Saed kubenea, Lema, lissu,Mbowe, Mnyika ni mashujaa wangu wa mwaka je wako ni nani?

"Mzee" unatisha kama mashujaa wako Ana Makinda. Nasi tunakupa amri "kaa chini au tutakutoa jamvini". Ubabe ndiyo serea zetu CCM. Sisi ni nguvu ya umma itawatoa na siyo polisi au jeshi lenu. Amandla!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Freedom is coming tomorrow. Long live Nelson Mandela..... wewe ni idol wa Godbless Lema na sisi wote tunaopinga vitendo vya kidhalimu kwenye Taifa huru since 1961 lakini bado tunapigania freedom of association and gathering to express our common goals. Vivaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Aluta Continua mpaka kieleweke
 
wakuu kama kunge kuwa na Tuzo ya mpambanaji wa mwaka hasa kipindi hiki tunapoenda kumaliza mwaka basi mimi ningependekeza hao hapo juu wa pewe kila mmoja.Nianze na Saed kubenea ni mwandishi mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja,mchambuzi wa hali ya juu ambaye kiukweli hana tofauti na wanafalsafa wakubwa kama karl malx.Amefanikiwa kupanga safu ya mashambulizi kwenye gazeti lake la mwanahalisi na kufanya mafisadi wa muogope kila kona.Ni yeye aliye tufumbua macho na kufanya ulimwengu wa jue kuwa Rostam ndie mmliki wa Dowans.Ni yeye alie tufanya tuwajue wanasiasa wanafki kama Zitto kabwe na Samwel Sitta.Ukweli ni kuwa kama asingekuwepo huyu awareness tulio nayo juu ya mwenendo wa nchi yetu isingekuwepo.Pili Godbless lema ameonye njia ya kwamba nidhamu ya woga haina maana tena na ni heri vita inayo leta utu kuliko amani inayo pumbaza.walio bakia nadhani si hitaji kuwaelezea kwakuwa yanajulikana sana waliyo yafanya.Je wewe ungependa nani apigiwe kura kama shujaa wako kwa mwaka huu?

Kubenea ondoa hapo! hafai kuwepo kwenye kundi hilo labda kama uko kihistoria zaidi but sio in reality....mafisadi hawamuogopi tena bali sasa wanamtumia kama condom,wakimaliza matumizi watamtupa kama walivyomtupa sitta baada ya kuwasaidia kuingia ikulu 2005!
 
Mashujaa wangu wakubwa mimi kwa mwaka huu ni Khalfan Kikwete na Hawa Ghasia.... maana tuli-apply wote viwanja vya mradi wa Gezaulole kigamboni wao waliibuka washindi katika mchakato mgumu sana walifanikiwa kupata viwanja vikubwa ilihali mimi na maelfu ya Watanzania hatukapata hata vile viwanja vidogo, ninawapongeza sana

Mimi nilikuwa mmoja wa walio apply na mmoja wa waliokosa viwanja vile inasikitisha sana na siku ile tulipo kuwa kweney lile lifoleni mwanzo wa asubuhi mpaka kuna kuchwa tulisikia minong'ono kuwa vinja vimeshagaiwa ila walipanya vile ili kutimiza wajibu wa sheria na kutuibia 20,000 zetu!
 


CRAP + WASTED .... & You call your self great thinker ....!

hao waliotolewa huko N.africa walikaa madarakani zaidi ya miaka 20
kuhusu uhuru wa viongozi wenu kusimama jukwaani na kutoa list of shame inabidi waishukuru serikali ya awamu ya kikwete kwani ndiyo iliyoruhusu zaidi ile haki ya mtu kusimama na kuongea utakavyo as long huvunji sheria....

kipindi cha mkapa unadhani kulikuwa hamna mafisadi... ? walikuwepo ila yeye alibana huo uhuru....

long live JK

unatumia ubongo kweli?
 
mashujaa wangu ni
1. J.kikwete- amekuwa mvumilivu wa kisiasa japo chadema wanamtukana sa.

2. Nape nauye- ni kijana jasiri, anayesimamia kile anachoamini.

3. Anna makinda-ameweza kuliongoza bunge japo kuna wahuni wachache wa chadema bungeni.

4. Zitto kabwe- ni kijana jasiri. Hafati mkumbo.

Wengine ni faizafoxy, ritz na rejao.


Ccm-soldarity forever!!!.

khaaaaaa
nipo kinyume chako
 
Seriously dude kama hao ndio mashujaa wako pole .. mnyika amefanya nini mpaka sasa ...????!! wabunge wa CDM toka wachaguliwe wanashinda kwenye maandamano.... wengine wakitoa CD`s za nyimbo za matusi mtaani ..... wamekaa kisharishari tu , inabidi washukuru serikali yetu inaongozwa na mtu mvumilivu mngekuwa enzi za mkapa hata risasi mngepigwa kama yaliyowatokea mashujaa wangu wa mwembechai kipindi kile ...
Lazima utetee utumbo kwani huko uliko nje ya nchi unakaa kwa kodi za watanzania na huyo JK unaesema ana uvumulivu na uvumilivu wa kuwavumilia babazako mafisadi.
Gonga ABUSE Button ukimaindi.
 
Mashujaa wangu ni
1. J.Kikwete- amekuwa mvumilivu wa kisiasa japo chadema wanamtukana sa.

2. Nape Nauye- ni kijana jasiri, anayesimamia kile anachoamini.

3. Anna Makinda-ameweza kuliongoza bunge japo kuna wahuni wachache wa Chadema bungeni.

4. Zitto Kabwe- ni kijana jasiri. Hafati mkumbo.

Wengine ni FaizaFoxy, Ritz na Rejao.


CCM-SOLDARITY FOREVER!!!.

wewe ni shujaa wangu wa siku ya leo!
 
Mtu wangu wa ubani ni EL,

Msiniulize kwa nini...Subiri 2015. Tutalijua jiji!!
 
Mimi nilikuwa mmoja wa walio apply na mmoja wa waliokosa viwanja vile inasikitisha sana na siku ile tulipo kuwa kweney lile lifoleni mwanzo wa asubuhi mpaka kuna kuchwa tulisikia minong'ono kuwa vinja vimeshagaiwa ila walipanya vile ili kutimiza wajibu wa sheria na kutuibia 20,000 zetu!
Mkuu mimi nimeamua kununua kwa walio pata nimepata cha SQ-Meter 1009 kwa Million11 japo kwa bei za serikali ni 6,0064,000. Inauma sana.
 
Back
Top Bottom