Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,556
- 19,430
Kwa mara nyingine Afrika tumeonyesha uzembe wetu. SADC ilipewa jukumu la kutatua mgogoro wa Zimbabwe, lakini wao wakaogopa kumkasirisha Mugabe. Matokeo yake sasa inaelekea kuwa wanaweza kuwa wamesababisha matatizo makubwa zaidi nchini Zimbabwe kuliko mwanzo. Walichofanya ni kupulizia moto ili kuupunguzia makali yake lakini wameshindwa kuuzima. Utakapowaka tena huenda hawatweza kuupulizia tena.
Kwa nini waliendelea kumwanini Mbeki ambaye alishindwa kutatua mgogoro ndani ya chama chake mwenyewe? Atatoa wapi uwezo wa kutatua migogoro ya nchi nyingine?
Kwa nini waliendelea kumwanini Mbeki ambaye alishindwa kutatua mgogoro ndani ya chama chake mwenyewe? Atatoa wapi uwezo wa kutatua migogoro ya nchi nyingine?