safari hii urais zamu yetu

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
mimi napenda kuwatangazia rasmi safari hii urais lazima utoke kaskazini yaani wachaga,pigeni ua galagaza lazima, hamna kukwepa kama mmezoea kukwepa hapo mmekwisha,kwa hiyo nyie wakina nanihii kutoka lindi na zanzibar mtajiju
 
Vijana wa UVCCM mkoa wa pwani hawataki kusikia kitu kaskazini sembuse Rais atoke huko.Je ikiwa kila kanda inataka Rais atoke kanda yake tutafika kama Taifa?
 
Acha ukabila wewe!!!!!!!
Haiwezekani kabisa. Kabila haiachiki na ndio maana tunapozungumzia kina Rostam huwa tunasema wenye asili ya Kiasia. Jee tufanyavyo hivyo tunakuwa wakabila? Au kwa kutaja Wachaga na wanani basi inakuwa ukabila?
 
Haya mambo ya kikabila ndio huwa cyapendi, rais atokee sehemu yoyote ila awe wa Cdm, hata kama GADaff yeye awee tuu, alafu kama umechoka kutuletea mada za akili nenda ukakojoe vidagaa ulale.
 
mimi nipo wazi sioni la kuficha wapeni wachaga nchi wairekebishe huyu mkweree ameiharibu sana,ni gharama kubwa kuirudisha pale ilipokuwa,mchaga peke yake ndiye mwenye uwezo wa kututoa hapa tulipo
 
mimi nipo wazi sioni la kuficha wapeni wachaga nchi wairekebishe huyu mkweree ameiharibu sana,ni gharama kubwa kuirudisha pale ilipokuwa,mchaga peke yake ndiye mwenye uwezo wa kututoa hapa tulipo

naomba tutajie huyo mchaga na chama chake
 
Haya mambo ya kikabila ndio huwa cyapendi, rais atokee sehemu yoyote ila awe wa Cdm, hata kama GADaff yeye awee tuu, alafu kama umechoka kutuletea mada za akili nenda ukakojoe vidagaa ulale.

kama hamtaki tutajitenga hatutaki unafiki,tunataka kushika hatamu kuikomboa nchi yetu
 
kama hamtaki tutajitenga hatutaki unafiki,tunataka kushika hatamu kuikomboa nchi yetu

Nadhani mwisho wa siku mali zote zitakuwa kazikazini. Labda mchaga mchanganyiko na msukuma ndo atakuwa anahuruma.
 
Mtori kida munama?sikuungi mkono kwa hili lakini nashangaa wachagga kushambuliwa na pwani kukubaliwa kutoa matamko kama haya
 
mimi napenda kuwatangazia rasmi safari hii urais lazima utoke kaskazini yaani wachaga,pigeni ua galagaza lazima, hamna kukwepa kama mmezoea kukwepa hapo mmekwisha,kwa hiyo nyie wakina nanihii kutoka lindi na zanzibar mtajiju
INSHALLAH,Chukueni nyie mikoa miwili ya K'Njaro na A Town,mtupore au mtunyang'anye sisi wakazi wa mikoa 24 iliyobaki,si ndio utaridhika ndugu yangu.Haya tujadili kero za kina WILLIAMU NGELEJA na WILLIAMU MUHANDO tutoke gizani.:majani7:
 
Back
Top Bottom