Saed Kubenea na gazeti la MwanaHalisi

Nawe nawe. Taaluma ya watu hiyo. Nenda kasome "Law of the Press" au tafuta wajuzi wakujuvye.

No hao ni watumwa wa ufisadi wanakuwa ni watumwa wa fikra pia, Alhamdullilah Mungu ananiwezesha kuwajua waliotumwa na mafisadi kwa kusoma posts zao.
 
Hongera sana na timu yako. Gazeti la MwanaHalisi la jana (25/08/2010) ni MOTO WA KUOTEA MBALI. MUNGU AZIDI KUWABARIKI. HAKIKISHENI LINAFIKA KILA KONA YA NCHI HII NA KWA SASA KATIKA KILA MIKUTANO YOTE YA KAMPENI.

LAZIMA NIWE MKWELI. GAZETI LENU LINATISHA. NI MUHIMU PIA KILA MWANAFUNZI NA MWALIMU HAPA NCHINI AKAPATA NAKALA YAKE KILA LINAPOTOKA SIKU YA JUMATANO.

Josephat Simon Sabi Sanda
Dar es Salaam
Tanzania
0659 28 19 64

Pia nawaomba Mwanahalisi wawe wanaupdate website yao kila tole jipya linapotoka kwani huwa wanachelewa na kutukosesha uhondo
 
...NI MUHIMU PIA KILA MWANAFUNZI NA MWALIMU HAPA NCHINI AKAPATA NAKALA YAKE KILA LINAPOTOKA SIKU YA JUMATANO.

kuna wanafunzi zaidi ya millioni moja na walimu zaidi ya laki moja tanzania bara pekee. nakushauri upendekeze namna ya kuwezesha hilo isije ikawa kama ishu ya computer na hao watanzania.
 
Hongera sana na timu yako. Gazeti la MwanaHalisi la jana (25/08/2010) ni MOTO WA KUOTEA MBALI. MUNGU AZIDI KUWABARIKI. HAKIKISHENI LINAFIKA KILA KONA YA NCHI HII NA KWA SASA KATIKA KILA MIKUTANO YOTE YA KAMPENI.

LAZIMA NIWE MKWELI. GAZETI LENU LINATISHA. NI MUHIMU PIA KILA MWANAFUNZI NA MWALIMU HAPA NCHINI AKAPATA NAKALA YAKE KILA LINAPOTOKA SIKU YA JUMATANO.

Josephat Simon Sabi Sanda
Dar es Salaam
Tanzania
0659 28 19 64

Ni kweli mkuu Sanda.
Historia ya mapambano ya ukombozi wa nchi hii kutoka kwenye makucha ya mafisadi haitakuwa imekamilika bila ya jina la "MWANAHALISI".
 
Pia nawaomba Mwanahalisi wawe wanaupdate website yao kila tole jipya linapotoka kwani huwa wanachelewa na kutukosesha uhondo
ibaki hivyo hivyo ili wanaotaka habari za leo wanunue gazeti la leo waandishi waendelee kupata mkate
 
kuna wanafunzi zaidi ya millioni moja na walimu zaidi ya laki moja tanzania bara pekee. nakushauri upendekeze namna ya kuwezesha hilo isije ikawa kama ishu ya computer na hao watanzania.

Asante Minda. Tusubiri mabadiliko makubwa katika usambazaji wa Gazeti la MwanaHalisi. Nitawasiliana nao na kutimiza hiyo changamoto uliyoitoa.
 
Mungu akusaidie Sana Saed Kubenea na timu yako ya mwanahalisi bila kumsahau MM.Mwanakijiji.Binafsi mmenisaidia sana nazani na watanzania wote kwa ujumla,Bwana Mungu atawalinda kwani sauti yenu aitapotea bure.
Kwa sisi tulio njee ya TZ atujapata kusoma Mwanalihisi wiki hii mana kwenye mtandao sijui kuna matatizo gani,nasio mwanalisi tu ata Raia mwema na MM.Mwanakijiji sijaweza kufungua website zao nakuombeni kama mnaweza rekebisheni mtandao ili na sisi tupate habari za kina.
Pia kwa ushauri kama mnaweza kuanzisha Sosiety ya mwanahalisi tukawa ata tuna changia kwa mwezi itakuwa safi sana ili kuliwezesha gazeti kutapaka nchi nzima zaidi kwa kufanya hivyo tutakuwa pamoja katika ukombozi wa Tanzania kutoka kwenye mikono ya wanyang'anyi.
Asante.
 
Laiti hii halaiki ya mambumbumbu walioijazana ndani ya nchi hii kila pembe wangekuwa wana uwezo wa kulisoma Mwanahalisi!!!! Nadhani JK angepata zero votes ktk uchaguzi!!!!!!
 
Asante Minda. Tusubiri mabadiliko makubwa katika usambazaji wa Gazeti la MwanaHalisi. Nitawasiliana nao na kutimiza hiyo changamoto uliyoitoa.

sabi ikiwezekana waanzishe redio na kituo cha tv! Unajua watz wengi wavivu kusoma atleast kusikiliza na kutazama naona kwa mbaali kama ni wafuasi!
 
Mwanahalisi ni darasa la elimu ya uraia, ni moja wapo ya silaha ya ukombozi wa taifa.
 
eeeh Kumbee...!

.
Eeh bana Kubenea ni mwanaharakati wa shoka. Mie namwaminia maana ni mtu anaethubutu na kudiriki pia. Nina shauku kweli ya kulipata toleo la wiki hii maana sipo Bongo na website yenu naona kuna kasoro mahali fulani. Big up Kubenea!!
 
Mi naomba namba ya simu ya Kubenea. Nina mengi ya kumweleza na ushahidi upo
 
Usiwe puungwani......mwanahalisi ni gazeti linayofadhiliwa na fisadi nyangumi reginald abraham mengi na freeman mbowe!wote mafisadi wa kupindukia!basi kila mtu akitoa gazeti la kuzungumzia ufisadi mnadanganyika!
 
Jazzband bin jazba tupu! mbona hamtuambii hilo Mwanahalisi limesema nini? tu(m) najadili upupu no wonder 70% of us ni bendera fuata upepo.

By the way hivi Saeed Kubenea ameshaacha kuwa mdini? maana kuna wakati alidai mawaziri waislamu katika cabinet ya Kikwete wanaandamwa kwa sababu ya uislamu wao. Na jamaa mkaja juu sana hapa, lakini leo kishakuwa overnight hero!.

Tanbihi: Soon you will be dissapointed huyo jamaa kwa mambo ya mshiko hajambo! ipo siku mtakuja sema Kanda2 alisema!
 
Jana nilikuwa na kijana wangu mmoja nkamwambia ngoja nipate magazeti ya kimapinduzi apa ie raia mwema na mwanahalisi.
Jamaa akacomment akasema unajua ukiwa wasom soma hayo magazeti unaweza piga mtu ghafla.
Mda si mda tukaona STK imepita inaninginiza bendera ya chama tawala wanaelekea kwa kampeni
 
pole sana haya magazeti yanasomwa dar es salaam peke yeke
mikoan hayafiki

Uongo uliotukuka. Labda mji wa mkoa wako tu. Na labda kwa sababu mlichagua maisha bora kwa kila mdanganyika na mkapata the opposite kwa kutokua na miundombinu.

Mwaka huu anakuja tena huko kwenu kwa ahadi zile zile na majuha mtampa. Kalagabaho.
 
Back
Top Bottom