SABODO: CCM hawana shukrani

hadaa wapiiii? Kuna wana sisiem wengi wabunge kwa mawaziri wanataka kuingia chadema sema baadhi wana hofu kwa sababu wameifanya siasa ka ma ndo kazi ya maisha. Na baadhi wanahofu ya kufuatiliwa tiliwa kimizengwe ama kuuawa! Sasa wanasoma alama za naykati
kwa hiyo unasema Sabodo anaogopa?yaani aogope kuhamia chadema lakini asiogope kuisaidia chadema tena mbele ya media????kama ni hivi basi sitachelea kumuita mnafiki.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
kwa hiyo unasema Sabodo anaogopa?yaani aogope kuhamia chadema lakini asiogope kuisaidia chadema tena mbele ya media????kama ni hivi basi sitachelea kumuita mnafiki.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Naona roho inakuuma sana kijana,Sabodo kuisadia CDM eti eeh.
 
Jioni hii nimefungua ITV na kuangalia kipindi cha matukio kama sikosei, Slaa alikuwa anamsifia sana Sabodo kwa ujasiri wake wa kutoa misaada kwa CDM bila kuhofia CCM wala TRA kwa kuwa anafanya biashara halali.

Ilipofika zamu ya sabodo kuwasalimu wajumbe wa Mkutano huo alisema alichotoa Cdm ni asilimia moja tu ya alichotoa ccm lakini ccm hawana shukurani hata kidogo na wala hawakumpa heshima ambayo Chadema wanampa.

Anasema pia kuwa amepumzika kufanya biashara amewaachia watoto wake. AMEAHIDI kujenga ofisi mpya yenye hadhi ya Chadema.


Maoni yangu: CCM imechokwa na wenye akili.

Ndo hivyo na wengine wanajishikisha huko kwa woga tu wa kutumiwa TRA kuja kuwamaliza
 
Mbowe ndiyo alikuwa anatafsiri hotuba fupi ya mzee Sabodo kwa kuwa alikuwa anachanganya na kingereza mara kwa mara, ila mzee anajiamini sana. CDM sasa wajipange kuhamia kwenye mjengo wa maana kama makao makuu ya chama.

Peoplessssssssssssssssssssss?

Power power power!! Magamba wakisikia peoples power huwa wanatetemeka na kuangalia chini!
 
hapa kuna mchezo wa GAMBA kuimarisha GWANDA....Pakinuka 2015 Gamba anavaa GWANDA anakua kajificha...
 
hapa kuna mchezo wa GAMBA kuimarisha GWANDA....Pakinuka 2015 Gamba anavaa GWANDA anakua kajificha...


Mzee Sabodo ni mtu safi, na biashara zake ni halali na analipa kodi stahiki, kwa hiyo yeye siyo gamba.
 
Mara nyingi watu wanatahadharisha viongozi wao kuacha kukimbilia misaada,lakini wanaotoa tahadhari hiyo hupuuzwa.
Je Sabodo alitaka shukrani ya namna gani kutoka CCM ambayo hakuipata na SASA anaipata CHADEMA?
Kama ameamua kuisaidia CHADEMA, atoe misaada hiyo bila siasa.
Mwenyewe amesema Mwl Nyerere alitaka kumpa uwaziri,akakataa kwa sababu yeye sio Mwanasiasa bali Mfanyabiashara
 
nimepata fundisho kuwa kutenda wema na kuenda zako haitoshi. Shukrani ni jambo jema sana kwa mtenda jema
 
Back
Top Bottom