Safari hiyoo kwa wairaque

Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
Baada ya baba yake kukataa binti yake kutolewa posa yangu kisa bado mdogo (22yr), mzazi huyo kaja na mpya anaitaji kwanza niende kwao waweze kunifahamu na hii ni baada ya binti kushinikiza. Upande wangu sina tatizo kwani yeye ndiyo chaguo langu hivyo nimepanga wkend ijayo niende kutambulika rasmi kabla ya mipango mingine (Wazee wangu wanafahamu hili na wamebariki).....
utata unaonikabili hivi kwenda kujitambulisha kwao binti kuna ulazima wa kuwa na mtu mwingine zaidi kama ndugu ama rafiki?? Kuna umuhimu wa kupereka zawadi yoyote kwa wakwe? (Binti anasema haina haja wanataka tu wanifahamu ila mie naona kama anachukulia ni swala dogo). Wale wanaofahamu hizi taratibu za wairaque plz naombeni ushauri
Note.. si kwenda kutoa posa ni kujitambulisha...
 
Njoo ukifika jitambulishe kwa kusalimia kikwao, wataona unawathamini, Just 2 help
Baba lawai= shikamoo baba
Ama lawai= " mama
ako " = " babu

Watajibu sayuu, na kukuuliza saita utajibu sayuu

Naasi= Asante.................... mimi sio muiraqw. Naishi nao tu huku manyara. Ni-pm ukija nikupe company.
 
utaratibu wa kawaida unatakiwa uongozane japo na watu wawil au watatu.
 
Njoo ukifika jitambulishe kwa kusalimia kikwao, wataona unawathamini, Just 2 help
Baba lawai= shikamoo baba
Ama lawai= " mama
ako " = " babu

Watajibu sayuu, na kukuuliza saita utajibu sayuu

Naasi= Asante.................... mimi sio muiraqw. Naishi nao tu huku manyara. Ni-pm ukija nikupe company.

na kumaliza je??? wanasemaje?:wacko:
 
Baada ya baba yake kukataa binti yake kutolewa posa yangu kisa bado mdogo (22yr), mzazi huyo kaja na mpya anaitaji kwanza niende kwao waweze kunifahamu na hii ni baada ya binti kushinikiza. Upande wangu sina tatizo kwani yeye ndiyo chaguo langu hivyo nimepanga wkend ijayo niende kutambulika rasmi kabla ya mipango mingine (Wazee wangu wanafahamu hili na wamebariki).....
utata unaonikabili hivi kwenda kujitambulisha kwao binti kuna ulazima wa kuwa na mtu mwingine zaidi kama ndugu ama rafiki?? Kuna umuhimu wa kupereka zawadi yoyote kwa wakwe? (Binti anasema haina haja wanataka tu wanifahamu ila mie naona kama anachukulia ni swala dogo). Wale wanaofahamu hizi taratibu za wairaque plz naombeni ushauri
Note.. si kwenda kutoa posa ni kujitambulisha...

samahani lakini ya kukataa binti kuolewa ni kukosa kutambua mtoto wako
 
Sikukatishi tamaa ila nasikia hilo kabila huwa hawajui kusema no...
Kazi kwako...
 
kila sehemu kuna matatizo achana na fikra mbovu mkuu jaribu kutafuta mtu mzima kama wawili ndio wawe wasemaje wewe usalimie tu na pale utakapopata nafasi ndio uzungumze hakuna haja ya kwenda na mizawadi maana ni kujitambulisha tu siku ya mahari ndio utapeleka hivyo vitu watakavyokuambia. kila la kheri mkuu umechagua kitu cha ukweli sana ukikiweka mjini kihudumie ipasavyo la sivyo utasaidiwa mkuu,
 
Kazana kazana mkuuu...ila uwe na moyo kuoa hilo kabila mi naishi kwao huku nawafahamu bana..
Kwao hapana kataa toa ile kitu Yao..Kazi kwako
 
Ebwana ehh naona brain concusion itakuhusu sio muda mrefu.Wanagawa hao balaa tena akutane na Kabila lake ndo Balaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom