Safari hii Mwalimu Mwakasege hajaita wadada wenye uhitaji wa kuolewa?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Semina iliyipita Mtumishi wa Mungu Mwalimu Mwakasege aliita wadada wenye haja ya kuolewa wapite mbele. Taarifa zinasema zaidi ya nusu ya uwanja (yaani wadada karibu wote) walipita mbele kupokea 'upako wa ndoa'.

Ningependa kujua toka kwa wahudhuriaji iwapo na mwaka huu kama ameita tena. Takwimu zikoje?

Je, idadi imepungua au imeongezeka kupita ya last year?
 
Back
Top Bottom