SACP J. J. Mwesiga amefariki

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,807
1,672
Nimepita katika Petrol Station ya Kyaka kuweka mafuta ktk pikipiki yangu nikielekea Bukoba. Nimekuta petrol station imefungwa na kuambiwa mmiliki wake Mkuu wa zamani wa chuo cha Polisi Senior Assistant Commisioner of Police (SACP) J.J. Mwesiga amefariki. RIP KAMANDA
 
Ni kweli kamanda Mwesiga amefariki dunia leo alasiri. Inasemekana alianza kuumwa baada ya kula chakula kinachosadikiwa kuwekewa sumu. RIP kamanda Josiah Mwesiga!
 
nilimfahamu huyu mzee wakati nilipojiunga na jeshi la polisi wakati huo akiwa Commandant wa Chuo pale Moshi. Alikuwa akiogopwa saana na makuruta na askari wengine chuoni. RIP KAMANDA.
 
Ni kweli kamanda Mwesiga amefariki dunia leo alasiri. Inasemekana alianza kuumwa baada ya kula chakula kinachosadikiwa kuwekewa sumu. RIP kamanda Josiah Mwesiga!


Rest In Peace Kamanda! Serikali tawala itumie 2bilion kuunda tume ya uchunguzi!
 
Rest In Peace Kamanda! Serikali tawala itumie 2bilion kuunda tume ya uchunguzi!

haaaaaa haaaaaaa, haaaaaaa, nimecheka sana. But RIP kamanda. Wakati akiwa CCP aliwahimiza makruta kuimba kwa sauti ya juu wakati wa mchakamchaka alfajiri, basi sisi wanafunzi wa Old Mosh sec tulikeleka sana, si unajua usingizi wa alfajiri ulivyo mtamu harafu kuruta ana kazana kuimba kwa sauti. RIP klamanda.
 
Bora ingekuwa Ahmed Msangi, anyway mungu aiweke roho yake mahali stahili.
 
Naona mnafanya mzaha na vifo vya watu. Walau heshimuni kidogo wengine watoto zake marehemu wapo humu. Its only hawawezi kusema kitu
 
Jamaa yangu anadai yeye alikuwa Old Moshi ni vipi hajapitia JKT? Mm nilikuwa MuccoBs naelewa Kamanda km yule huwa hakimbii mchakamchaka na kulazimisha watu waimbe watakimbizwa na NCO's
RIP Kamanda SACP MWESIGA MUNGU akulaze pema peponi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom