndio urafiki mwema! Hujambo rafiki?

Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh FP, hapa kunani? Kumbe hii kitu inahitaji madalali pia?

Ngoja nikamtumtafute LD anipatie kikombe cha chai mie!
Huu sasa ndo urafiki wa mashaka.... Hujambo rafiki?

ooooooooooooppppppppps, kumbe nafanya udalala! ha haaaaaaaaaaaaa. namsaidia huyo binti anaonekana bila infii hawezi kusimama
Hapa ndipo rafiki wa kweli anapotetereka sasa!

Kuuumbe...Mimi nilidhani unamsaidia babu mwenzangu asilale njaa. Kama ni dada itabidi tumsaidie pamoja..Nawapenda sana wajukuu zangu, kwa sitaki na wala sipendi wachakachuliwe kireja reja!!
Hapo ndipo rafiki wa mashaka anapokosea njia sasa.

Ngoja babu kikongwe anuse ugoro na kurudi kitandani.
 
Babu DC karibu tena, mimi ninaitwa MwanajamiiOne, Mjukuu Mtiifu ingawa umenisahau but mimi ninakukumbuka. Msalimie Bibi.
 
Babu DC karibu tena, mimi ninaitwa MwanajamiiOne, Mjukuu Mtiifu ingawa umenisahau but mimi ninakukumbuka. Msalimie Bibi.

We ni mjukuu wa babu yupi? Huyu wa makamo au mimi kikongwe?

Hebu nleee ugoro huku kabla hujajibu swali!
 
Babu DC karibu tena, mimi ninaitwa MwanajamiiOne, Mjukuu Mtiifu ingawa umenisahau but mimi ninakukumbuka. Msalimie Bibi.

Hoooooh MJ1,

Babu hawezi kusahau mjukuu hata mmoja ingawa ndo hivyo akili inaanza kutembea kwa reverse gear! Babu amefurahi sana kusikia uko mzima na salama wa salimini.

Zawadi yako kakutunzia bibi....mtafute akupatie!
 
Kumbe wababu nao mna wivu?!! Mie wa Wote!! SI ni mtiifu?

Usiwe na shaka MJ1...waweza kuwa mjukuu wa babu wote kwa sababu wana malengo tofauti....Babu DC ni harmlesss kwa hiyo hawezi kukwaruzana na babu mwingine yeyote!!
 
Back
Top Bottom