Saed kubenea, Lema, lissu,Mbowe, Mnyika ni mashujaa wangu wa mwaka je wako ni nani?

kazuramimba

Senior Member
Jun 14, 2011
126
57
wakuu kama kunge kuwa na Tuzo ya mpambanaji wa mwaka hasa kipindi hiki tunapoenda kumaliza mwaka basi mimi ningependekeza hao hapo juu wa pewe kila mmoja.Nianze na Saed kubenea ni mwandishi mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja,mchambuzi wa hali ya juu ambaye kiukweli hana tofauti na wanafalsafa wakubwa kama karl malx.Amefanikiwa kupanga safu ya mashambulizi kwenye gazeti lake la mwanahalisi na kufanya mafisadi wa muogope kila kona.Ni yeye aliye tufumbua macho na kufanya ulimwengu wa jue kuwa Rostam ndie mmliki wa Dowans.Ni yeye alie tufanya tuwajue wanasiasa wanafki kama Zitto kabwe na Samwel Sitta.Ukweli ni kuwa kama asingekuwepo huyu awareness tulio nayo juu ya mwenendo wa nchi yetu isingekuwepo.Pili Godbless lema ameonye njia ya kwamba nidhamu ya woga haina maana tena na ni heri vita inayo leta utu kuliko amani inayo pumbaza.walio bakia nadhani si hitaji kuwaelezea kwakuwa yanajulikana sana waliyo yafanya.Je wewe ungependa nani apigiwe kura kama shujaa wako kwa mwaka huu?
 
Seriously dude kama hao ndio mashujaa wako pole .. mnyika amefanya nini mpaka sasa ...????!! wabunge wa CDM toka wachaguliwe wanashinda kwenye maandamano.... wengine wakitoa CD`s za nyimbo za matusi mtaani ..... wamekaa kisharishari tu , inabidi washukuru serikali yetu inaongozwa na mtu mvumilivu mngekuwa enzi za mkapa hata risasi mngepigwa kama yaliyowatokea mashujaa wangu wa mwembechai kipindi kile ...
 
Kumbe mashujaa wako ni hao......? ndio maana.....
 
Seriously dude kama hao ndio mashujaa wako pole .. mnyika amefanya nini mpaka sasa ...????!! wabunge wa CDM toka wachaguliwe wanashinda kwenye maandamano.... wengine wakitoa CD`s za nyimbo za matusi mtaani ..... wamekaa kisharishari tu , inabidi washukuru serikali yetu inaongozwa na mtu mvumilivu mngekuwa enzi za mkapa hata risasi mngepigwa kama yaliyowatokea mashujaa wangu wa mwembechai kipindi kile ...
kama uwezo wako wakafiki ndo umeishia hapo basi ni Mungu alijichosha kukupa ubongo kwani masaburi yana kutosha.Hivi hauoni jinsi Lissu alivyo tumia uwezo wake wakisheria kupinga uonevu .Na kwataarifa yako maandamano ndo mpango mzima kwani ndo yalio mtoa ben ali,Mobarak na Gaddaf.Na tutafanya mpaka kieleweke.
 
E. Lowasa. R. Aziz A. Makinda W. Ngeleja
Ningekuwa na uwezo ningekupeleka England kwa mcamerun ili aku camerun kisawasawa kimba wewe.Hao watu wanatufilisi kila kukicha alafu wewe unawafagilia?
 
kama uwezo wako wakafiki ndo umeishia hapo basi ni Mungu alijichosha kukupa ubongo kwani masaburi yana kutosha.Hivi hauoni jinsi Lissu alivyo tumia uwezo wake wakisheria kupinga uonevu .Na kwataarifa yako maandamano ndo mpango mzima kwani ndo yalio mtoa ben ali,Mobarak na Gaddaf.Na tutafanya mpaka kieleweke.

