Safari 2015; CCM 3 vs CDM 1

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Tukiwa ni karibu 50% ya kuelekea uchaguzi mkuu 2015, kuna kila dalili timu ya CCM ipo makini sana na inatumia uzoefu na mbinu za hali juu, kuidhoofisha timu ya upinzani, CDM ambayo uzoefu haina
1. CDM walilia kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya: JK akatoa tamko la mkakati kuanza; CCM 1 vs CDM 0

2. CDM kulalamika mawazo yao kutokuwepo katika namna ya uanzishaji na utaratibu wa kufikia katiba mpya: JK akisikia kilio chao na kuwakaribisha IKULU wakatoa mawazo yao; CCM 2 vs CDM 0
3. CDM kupendekeza mjumbe katika tume ya kukusanya maoni, JK kumteua na kumuapisha Prof. Baregu; CCM 3 vs CDM 0

4. CDM kushinikiza PM awajibike ama mawaziri wapigwe chini; JK kuwatoa nje ya baraza mawaziri husika; CCM 0 vs CDM 1

Hatahivyo upepo umegeuka ghafla CDM inabidi mjizatiti, CCM imekuja na mbinu mpya na wananchi wanakubali serikali yetu. Kuna kila daliili ifikapo JULAI vijana watarudi tena nyumbani, CCM!!
 
avatar42918_3.gif

MAFILILI,
Mbona umebadilisha avatar mkuu wangu. Ile ya kwanza ilikuwa inakupendeza sana
 
Last edited by a moderator:
Lete hoja za maana achana Na upuuzi, kama huna kitu si lazima ku post , tuliza kichwa yako

Huyu mtu anajua maana ya logic kweli. anafikiria kwa kutumia masaburi. Hivi kweli aliyeobus hoja , akaitetea, ikapita kayk mazingira ambayo anapingwa na kupigwa vijembe na kudhihakiwa.lakin akasimamia hoja yake ikashinda. na maamuzi yakafanyika based on hoja yake.mtu huyo unamuita ameshindwa. u need 2 go back 2 school ukajifunze namna ya kukotoa hoja na ku-draw conclusions(critical thiinking n critical reasoning ). Hoja zote zote ulizozitaja mshindi ni CDM Kwa sababu ndo walioziasisi na kuzisimamia hata haya tunayoyashudia yakatokea. kwa hiyo kwa msingi huu CDM 4 vs CCM 0
Kwa maneno mengine CCM imeweka Ilani yake pembeni na inatekeleza Ilani ya CDM. sasa jiulize mshindi ni nani? nadhan jibu unalo.
 
Unaota kweupe kabisa, kila siku ccm inapotea kwenye mioyo ya watz na ushahidi upo hakuna haja ya kuutafuta kwa kuumulikia tochi.
 
CCM imekuja na mbinu mpya na wananchi wanakubali serikali yetu. Kuna kila daliili ifikapo JULAI vijana watarudi tena nyumbani, CCM!!
Kweli kabisa nakubaliana na wewe CCM imekuja na mbinu mpya ya kukata shingo wapinzani hiyo sera ni mtaji tosha wa CCM.
 
Haki nimeamini uwezo wa kufikri wa huyu MFIL.W.A ni mdogo. Kichwa cha panzi hiki! Ubongo wa sisimizi. Hoja 3 za mwanzo alizotoa kawapa CCM ingawa zinafanana na ile ya mwisho. Kama ndo wasomi wetu wako design ya huyu panzi kazi tunayo. Nakuomba ndugu urudi shule ukajaribu tena. Au haya ndo madhara ya kusoma vyuo vikuu uchwara? Mpaka hapo ulivyoonesha umepigwa 4-0 nyamb..ff!
 
ukimkimbiza kichaa watu watakuona wewe ndie kichaa pole sana kichaa wa ccm

mkuu andrews, usipende kukurupuka kujibu watu kabla hujajilidhisha na bandiko lake, Iko siku utamtukana mkweo, bandiko lako umemshambulia Feedback bila sababu yoyote ukizingatia yuko upande wako kama ulivyojionyesha....
 
kwa mtu ambae anatumia vema ubongo wake utawapongeza chadema kwenye swala zima la katiba kwani inayo tekelezwa ni ilani ya chadema na kitendo cha chadema kugomea na baadae raisi kukubali kubadilisha mswaada ulio pitishwa kwa mbwembwe nyingi na wabunge wa CCM sikuchache baada ya kufanya hivyo huu nao ni ushindi kwa chadema kifupi yote uliyoyasema ningekuwa mimi ningewapa pointi chadema na siyo ccm yaani chadema 4 vs ccm 0
 
duh... this confirms kwamba tuna uelewa tofauti sana wa mambo
 
Tukiwa ni karibu 50% ya kuelekea uchaguzi mkuu 2015, kuna kila dalili timu ya CCM ipo makini sana na inatumia uzoefu na mbinu za hali juu, kuidhoofisha timu ya upinzani, CDM ambayo uzoefu haina
1. CDM walilia kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya: JK akatoa tamko la mkakati kuanza; CCM 1 vs CDM 0

