Hizo ni propaganda za mlala nje kwan mahakama si zipo kwanini wahanga wasiende huko kudai haki ya kuishi na Uhuru wa kujieleza kama katiba inavyoelekeza. Mahakama pia kwa mamlaka iliyonayo inaweza kuanzisha uchunguzi wa jambo hata kama ni la miaka 100 iliyopita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.