CRAP + WASTED .... & You call your self great thinker ....!

hao waliotolewa huko N.africa walikaa madarakani zaidi ya miaka 20
kuhusu uhuru wa viongozi wenu kusimama jukwaani na kutoa list of shame inabidi waishukuru serikali ya awamu ya kikwete kwani ndiyo iliyoruhusu zaidi ile haki ya mtu kusimama na kuongea utakavyo as long huvunji sheria....

kipindi cha mkapa unadhani kulikuwa hamna mafisadi... ? walikuwepo ila yeye alibana huo uhuru....

long live JK
 
....Your psycho.....

ok umeninyooshea kidole mimi kumbuka ukinyooshea mtu kidole kuna dole gumba lina point straight to your frontal lobe "part of your brain".. wajua ina husika na nini hiyo part ... !

ni sawa na hayo maneno wajiambia mwenyewe ...
 
Sure, this is a psycho case, and Mirembe is the right place for the concerned!
...shukuru serikali...shukuru serikali....shuku....?.......MY HAIRS!
hE SOUNds like a monotonous MEWIMG PUPPY!

Dude kama weye waichukia serikali ni wewe .... & guess who cares ..??! No one !!! you sound like a Muppet ...
 
Mashujaa wangu ni
1. J.Kikwete- amekuwa mvumilivu wa kisiasa japo chadema wanamtukana sa.

2. Nape Nauye- ni kijana jasiri, anayesimamia kile anachoamini.

3. Anna Makinda-ameweza kuliongoza bunge japo kuna wahuni wachache wa Chadema bungeni.

4. Zitto Kabwe- ni kijana jasiri. Hafati mkumbo.

Wengine ni FaizaFoxy, Ritz na Rejao.

CCM-SOLDARITY FOREVER!!!.
 
wakuu kama kunge kuwa na Tuzo ya mpambanaji wa mwaka hasa kipindi hiki tunapoenda kumaliza mwaka basi mimi ningependekeza hao hapo juu wa pewe kila mmoja.Nianze na Saed kubenea ni mwandishi mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja,mchambuzi wa hali ya juu ambaye kiukweli hana tofauti na wanafalsafa wakubwa kama karl malx.Amefanikiwa kupanga safu ya mashambulizi kwenye gazeti lake la mwanahalisi na kufanya mafisadi wa muogope kila kona.Ni yeye aliye tufumbua macho na kufanya ulimwengu wa jue kuwa Rostam ndie mmliki wa Dowans.Ni yeye alie tufanya tuwajue wanasiasa wanafki kama Zitto kabwe na Samwel Sitta.Ukweli ni kuwa kama asingekuwepo huyu awareness tulio nayo juu ya mwenendo wa nchi yetu isingekuwepo.Pili Godbless lema ameonye njia ya kwamba nidhamu ya woga haina maana tena na ni heri vita inayo leta utu kuliko amani inayo pumbaza.walio bakia nadhani si hitaji kuwaelezea kwakuwa yanajulikana sana waliyo yafanya.Je wewe ungependa nani apigiwe kura kama shujaa wako kwa mwaka huu?
Mashujaa wangu wakubwa mimi kwa mwaka huu ni Khalfan Kikwete na Hawa Ghasia.... maana tuli-apply wote viwanja vya mradi wa Gezaulole kigamboni wao waliibuka washindi katika mchakato mgumu sana walifanikiwa kupata viwanja vikubwa ilihali mimi na maelfu ya Watanzania hatukapata hata vile viwanja vidogo, ninawapongeza sana
 
Sure, this is a psycho case, and Mirembe is the right place for the concerned!
...shukuru serikali...shukuru serikali....shuku....?.......MY HAIRS!
hE SOUNds like a monotonous MEWIMG PUPPY!

Hahahaaaaaa I lke that! Tena kwa kuongezea anaonekana ana hasira kweli huyo Njiwa, he is a psycho lol!
 
We siutaje wakwako
seriously dude kama hao ndio mashujaa wako pole .. Mnyika amefanya nini mpaka sasa ...????!! Wabunge wa cdm toka wachaguliwe wanashinda kwenye maandamano.... wengine wakitoa cd`s za nyimbo za matusi mtaani ..... wamekaa kisharishari tu , inabidi washukuru serikali yetu inaongozwa na mtu mvumilivu mngekuwa enzi za mkapa hata risasi mngepigwa kama yaliyowatokea mashujaa wangu wa mwembechai kipindi kile ...
 
Mashuja wng moses machali mb kasulu,Dr slaa,B mkapa,kamanda silo alisaidi sana nyamagana kuepusha uchakachuaji na mkoba cwt
 
Back
Top Bottom