2. CDM kulalamika mawazo yao kutokuwepo katika namna ya uanzishaji na utaratibu wa kufikia katiba mpya: JK akisikia kilio chao na kuwakaribisha IKULU wakatoa mawazo yao; CCM 2 vs CDM 0
3. CDM kupendekeza mjumbe katika tume ya kukusanya maoni, JK kumteua na kumuapisha Prof. Baregu; CCM 3 vs CDM 0

4. CDM kushinikiza PM awajibike ama mawaziri wapigwe chini; JK kuwatoa nje ya baraza mawaziri husika; CCM 0 vs CDM 1

Hatahivyo upepo umegeuka ghafla CDM inabidi mjizatiti, CCM imekuja na mbinu mpya na wananchi wanakubali serikali yetu. Kuna kila daliili ifikapo JULAI vijana watarudi tena nyumbani, CCM!!

Ungejua kama watu hawataki kumsikia ibilisi shetani:israel:
 
Jipe matumaini hivyo hivyo mpaka unazikwa kaburini 2015, uzuri wake ni kuwa ugonjwa unaokutafuna unaujua, na daktari anayekutibu ni mtaalam wa kutosha, amekutabiria na siku ya kufa. Utakata maneno siku unakata roho. Ccm itahamishwa ward ya kawaida, na kupelekwa ICU soon as possible, hali yake ni MBAYA SANA! Tuulize tunaoishi nayo tutakujuza.
 
Mimi nadhani CDM ndio kashinda kwa haya yafuatayo:-
1. Hoja zote hapo juu zimeanzishwa na vichwa CDM hao ccm wametekeleza hoja tu za CDM.
2. Wananchi waliowengi huko majimboni hawazingatii sana hayo mambo ya kitaifa bali wanazingatia zaidi zile ahadi za JK za trilion 12 za 2010 ambazo ndio maendeleo yao kama road, meli nk ambazo hakuna utekelezaji wake mpaka leo.
3. Hao wezi ambao wameuza Mf TWIGA wetu ccm haijasema kama wanaenda lini MAHAKAMANI, hilo pia ni mtaji mkubwa kwa CDM
NB:- Mbwa mzee hapokei mafunzo
 
mtu akikuletea taarifa hizi,
mkeo ni mzinifu ukafukuza.
mwanao mvuta bangi ukapeleka polisi'
bintiyo ni mjamzito ukajibu najua.
choo chako kimebomoka sina haja na choo,
nguo uliyovaa matakoni imechanika,inakuhusu nini?

hapo bwana mafilili wewe ngapi na aliyekuletea taarifa ngapi?
 
Labda hilo la mbinu na inabidi mjaribu nyingine tofauti na wizi. 2015 ntakuwa wakala nikihakikisha hakiibiwi kitu kituoni pangu. Makamanda pia na vijana nchi nzima watahakikisha kiini macho basi. Magamba kwishnea.
 
Duh! Kweli una akili za aina ya kipekee kabisa, na ndizo hasa unazohitaji kuwa nazo ili kuwa hapo ulipo. Hongera kwa bandiko zuri. Keep it up!!
 
Tukiwa ni karibu 50% ya kuelekea uchaguzi mkuu 2015, kuna kila dalili timu ya CCM ipo makini sana na inatumia uzoefu na mbinu za hali juu, kuidhoofisha timu ya upinzani, CDM ambayo uzoefu haina
1. CDM walilia kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya: JK akatoa tamko la mkakati kuanza; CCM 1 vs CDM 0

2. CDM kulalamika mawazo yao kutokuwepo katika namna ya uanzishaji na utaratibu wa kufikia katiba mpya: JK akisikia kilio chao na kuwakaribisha IKULU wakatoa mawazo yao; CCM 2 vs CDM 0
3. CDM kupendekeza mjumbe katika tume ya kukusanya maoni, JK kumteua na kumuapisha Prof. Baregu; CCM 3 vs CDM 0

4. CDM kushinikiza PM awajibike ama mawaziri wapigwe chini; JK kuwatoa nje ya baraza mawaziri husika; CCM 0 vs CDM 1

Hatahivyo upepo umegeuka ghafla CDM inabidi mjizatiti, CCM imekuja na mbinu mpya na wananchi wanakubali serikali yetu. Kuna kila daliili ifikapo JULAI vijana watarudi tena nyumbani, CCM!!

wewe ndugu sasa hivi hatudanganyiki tena hizo shule za kata mlizoanzisha japokuwa ni duni zimetufumbua macho watanzania. watu wanaangalia kuboreshwa kwa maisha na kukomesha rushwa na ufisadi haijalishi nani kateuliwa. Nenda kajipange upya urudi tena hapa
 
Duh! Kweli una akili za aina ya kipekee kabisa, na ndizo hasa unazohitaji kuwa nazo ili kuwa hapo ulipo. Hongera kwa bandiko zuri. Keep it up!!

Yahani unasifia upuuzi huo? Nyie ndo maana mnadanganyika kirahisi na kutapeliwa na wanaume.
 
Back
Top Bottom