fungua hiyo clip unayotaka katika youtube, kisha nenda katika 'address bar' kopi 'link' yake na uje hapa katika 'post' una 'paste' kama kawa tu. uki-save itakuwa 'displayed' hapa. good luck mdauIts okay....tell me how do you post youtube clips here? I have loads of stuff to bring to members